safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwaka 2024 nilipata bahati ya kwenda Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Sikujua kwamba safari ile ingeniachia simulizi ambalo mpaka leo silisahau

    Part 01 Nilipofika Congo, kila kitu kilikuwa kipya machoni mwangu. Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kufika huko, hivyo kila nilichokiona kilinifanya nishangae. Kadiri siku zilivyokwenda, nilianza kuzoeana na watu wa huko na kuishi nao kama nilivyozoea kuishi na watu Tanzania. Ukaribu wangu na...
  2. JamiiForums Tanzania 3 days Tanzania budget sharing safari package

    Looking for an affordable way to experience an authentic African safari? Our 3 Days Tanzania Budget Sharing Safari Package is perfect for solo travelers, couples, friends, and adventure seekers who want to discover Tanzania's spectacular national parks while sharing the experience with other...
  3. JamiiForums Tanzania 2 days Tanzania sharing group joining safari package by Widerange African Safaris

    The 2-day Tanzania sharing group joining safari by Widerange African Safaris is a budget-friendly way to explore the Northern Circuit. Priced at roughly $400 to $850 per person, the package usually departs from Moshi or Arusha and includes shared 4x4 transport, park fees, daily meals, and lodge...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa na Safari Leo, Nikashauriwa na Afisa wa Cheo Cha Juu wa Vyombo Vya Usalama, Nisisafiri

    Leo ilikuwa nisafiri kuelekea Dar, siwezi kutaja kutoka mkoa gani, maana nitakuwa namweka wazi aliyenishauri. Mkuu huyu wa vyombo vya ulinzi na usalama, ngazi ya mkoa, aliniambia kuwa siyo salama kusafiri leo. Nilimwuliza, mbona tumetangaziwa hali ni shwari, tuendelee na kazi za kawaida...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimeshindwa kusafiri kisa Uhamiaji Mbeya wamechelewesha passport yangu

    Bado nina malalamiko dhidi ya Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya. Kutokana na ucheleweshaji wa utoaji wa pasipoti, hatimaye nimeshindwa kufanya safari yangu iliyokuwa imepangwa kwa mwaka huu wa 2026. Kinachonisikitisha zaidi ni kwamba, pamoja na kufuatilia mara kwa mara, sijapewa maelezo ya...
  6. JamiiForums Tanzania Hoteli ya Mapito Safari Camp, Serengeti, kulala Usiku mmoja ni Milioni 4.5 hadi Milioni 7. Nani mmiliki?

    Inadaiwa inamilikiwa na Mtanzania Patel. Lakini nimeongea na Mwarabu rafiki yangu, nilimuuliza kwanini Tangu Januari 2026 hii hotel inapokea Watu wengi kutoka Uarabuni hasa Oman? Gharama ya kulala pale usiku mmoja, inaanzia milioni 4 hadi Milioni 7 na kuendelea kutegemeana na Msimu. Akanijibu...
  7. JamiiForums Tanzania Trillion iliyotengwa kwa kinachoitwa "safari za viongozi" ni Double Allocation. Kila wizara ya Kisekta ina fungu la OC ndani yake zimo safari

    Hii ni serikali ni wizi mtupu tena kwa kutumia mfumo rasmi ikiwemo Bunge.. Kinachogonga vichwa vya watu sana ktk bajeti hii ya 2026/2027 ambayo hawa hayawani waliookotana huko na kukutana Dodoma wakijiita "Wabunge" wamepitisha/wametia muhuri kuwapa idhini viongozi wa serikali hii haramu, ya...
  8. JamiiForums Tanzania Sugu ukikubali kudhulumiwa haki ya ubunifu wa wazo lako kimuziki safari hii nitakushangaa sana. Bado nasubiri response yako kuhusu hili tamasha.

    Ukiachana na mambo ya siasa, Sugu ni genius kwenye mambo ya biashara ya burudani. Fast toward, mwaka 2004 Sugu aliandaa / aliratibu tamasha maalumu la kutoa elimu ya na malaria na UKIMWI kwa vijana kwa njia ya tamasha la muziki. Sugu alienda hadi Marekani zaidi ya mara moja katika harakati za...
  9. JamiiForums Tanzania Maandamano ya July 07, yakimbiza watalii, wageni wengi wame cancel safari za Tanzania

    Daa hii nchi sijui kama itatulia, serikali inazidi kukaza kichwa. Nimeongea na mtu wa Tourism sector Arusha, alikuwa analia kilio Cha kusaga meno. Wageni wengi kutoka ubeberuni walikuwa wamefanya booking za kuja Tanzania, ila kutokana na hofu ya maandamano ya July 07, wame-cancel safari zao...
  10. JamiiForums Tanzania Nani anaweza kunisaidia kupata uthibitisho wa safari ili nipate passport??

