Natoka Morogoro naelekea Singida. Pale 100 km kutoka Morogoro imeanguka tanker ya mafuta, imeanguka pale pale kwenye lami. Wanakijiji wanakuja from all sides kuchota mafuta.
Nimeona malori mengi yamepaki pembeni. Nimeuliza,"Huyu hapa ameanguka, lakini hawa wengine wana shughuli gani hapa?"...