safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania ATCL yaomba radhi kwa kuchelewesha safari ya Mwanza-Dar Februari 21, yasema hali ya hewa ilikuwa mbaya

    Wakuu, ATCL imeomba radhi (hata kama tunajua ni ya mchongo) lakini Msigwa kapata nguvu za kumwambia Zungu mwana ukome:BearLaugh::BearLaugh:. Ila Zungu itakuwa alisahau kuwa serikali/chama kikizingua inabidi useme mitano tena🤣🤣, katoka nje ya script😂😂. Ila ATCL tuambieni, hivi shida ni nini...
  2. JamiiForums Tanzania Zingatia haya kwenye safari yako

    Maisha ya kijana ni safari ya kujitafuta. Ni kipindi cha ndoto, nguvu, hamu, makosa, maumivu na maamuzi makubwa. Wengi huingia hatua hii wakiwa na matarajio makubwa—lakini hukutana na uhalisia mgumu kuachwa, kukataliwa, kukosa ajira, kukosa fedha, presha za marafiki na tamaa za mwili. Ndipo...
  3. JamiiForums Tanzania Dereva akienda safari 150k kwa siku mwalimu 50k ...Dar life is not fair.....tutegemee elimu ipande kweli ???

    Tuheshimu walimu kwa kweli. Haya ni masihara
  4. JamiiForums Tanzania Wydad AC 2-0 Azam FC, Safari ya Wanalambalamba Michuano yha CAF imefikia mwisho Februari 15, 2026

    Timu ya Azam FC imekamilisha Michezo ya Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho kwa kufungwa Magoli 2-0 dhidi ya Wydad AC ya Morocco na hivyo kukwama kuingia Hatua ya Robo Fainali kwa kuwa imeshika nafasi ya 3 katika Kundi B. Matokeo mengine ya Kundi hilo, Maniema Union ya DRC nayo imeingia...
  5. JamiiForums Tanzania Safari moja ilivyotaka kunianzishia safari nyingine ya majuto

    Mwaka jana nilienda mkoa fulani kumsalimia ndugu yangu, vilevile nilitaka nikapumzike nitulize na akili kidogo. Nilikutana na mwanaume kwenye huo mkoa akaonyesha nia ya kutaka kuanzisha mahusiano yatakayopelekea ndoa kwa maelezo yake ya awali, sikuwa na huo mzuka wa ndoa ila nilihisi ana nia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Pombe haijawahi kujua kesho ni siku ya kazi, mtihani, kikao cha familia, safari, kwenda mahakamani, n.k. weka kisa chako pombe ilipokuharibia

    Pombe kweli haina kalenda 😂 Nilisema “nakunywa mbili tu, kesho ninaamka mapema.” Zile “mbili” zikawa 3, zikawa, 4, zikawa 6 asubuhi: Alarm inalia → nainyamazisha kwa hasira Kichwa kinapiga ngoma ya mdundiko Mdomo una ladha kama niliweka betri 🌚 Nilifika kazini nikitembea kama Wi-Fi isiyo...
  7. JamiiForums Tanzania Jamaa mmoja alikuwa akifika bar anaagiza bia tatu tofauti safari, castle na kilimanjaro kisha anatafata meza yenye viti vitatu.

    Jamaa mmoja alikuwa akifika bar anaagiza bia tatu tofauti safari, castle na kilimanjaro kisha anatafata meza yenye viti vitatu anakaa nakunywa zile bia moja bada ya nyingine zote tatu nakuondoka. Alirudia hii tabia mara kadhaa ndipo mhudumu wa ile bar akashindwa vumilia ikabidi amuulize...
  8. JamiiForums Tanzania Hotel For Sale Safari Inn

    Hotel For Sale Safari Inn (3 star). Location: Kisutu, Dar es Salaam. Features: 4 Floors, 44 rooms (All self contained), parking available, Stand by Generator, No Lift. Size: SQM 500. Price: USD 1 Million. Negotiable. Document: Title Deed. For further details or to arrange a viewing, Contacts...
  9. JamiiForums Tanzania Safari ya Moteswa: Kutoka Kwenye Ndoa Hadi Kuwa Madada poa

    Disemba moja baada ya kuchapika sana hapa mjini nilienda kijijini kwetu Songea. Nikiwa huku nikakutana na pisi moja inaitwa MOTESWA. Nilidata sana basi nikaanza kumfukuzia mchumba na hatimaye akaja kwenye mfumo. Basi nikaona sio mbaya kumuoa, iliwekwa mikakati ya ndoa hatimaye nikamuoa kipenzi...
  10. JamiiForums Tanzania The black death:Kifo Cheusi: Safari ya Kutisha ya Tauni (1347–1351)