    Naombeni msaada ndugu zangu, Nahitaji passport kwa matumizi ya Baadae je nani anaweza kunisaidia kupata uthibitisho wa safari. Au huwa mnatumia njia gani kupata pasipoti?
  11. JamiiForums Tanzania Je hili inaweza kuwa Uthibitisho wa safari ili kupata passport?

    Nikisema nataka kujifunza udereva kwa kuwa Tingo hivyo nina safari za mara kwa mara za nje ya nchi... Sababu hii inaweza kuwa sehemu ya mimi kupata hati ya kusafiria?
  12. O

    JamiiForums Tanzania ATCL Yazindua safari za mwanza - dodoma, abiria 1300 kwa siku

    ATCL YAZINDUA SAFARI ZA MWANZA - DODOMA, ABIRIA 1300 KWA SIKU Shirika la Ndege Tanzania(ATCL), limezindua safari zake za utoaji huduma kati ya Mwanza -Dodoma ikiwa ni kurahisisha safari kwa watumiaji kwa njia ya anga. Safari hizo zilianza Juni 5,2026, ikitajwa kusaidia wafanyabiashara na...
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Austerity ni ya Wananchi Tu? Serikali Yatumia Ksh 17.3B kwa Safari na Ksh 4.9B kwa Hospitality

    Jamani hii ni noma! Wakati wananchi wanaambiwa kubana matumizi na kukaza mkanda, ripoti ya Controller of Budget imefichua kuwa serikali ilitumia Ksh.17.3 billion kwa safari za ndani na nje ya nchi kati ya Julai 2025 na Machi 2026. Bunge liliongoza matumizi makubwa ya safari huku State House...
  14. JamiiForums Tanzania ATCL Yaanza Safari za Moja kwa Moja Dar-Moscow 2026

    HISTORIA INAANDIKWA! Kuanzia 2 Julai2026, Air Tanzania itaanza safari za moja kwa moja kati ya Tanzania na Moscow mara 3 kwa wiki kwa kutumia Boeing 787 Dreamliner. Tanzania imefungua njia mpya na fursa za biashara, utalii, uwekezaji na ushirikiano wa watu kwa watu kati ya Tanzania na Urusi...
  15. JamiiForums Tanzania Safari za Shirika la Ndege la Brussels Airlines kutoka Brussels - KIA zazinduliwa Rasmi

    Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya usafiri wa anga na utalii baada ya Shirika la Ndege la Brussels Airlines kuzindua rasmi safari zake za moja kwa moja kati ya Brussels, Ubelgiji na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) katika hafla iliyofanyika Juni 3, 2026. Kuanza...
  16. JamiiForums Tanzania Tafsiri ya Mapigo ya Misri Katika Safari ya Mkristo ya Kutakaswa Kupitia Mateso

    Katika mtazamo wa kiroho wa Kikristo, mapigo kumi ya Misri yanaweza kuonekana kama mfano wa hatua ambazo Mungu humpitisha mwamini ili kumwondoa katika utumwa wa dhambi na kumfanya afanane na Kristo. Misri inawakilisha ulimwengu wa dhambi, mwili, na utumwa wa shetani. Kwa Mkristo, mapigo haya...
  17. JamiiForums Tanzania Juma na Ali Safari Mbili za Maisha

    Maisha ni kama hadithi Pindi tu unapozaliwa, ukurasa mpya wa hadithi hufunguliwa Unajikuta kwenye dunia ukiwa mgeni kabisa, na jambo la ajabu zaidi ni kwamba hujui ulipotoka Ukiachana na simulizi za Biblia na Qur’an, bado huna uhakika mkubwa kuhusu safari yako ya kuja hapa duniani wewe ni...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania y Zanzíbar: El Viaje Perfecto entre Safari, Naturaleza y Playas Tropicales

    Tanzania y Zanzíbar representan una de las combinaciones de viaje más completas y espectaculares de África. Cada año, miles de viajeros internacionales visitan Tanzania para descubrir la increíble vida salvaje de sus parques nacionales y después relajarse en las playas paradisíacas de Zanzíbar...
  19. JamiiForums Tanzania UDOM yatoa mafunzo ya mradi wa safari kuboresha huduma za ultrasound kwa wajawazito

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), leo Mei 25, 2026, kimetoa mafunzo ya ukusanyaji wa taarifa za msingi kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa SAFARI, unaotumia teknolojia ya Akili Unde (AI) kuboresha huduma za ultrasound kwa akina mama wajawazito. Mradi huo unatekelezwa na UDOM kwa kushirikiana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…