safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Nna safari ya Capetown mwisho wa mwezi huu. Nani kaenda DIZONGA hivi karibuni?

    Concern yangu ni kwenye ishu ya COVID -19. Zile story za kwamba ukifika DIZONGA lazima ukae karantini wiki mbili kwenye hoteli ya 5 star kwa gharama zako mwenyewe zina ukweli wowote? Vipi kuhusu wimbi jipya la maambukizi ya COVID ni kama tunavyo aminishwa na media au huko...
  2. Safari za Dar - Dom za Rais Samia zimekuwa nyingi, ni hatari kwa usalama wake

    Kwa vile ninampenda sana Rais wangu. Napenda niwashauri hili watu wake wa karibu. Rais amekuwa haeleweki ni wapi hasa makazi yake. Safari za Dar - Dom zimekuwa nyingi sana. Na anapaa angani, ina month anaweza fanya kama mara nne mpaka saba. This is riskier...ni hatari kwa usalama wake. Vyombo...
  3. L

    China yafungua ukurasa mpya katika shughuli za safari ya anga za juu

    Chombo cha “Shenzhou” No.12 cha China hivi karibuni kilifanikiwa kuwapeleka wanaanga watatu kwenye anga ya juu. Baada ya kuunganisha chombo hicho na behewa la Tianhe lililorushwa angani mapema, wanaanga hao waliingia kwenye behewa hilo. Hii ni mara ya kwanza kwa Wachina kuingia kwenye kituo cha...
  4. Mwandishi anapoomba safari za kwenda UN, Seriously!

    Inasikitisha sana kusikiliza maswali yanayoulizwa na Waandishi. Unauonaje urais? Tupewe safari za UN, tupewe nafasi ya matangazo? Kweli? Mbona MATAGA hawateuliwi?
  5. World Rally Championship (WRC) - SAFARI RALLY KENYA 2021

    After almost 20 years, Safari Rally Kenya returns to the World Rally Championship this weekend and the roads north of Nairobi are primed, ready, waiting and completely alien to today's rallying elite. For nearly two decades the World Rally Championship crown has been missing a gem, but this...
  6. L

    Kusitishwa kwa baadhi ya safari za ndege mkoani Guangzhou hakutaathiri usafirishaji wa bidhaa nje ya China

    Hivi karibuni kulikuwa na habari kutoka kwenye baadhi ya vyombo vya habari vya nchi za magharibi, inayosema usafirishaji nje wa bidhaa kutoka China uko kwenye hatihati, na makontena yamekwama kwenye bandari za mkoa wa Guangdong (Shekou, Chiwan na Nansha) kutokana changamoto ya virusi vya Corona...
  7. W

    Safari yangu Jijini Arusha na niliyoyakuta

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Kazi iendelee. Ilikuwa ni furaha kutoka Nyanda za Juu Kusini na kuja Ukanda huu wa Kaskazini mwa Tanzania. Jiji maarufu kabisa kwa harakati za utalii. Yafuatayo ndiyo niliyoyaona na mengine yamenishangaza. 1. Covid 19 imeutesa sana huu...
  8. Nyerere national Park Exclusive 1 Day Safari

    Nyerere National Park Itinerary Early Morning at 4am, you will be picked from your hotel in Dar es salaam and after a short safari briefing from the guide, drive to Nyerere national park for 4hrs-5hrs depending on the road traffic and speed limit of 50KPH.On arrival check in at the park for your...
  9. Nahitaji Vx V8 ya kukodi kwa safari za mikoani

    Habari ya asubuhi wakuu, Nina mgeni wangu week mbili zijazo anakuja kutembea naweza pata wapi Gari ya kukodisha kwa safari za mikoani. Gari itapita mikoa hii, Dar, Morogoro, Dodoma, Singida, Shinyanga, Mwanza, Mara wilaya ya Tarime, Geita, Kahama,Tabora, Katavi ten unarudi dar kumbuka kwanzia...
  10. RwandaAir yasitisha kwa muda safari zake Uganda

    RwandaAirCopyright: RwandaAir Shirika la ndege la Rwanda, RwandAir imetangaza kuwa imesitisha kwa muda safari zake za ndege za kwenda na kutoka kwenye uwanja wa kimataifa wa ndege wa Uganda wa Entebbe mara moja. “Kutokana na kuongezeka kwa visa vya Covid-19 nchini Uganda, RwandAir inatangaza...
  11. Malkia wa Sheba (Queen of Sheba) ni nani?

