sadc

The Southern African Development Community (SADC) is an inter-governmental organization headquartered in Gaborone, Botswana. Its goal is to further regional socio-economic cooperation and integration as well as political and security cooperation among 16 countries in southern Africa.

View More On Wikipedia.org
  1. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia EAC na SADC?

    Rais Samia Suluhu ameaminika na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuwa mwenyeji wa kikao cha usuluhishi kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Rwanda kwa sababu kadhaa muhimu: 1. Uhusiano wa Kijadi wa Tanzania kama Nchi Isiyoegemea...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Lissu kama Rais angeleta Impact Kubwa kwenye Mkutano huu EAC na SADC

    Lissu kulingana na ujasiri aliobarikiwa na Mungu pamoja na uzoefu wake mkubwa wa kushughulika na migogoro mbalimbali nchini ikiwemo wa Kuwaondoa Wamasai wa ngorongoro katika eneo lao la asili ingempa kete ya juu katika mkutano wa usuluishi wa mgogoro wa Congo uliotoka kumalizika siku hizi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Walioandaa mapokezi yenye ngoma na matarumbeta kwa viongozi wa SADC na EAC wakati wamekuja kujadili msiba wa DRC wanapaswa kuwajibishwa.

    ..Naamini kitendo hicho kinajenga picha kwamba hatuko serious. ..Huenda Watanzania tumeambukizwa usanii-sanii na Wacongomani. ..Congo kuna msiba halafu sisi tumeandaa ngoma katikati ya msiba. ..Tanzania tumepoteza vijana wetu, na hata miili yao hatujaipewa, halafu tunacheza ngoma na...
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Huu Mkutano wa SADC Samia alitoa maoni gani tufahamishwe watanzania

    Natamani sana kusikia ambacho alizungumza samia katika huu mkutano wa Sadc. Tusikie nasi rais wetu alitoa mchango gani au alishauri nini. Haya mambo ndo unatamani angekuwepo Nyerere au Mkapa. Hawa wangeweza kuzungumza kwa kujiamini sana bila kumung'unya mung'unya maneno na kwa strong faces...
  5. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Utegemezi Afrika jadi yetu - Bajeti AU, SADC, EAC 60% zinategemea wafadhili

    1. Majengo ya Makao Makuu - AU Addis Ababa (Msaada toka China). EAC, Arusha (Msaada toka Ujerumani). 2. Bajeti zaidi ya 60% kutoka kwa wafadhili (hususani EU, huku wanachama wakisuasua kutoa ada kila mwaka).
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Rais Samia ashiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa EAC na SADC Februari 8, 2025

    Rais Samia akishiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa EAC na SADC Februari 8, 2025. Rais Samia amewataka viongozi wenzake wa Kikanda kuchukua hatua madhubuti kuhusu hali inayoendelea kuzorota katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, akionya kwamba historia itawahukumu vikali...
  7. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Kagame aitaka SADC ikae mbali na DRC

    Mheshimiwa Kagame ameitaka SADC (yenye wanachama 16 ikiwamo Afrika Kusini) ikae mbali na DRC maana hayawahusu. **Kagame anaongea Kama Nani? Msemaji wa DRC? -- FOLLOWING a recent threat of military action against South Africa, the Rwandan government has now angrily responded to the Southern...
  8. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Migogoro wa Congo unavyotumia pesa za walipakodi SADC& EAC

    Mapigano Goma, Congo vikao kwenye majiji mengine barani mara Harare na sasa Dar es Salaam ambako viongozi toka SADC na EAC (joint summit) watakutana physically Dar kujadili mgogoro ule ule waliojadili Harare wiki iliyopita. 1. Presidential jets (16+) 2.'Business class tickets (Ministers & other...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mwenyeji wa mkutano wa marais wa nchi za SADC na EAC kujadili Mgogoro wa DR Congo

    03 February 2025 Dar es Salaam, Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan amekubali kwa ukarimu kuandaa mkutano huo kujadili hali ya Mashariki mwa DRC Dar es salaam kupokea marais wa nchi za sadc na eac kujadili mgogoro wa nchi ya dr congo Mkutano wa pamoja wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa...
  10. Jamiitrailer

