Safari ya Windows: Kutoka '95 Hadi '11 na Siri Zake

Menejaben

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
707
Reaction score
671
Win 95: Sauti yake maarufu ya kuwaka (startup sound) ilitengenezwa na mwanamuziki Brian Eno akitumia kompyuta ya Mac!
Win 98: Ilileta "Blue Screen of Death" (BSOD) live jukwaani mbele ya Bill Gates wakati akionyesha muunganiko wa USB.
Win Me: Ilikuwa na crash nyingi hivi kwamba watumiaji wakaipa jina la "Mistake Edition".
Win XP: Picha ya wallpaper ya milima ya kijani (Bliss) ni picha halisi na ndiyo picha iliyotazamwa zaidi duniani!
Win Vista: Ilileta muonekano wa vioo (Aero Glass) lakini ilidai nguvu kubwa ya kompyuta hivi kwamba PC nyingi za zama hizo ziligoma.
Win 7: Ilipendwa na kuwa thabiti hivi kwamba watu walikataa kuacha kuitumia kwa zaidi ya miaka 10.
Win 8: Microsoft waliondoa kitufe cha Start, jambo lililowakasirisha watumiaji hadi ikabidi wairudishe kwenye Win 8.1.
Win 10: Microsoft waliahidi ingekuwa toleo la mwisho la Windows, kabla ya kuwashangaza watu na Win 11! Pia ndio toleo lilianza kupatikana kwa njia za kudownload pekee bila CDs, CD zilipatikana kwa wateja wakubwa tu wa kibiashara.
Win 11: Ni toleo liliongeza mifumo ya kiulinzi na kiusalama zaidi hadi kufanya mamilioni ya kompyuta ambazo si zamani nazo kukosa sifa rasmi ya kuwekwa toleo hilo. Pia toleo hili ndio toleo lililokamilisha njia rasmi ya upatikanaji kwa njia ya mtandao pekee, njia nyingine za CDs na Disk (USB) spesheli zilikufa rasmi.

Je, ni toleo gani kati ya hizi uliipenda zaidi ulipokutana nalo kwa mara ya kwanza?
 
Me nimetumia window 95 mambo ya Dos command kwenda mbele nikaja kuipenda sana window Xp sema ndo hivyo kwasababu ya upgrading security ikawa changamoto saivi nipo na window 10 ila window 11 sijaielewaa
 
Kiukweli sijawahi ielewa windows, nimetumia sana ubuntu, fedora, linux nk
 
Win 95: Sauti yake maarufu ya kuwaka (startup sound) ilitengenezwa na mwanamuziki Brian Eno akitumia kompyuta ya Mac!
Win 98: Ilileta "Blue Screen of Death" (BSOD) live jukwaani mbele ya Bill Gates wakati akionyesha muunganiko wa USB.
Win Me: Ilikuwa na crash nyingi hivi kwamba watumiaji wakaipa jina la "Mistake Edition".
Win XP: Picha ya wallpaper ya milima ya kijani (Bliss) ni picha halisi na ndiyo picha iliyotazamwa zaidi duniani!
Win Vista: Ilileta muonekano wa vioo (Aero Glass) lakini ilidai nguvu kubwa ya kompyuta hivi kwamba PC nyingi za zama hizo ziligoma.
Win 7: Ilipendwa na kuwa thabiti hivi kwamba watu walikataa kuacha kuitumia kwa zaidi ya miaka 10.
Win 8: Microsoft waliondoa kitufe cha Start, jambo lililowakasirisha watumiaji hadi ikabidi wairudishe kwenye Win 8.1.
Win 10: Microsoft waliahidi ingekuwa toleo la mwisho la Windows, kabla ya kuwashangaza watu na Win 11! Pia ndio toleo lilianza kupatikana kwa njia za kudownload pekee bila CDs, CD zilipatikana kwa wateja wakubwa tu wa kibiashara.
Win 11: Ni toleo liliongeza mifumo ya kiulinzi na kiusalama zaidi hadi kufanya mamilioni ya kompyuta ambazo si zamani nazo kukosa sifa rasmi ya kuwekwa toleo hilo. Pia toleo hili ndio toleo lililokamilisha njia rasmi ya upatikanaji kwa njia ya mtandao pekee, njia nyingine za CDs na Disk (USB) spesheli zilikufa rasmi.

Je, ni toleo gani kati ya hizi uliipenda zaidi ulipokutana nalo kwa mara ya kwanza?
Win 98 ,Win 2000 ,Win XP Sp1 -Sp3 nikaja Win 7 ,nikatoka sasa nipo kwenye MAC OS.
 
vipi kuhusu windows 2000?
 
Nilianza kutumia windows 7, 8 kdg then 10, kwa sana nikaja kutumia 11 lakini to be honest zote hizo linux ndio msingi bora nilivyoanza kutumia linux baada tu kdg ya kutumia win10 sijaweza kabisa kurudi kwenye windows hua na run kwenye vM tu
Linianza na ubuntu but GNOme is not my favorite nikatumia Linux Mint with cinnamon but ili recreate desktop file na kudelete all of my data nikaona huu ujinga nikatumia Popos with cosmos but it was buggy so i returned to ubuntu then win 11 then finally peace of my heat Fedora 44KDE edition

Pia niliwahi tumia kubuntu,lubuntu but ubuntu based distro with snaps sucks
 
Cha kushangaza mchina hana operating system yoyote ya computer😀😀😀😀
Kwenye Vidaa Os inasikitisha sana😀😀😀
 
Back
Top Bottom