    Naskia wakimtaja sana huyu malkia wa sheba kama mwanamke flani amaizingi sana na mtaalamu sana wa mapenzi. Pia aliwahi kumtembelea mfalme Solomoni baada ya malkia kusikia habari za hekima za mfalme Solomoni. Inafahamika malkia alizaa mtoto wa kiume aliemuita Menelik na huyu alikuja kuwa mfalme...
  12. Rais Mwinyi wa Zanzibar naye atakuwa anamuachia Mama awe anaenda Safari zake kama Mama afanyavyo Kwake?

    Sasa ni mara ya Pili au ya Tatu hivi naona Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan ' Safari ' zake nyingi ( hasa za Ziara za Mikutano na hata nyinginezo ) anapenda mno ' Kuwakilishwa ' na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi. Hivyo basi nami GENTAMYCINE nauliza je, na Yeye Rais wa Zanzibar...
  13. Safari za mabasi: Tuelimishane maandalizi muhimu kabla ya safari ndefu

    Toilet paper - Siwezi kujisafisha na yale maji ya vyoo vya kuchimbia dawa. Vidonge vya Fragyly (endapo tumbo likizingua) na panadol (kichwa kikiuma) Sinunuagi chakula njiani, huwa kinapkwa asubuhi nakiweka kwenye hotpot Maombi, haya ni muhimu kabla na baada ya safari. Kuchaji simu / power...
  14. Marekebisho mapya na safari ya Mateso gerezani.

  15. Mgogoro wa Israel na Palestine - Safari ya Tera

    Na, Robert Heriel Tz PART 1: SAFARI YA TERA Huwezi zungumzia Taifa la Israel bila kumzungumzia Tera. Wazo la Israel kwenda Kanaani (Palestine) ya leo liliasisiwa Tera. Tera ndiye Baba wa Abraham, Nahori na Harani. Tera alikuwa akiishi Uru ya Ukaldayo (Kati ya nchi ya Shinari na bara Aram)...
  16. Safari yangu ya Mwanza

    Safari imeanzia kwenye Office za Mabasi ya Allys Star pale Shekhe Kilango. Tumetoka saa 11:40 kuelekea Mbezi Stand tukachukua Abiria na kuanza safari. Gari nmejaribu kuangaza angaza ndani kumependeza. Wapo warembo wa kutosha na watu wengi nawaona wana bashasha. Tumefika sehemu Morog kufukia...
  17. T

    Safari moja nje ya nchi imenigharimu zaidi ya laki nne(400,000) kwenye vipimo vya Corona tu

    Nilikuwa na safari moja nje ya nchi. Kabla ya kuanza safari, nilitakiwa kupima Corona hapa Tanzania ambayo ni dola 100 (231,000), nilivyofika kwenye ile nchi (West Africa). Sheria ya ile nchi ilinilazimu nifanye self isolation kwa siku 7, then nikaenda kupima ile rapid test (ilikuwa Bure)...
  18. Umewahi safiri umbali gani kufuata penzi?

    Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye maada. Mapenzi yana nguvu sana pale unapopenda kisawasawa unaweza tembea umbali mrefu kufuata penzi bila kujali umbali, gharama zozote ili mradi ufanikishe jambo Binafsi nina visa viwili. 1. Niliwahi kusafiri toka Moshi kwenda Tanga kufata penzi...
  19. Mafanikio ya ATCL: Safari za moja kwa moja kutoka Tanzania kwenda Guangzhou China zaanza

    Shirika la ndege la Tanzania (Air Tanzania) imefanya safari yake kwanza leo alfajiri kuelea mji wa kibiashara Guangzhou nchini China. Air Tanzania itakuwa inafanya safari zake moja kwa moja toka Dar es Salaam, Tanzania mpaka Guangzhou nchini China huku ikitumia takribani masaa 11 ikiwa angani.
  20. Safari yangu ya kwanza na Air Tanzania

    Amani iwe kwenu wadau wa JF. Leo ndio siku niliyopanga kuanza kuiunga mkono Air Tanzania katika safari zangu zote za anga nitakazofanya katika maisha yangu yaliyobaki. Leo naelejea Geita, pamoja na kwamba naenda kwenye msiba, nimepata nafasi ya kujaribu ufanisi wa Shirika letu na kuliunga mkono...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…