safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa Nini Wengi Hawahoji Maisha? – Safari ya Kifalsafa, Kisaikolojia na Kihistoria ya Udadisi wa Akili ya Binadamu

    Je, binadamu aliwekwa duniani kuishi tu kama mnyama mwingine yeyote—kula, kulala, kuzaa, na kufa bila kuuliza chochote? Je, maisha haya ni mkusanyiko wa matukio yasiyo na maana, au yana lengo ambalo linapaswa kuchunguzwa kwa undani? Hili ni swali la msingi ambalo kila binadamu anapaswa...
  2. TASHICO yatangaza Meli ya MV Victoria kurejea kazini leo Mei 22, 2025 kuanza safari

    Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) inawatangazia abiria na umma wote kwa jumla kuwa meli ya New Victoria Hapa Kazi Tu itaanza safari zake rasmi siku ya Alhamisi tarehe 22 Mei 2025 ikitokea Bandari ya Mwanza Kaskazini kuelekea Bandari ya Bukoba kupitia Bandari ya Kemondo. Hivyo kampuni...
  3. Rais Samia kapunguza safari za nje au ni mimi tu?

    Hivi ni mimi tu au ni kweli kapunguza safari za nje? Kuna wakati huyu Rais wetu alikuwa hakai nchini kwa muda mrefu. Kila fursa ya kusafiri kwenda nje ya nchi alikuwa hailazii damu. Fursa za safari alikuwa anazikamata kweli kweli. Nakumbuka alikuwa anapenda sana kwenda Marekani. Sasa...
  4. Yesu ndio anabaki kuwa "religious figure" bora kuwahi kutokea. Katika safari yake hakuagiza damu yoyote wala hakufanya figisu kuufikia umashuhuri.

    Sijali kama utamuita Mwana wa Mungu, Nabii au Mwalimu. Ila katika maandishi ya vitabu na simulizi hatujaona mahara alisema mchukie wayahudi kwa kunikataa, muaue waroma kwa kunisurubu na muangamize wote wasiotaka kufata kile nilichowafundisha. CHRIST IS KING
  5. Safari Yangu Kutoka Tabora Kuja Kupata Master’s Degree yenye Global Relevance – A Transformational Academic Journey

    Mimi ni mmoja wa wale ambao waliamini kwamba elimu ni mlango wa mabadiliko. Leo hii nimesimama kama mtu mwenye Master’s Degree kutoka University of California, Berkeley, moja ya vyuo vikongwe na vinavyoheshimika zaidi duniani. Lakini safari yangu haikuwa laini. Ilijaa milima na mabonde – lakini...
  6. Nguvu ya Mafuta: Safari ya Mfalme Faisal na Siri ya Kifo Chake

    Mnamo mwaka 1973, dunia ilishuhudia tukio la kihistoria ambalo lilibadilisha mwelekeo wa siasa za kimataifa na uchumi wa dunia. Mhusika mkuu wa tukio hili alikuwa Mfalme Faisal bin Abdulaziz Al Saud wa Saudi Arabia. Uamuzi Ulioitikisa Dunia Wakati wa Vita ya Waarabu na Waisraeli (maarufu kama...
  7. PreGE2025 Spika Tulia: Mwaka huu wa Uchaguzi hatuko tayari kwenda mbinguni

    Na mimi nimeungana kucheka na waombolezaji wengine kwa kweli. Nilivyoelewa ni kwamba kipindi hiki cha Uchaguzi Mungu wanamuweka pembeni kwanza wakati huo huo wanawaambia viongozi wa dini ombeeni Uchaguzi. Haya ngoja tuone yafuatayo sasa kwenye uchaguzi huu baada ya kauli hiyo ya Spika wa...
  8. Kundi la kwanza la makaburu wa Afrika Kusini limeanza safari ya kuelekea Marekani kama walivyoahidiwa na Donald Trump

    Vyanzo vya habari vya SA vimeonyesha kundi la kwanza la Makaburu wanaotarajia kuanza maisha yao mapya Marekani. Mtakumbuka miezi michache kumekuwepo na mvutano kati ya serikali ya Marekani na South Africa. Moja ya mivutano ni Trump kuilaumu serikali ya Afrika Kusini kuwanyanyasa Makaburu. Hii...
  9. Safari yangu ya Pemba, Kojani kwa mganga, imerudi na mimba

    Rejea hapa safari yangu hii ya kwenda Pemba kutafuta mganga wa kienyeji kwa ajili ya kunitibia. https://www.jamiiforums.com/threads/naumwa-sana-nimefika-pemba-ili-nitibiwe-kienyeji-naombeni-msaada-wa-mtaalamu.2298569/ Sasa baada ya kushuka bandarini (Mkoani) nilipanda gari (coaster) ya...
  10. Je, mashabiki wa Simba wanaolalamika gharama za safari kwenda Morocco wana hoja?