    ●Kutoka katika kalamu ya Chriss Gabriel Mwaluko huu ni uchambuzi wa kina wa The Black Death. Hii si hadithi tu ya ugonjwa, bali ni ushahidi wa kipindi ambacho dunia iligubikwa na giza, hofu, na mabadiliko makubwa yaliyozaliwa ndani ya maumivu Kifo Cheusi: Safari ya Kutisha ya Tauni (1347–1351)...
  11. JamiiForums Tanzania Safari ya kutoka Ushirombo Bukombe kwenda Meatu

    Tafadhari 🙏wana JamiiForums, naomba kuelekezwa njia kufika Meatu nikiwa natokea Ushirombo Bukombe DC
  12. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri; nimerudi safari nimekuta mke sehemu za Siri zinamuuma na anazichua kwa maji ya moto.

    Baada ya kujichua siku tatu amepona. Hii imekaaje wadau?!!! Maana sielewi elewi tu.
  13. JamiiForums Tanzania Nataka kuanza safari yangu ya kuwa Data analyst unanishauri nini katika safari yangu?

    Habari zenu Mabro Mda mrefu sana nimekuwa namatani hii kitu sasa huu mwaka nimedhamiria kabisa niongeze hii skills ya data analysis Ili nikitoboa hili jalamba la Degree hapa niwe vyema kote kote Mwaka huu nimeugawanya katika quarter 4 kila quarter moja najifunza Skills moja na niliyopanga...
  14. JamiiForums Tanzania Tukio hili niliamini kama nchi bado tuna safari ndefu sana

    Hili Tukio ndio niliamini Hii nchi tuna safari ndefu sana 🤣. Siasa za Kijinga sana hizi, Imagine ilikua Trending sana, Ikawa na Bango la kimkakati kabisa.
  15. JamiiForums Tanzania Siku kama ya leo, miaka 19 iliyopita, safari ilianza!

    Time flies. Tarehe 9 January 2007, Apple walizindua iPhone ya kwanza. Katika uzinduzi Steve Jobs alisema, “An iPod, a phone, and an internet communicator... These are not three separate devices. This is one device, and we are calling it iPhone” Yaliyofuata ndio hivo tena. Hawakamatiki hadi leo.
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania tumelaaniwa. Eti Treni inasitisha Safari sababu ya Mvua. Mvua zipi?

    Yaani Safari zinasitishwa kabisa na watu wana amani. Sababu wao wanatumia ndege. Watu wanajenga reli hawakujua hii sehemu gani reli ipite juu au chini? Hawakujua Nchi yetu maji yanajaa mabondeni? Eti leo Reli inapita ndani ya maji kisa mvua imenyesha. Mbona pale Buguruni reli inapita juu...
  17. JamiiForums Tanzania Abiria SGR wasota stesheni, Mvua zakwamisha safari za Treni

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema limepata changamoto kwenye mfumo wa umeme karibu na Stesheni ya Ruvu mkoani Pwani, hali iliyosababishwa na mvua inayoendelea kunyesha nchini. Akizungumza na Swahili Times, Afisa Habari wa TRC, Fred Mwanjala amesema kwa sasa mafundi wako eneo la tukio...
  18. JamiiForums Tanzania Prof. Abdallah Safari: Kiswahili sio lugha Taifa kwa mujibu wa sheria, tunatumia kimazoea tu

    prof. Abdallah Safari ambae ni Profesa wa sheria na muandishi nguli wa vitabu ambae amewahi kuandika vitabu kama vile riwaya ya Joka la Mdimu katika mahojiano yake ameeleza kuwa lugha ya kiswahili sio lugha ya taifa bali tunaitumia tu kimazoea akirejelea kuwa katiba haina kifungu kinachobainisha...
  19. JamiiForums Tanzania Tangia nimeacha kula ugali fikra zangu zimekuwa SHARP!

    Baada ya kujua ugali ni matofali sasa hivi nimekuwa mwingi wa kula protein na mavitamini , na starch nikiipata kwa ubwabwa etc. Tutengeneze kizazi cha ma-genius kwa kuacha kula matofali KATAA UGALI, UGALI NI MATOFALI, UGALI NI MATESO
  20. P

    JamiiForums Tanzania Miaka 12 na Renata: Safari ya Mapenzi iliyofika mwisho ghafla....

    Miaka 12 ya mapenzi, visa na mikasa nikiwa na Renata Sehemu ya kwanza Wadau kwa kuwa ni mwisho wa mwaka na nimeanza likizo nikaona bora niweke bandiko langu hapa jukwaani kuhusu mahusiano yangu yaliyodumu kwa miaka 12 na mwanamke aliyeitwa Renata lakini hatukufikia kwenye ndoa. Unajua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…