    JamiiForums Tanzania Uzembe wa SADC kuligeuza jeshi lake liwe la kulinda amani DRC badala ya kupigana ndicho kinachofanya M23 na Rwanda waonekane kama wana uwezo mkubwa

    Jumuiya ya SADC inafanya maamuzi kiwepesi na kutekeleza maazimio yake ya kuilinda Congo DRC kwa mtindo wa kizimamoto. Mwezi Mei 2023,SADC ilipitisha azimio la kupeleka jeshi lake Congo DRC,ambayo ni nchi mwanachama ili kusaidia kurudisha hali ya amani eneo la mashariki DRC. Jeshi la SADC...
  11. Heparin

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC walaani mashambulizi ya M23 na RDF, waunga Mkono juhudi za Kidiplomasia kutatua mgogoro huu

    Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ulifanyika tarehe 31 Januari 2025, Harare, Zimbabwe, chini ya uenyekiti wa Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa. Mkutano huu ulijadili hali ya usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Msumbiji iliwakabidhi Rwanda majukumu ya kusaidia ulinzi badala ya nchi majirani zake wa SADC?

    Kutokana na uasi uliochanganyikana na ugaidi kushamiri katika jimbo la Cabo Delgado mwaka 2021 serikali ya Msumbiji baada ya kuzidiwa sana waliingia makubaliano na nchi Rwanda kupeleka majeshi yake katika jimbo hilo kurudisha hali ya utusalama na utulivu. Baada ya kuona ufanisi mkubwa wa kikosi...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuelekea Zimbabwe kushiriki Mkutano wa dharura wa SADC kujadili Usalama DRC

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kusafiri kuelekea Harare, Zimbabwe kesho tarehe 31 Januari, 2025 kwa ziara ya kikazi ya siku moja. Akiwa nchini...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha dhahabu cha watawala nguli katika geopolitics na diplomasia ukanda wa SADC na Africa Mashariki kimefifia sana

    Ukanda wa SADC na Africa Mashariki umewahi kuwa na watawala nguli sana wa geopolitics na diplomasia mwaka 2015 kurudi nyuma. Nyerere, Mandela, Thabo Mbeki, Mkapa, Chisano na Kikwete ambaye ni kama alifunga ukurasa huu walikuwa wanaweza hata kuitisha kikao cha pande zinazogombana, zinazopigana...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania DRC iwaangukie "mabeberu" wakubwa wa Magharibi kumaliza vita nchini kwake, mabeberu wanahitaji kubembelezwa kidogo tu na kuheshimiwa kumaliza mgogoro

    Vita vya muda mrefu na ukosefu wa amani mashariki mwa Congo(DRC) nyakati hizi kwa kiasi kikubwa vinachangiwa na udhaifu wa dola ya DRC kudhibiti nchi pamoja biashara ya madini adimu mbalilmbali yenye mahitaji makubwa duniani kwa sasa. Baada ya Waafrika wenyewe kuushindwa huo mgogoro bila shaka...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Waasi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanasema wamechukua mji muhimu wa Goma

    Kama Mkuu wa majeshi ya M23 anavyonukuliwa na shirika la habari la UK, SKY NEWS.... Waasi wa Kongo wanasema wamechukua mji muhimu wa Goma katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Kiongozi wa muungano wa waasi unaojumuisha kundi la M23 alisisitiza Jumapili kwamba majeshi ya serikali...
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo Aongoza Ujumbe Wa Tanzania Mkutano Wa Dharura Wa Mawaziri Wa SADC Organ Zanzibar

    WAZIRI KOMBO AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA MKUTANO WA DHARURA WA MAWAZIRI WA SADC ORGAN ZANZIBAR Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mwenyekiti wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC- Organ), Mhe. Balozi...
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Utatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi hiyo kwa njia ya mtandao katika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 11 Desemba, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Utatu wa Wakuu wa Nchi na...
  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo aongoza Mkutano wa dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC

    Waziri Kombo aongoza Mkutano wa Dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa...
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo aongoza Mkutano wa Dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC (SADC-Organ)

    WAZIRI KOMBO AONGOZA MKUTANO WA DHARURA WA KAMATI YA MAWAZIRI WA ASASI YA SIASA, ULINZI NA USALAMA YA SADC (SADC-Organ) Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza Mkutano wa Dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi...
Back
Top Bottom