    Hili jambo linahitaji tafakuri ya kutosha. Kwanza, nianze kwa kusema kwa mtazamo wangu faida kubwa ya Simba kupata ndege kubwa ya serikali kwenda Morocco haipo kwenye kupeleka mashabiki au kupunguza ungaunga za njiani wakati wa kwenda Morocco. Faida ipo kwenye kurudi baada tu ya mechi na kuwa...
  11. Safari ya kusisimua kutoka Dar es salaam hadi Musoma

    SAFARI YA KUSISIMUA: DAR ES SALAAM - MUSOMA KWA X-TRAIL Safari ya kipekee! Leo tunazungumzia safari ya kipekee kutoka Dar es Salaam hadi Musoma—safari ndefu lakini yenye mandhari ya kuvutia, mabadiliko ya mazingira, na uzoefu wa kufurahisha. Safari hii siyo tu kwamba inahusisha mvuto wa...
  12. Safari za kwenda India zitasitishwa na complex medical procedure zitakuwa zinafanyikia hapa Tanzania kwa bei nafuu sana

    Katika jitihada za medical tourism hizi ni baadhi ya complex medical procedure zitakuwa nafuu Tanzania kuliko sehemu yeyote duniani Bone marrow transplant Liver resection Pancreas resection lung resection Coronary Revascularization Surgical Ventricular Restoration Septal Myectomy Thoracic...
  13. G-55, Mandela, na Safari ya Kujisafisha Chadema: Tunakoelekea Ndiyo Tunakostahili Kuwa

    Kitendo cha kundi la G-55 kujiondoa ndani ya CHADEMA kimeniamsha fikra juu ya jambo la msingi sana kuhusu uhai wa vyama vya siasa—kuwa si kila msongamano ni mshikamano, na si kila idadi ni nguvu halisi. Nilijikuta nikikumbuka mwaka ambao CHADEMA, chini ya Katibu Mkuu wa wakati huo, Dkt. Wilbrod...
  14. kazini nimeambiwa nianze kuamka sa 10 alfajiri, gari imebadili muda wa kuanza safari

    nilizoea kuamka sa 12 Leo jioni nimepigiwa simu na boss kua natakiwa niende kuanza kupanda basi anapoanzia dereva, umbali adi kumkuta dereva kilometer 20 nawaza sana. mkiona sijibu sms mjue nimelala ili nisije chelewa
  15. simulizi fupi:-Safari ya Daniel

    SIMULIZI FUPI: NDOTO YA DANIEL MWANDISHI: MOSSES MLAY Siku moja Daniel alipata safari ya kikazi ikiwa ni siku mbili tu kabla ya shughuli maalum ya washenga kuja nyumbani kwaajili ya kumposa dada yake, alikuwa na taarifa ya ugeni huo na ilikuwa na umuhimu mkubwa wa yeye kuwepo. Katika shghuli...
  16. Askari wa Israel waendelea kufa Gaza.Maelfu watakiwa kwenda kupigana, huku wengi wakigoma.Netanyahu avunja safari ya nje.

    Waziri mkuu wa Israel amevunja ghafla safari yake iliyopangwa kwenda Azerbajan wakati wito wa maelfu ya askari wa akiba umetolewa ili waende kuongeza nguvu kupambana na huko Gaza. Hali hiyo imekuja ikiwa ni zaidi ya miaka miwili ya vita na jeshi la Israel likiwa limefunga mipaka yote ya Gaza na...
  17. Safari hii hizi asilimia 35% za increase ya pay sitathubutu kukopea.

    Ilikiwa hivi wana izengo. Nilitamani mkoko muda mrefu. Sasa mama akasema asilimia 23, si nikapiga hesabu zangu za mwalimu Juma. Nilijidhisha kwamba kwa asilimia hizi, naenda kukamata 920k take home itanitosha na wese. Nikaingia benki moja pendwa nikavuta 12m keshi. Nikapata ka vits. Basi...
  18. T

    Nilicho-experience katika safari za treni za SGR hadi sasa

    Nimesafiri na aina zote za train tokea ile ya enzi za mkoloni aka gari moshi hadi hii SGR ile express na Ordinary. Wastani wa safar zangu kwa sasa ni kama mara 24 nikipanda madaraja ya uchumi (economy) na biashara (Business). Royal class ipo njian pia. Naipongeza serikali kwa huu mradi, hakika...
  19. M

    Fahdu Davis umenikera sana leo, safari ya kurud Dar naiona ndefu sana

    Uongozi umefanya kila jitihada, mambo yote yanayotakiwa kufanyika yalifanyika lakn wewe ndio umeharibu kila kitu, kazi yako ilikuwa kulalamika tu uwanjani bila solutions Hongera sana kwa kuivusha kisayansi Stellenbosch
  20. D

    PreGE2025 CHADEMA kurudia matapishi yake? Safari hii haitakimbilia Mahakamani?

    Ukitafakari vizuri, utaona CHADEMA Iko kwenye mtanziko mwingine. Tume ya Uchaguzi (INEC), imeshafanya maamuzi kuwa CHADEMA hakitaruhusiwa kushiriki uchaguzi wa mwaka huu na chaguzi ndogo zake. Kutokana na kukataa kushiriki mchakato wa kikanuni ulioanza toka tarehe 1/3/2025 na kuhitimishwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…