sadc

The Southern African Development Community (SADC) is an inter-governmental organization headquartered in Gaborone, Botswana. Its goal is to further regional socio-economic cooperation and integration as well as political and security cooperation among 16 countries in southern Africa.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Waendesha Baiskeli wa Kimataifa EAC, SADC na Marekani washiriki Twende Butiama 2025

    Dar es Salaam, Julai 2, 2025: MSAFARA wa baiskeli wa Twende Butiama mwaka 2025 umeanza rasmi leo jijini Dar es Salaam, ukiwa na waendesha baiskeli zaidi ya 200 waliojitolea kushiriki safari hii ya kihistoria ya zaidi ya kilomita 1,500 kwa muda wa takribani siku 11 kutoka jijini Dar es Salaam...
  2. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Wataalam SADC wakutana Zimbabwe kujadili sekta ya nishati na maji

    WATAALAM SADC WAKUTANA ZIMBABWE KUJADILI SEKTA YA NISHATI NA MAJI 📌 Miundombinu ya usafirishaji umeme kikanda kujadiliwa 📌 Nishati Safi ya kupikia kupewa kipaumbele 📌 Mkakati mahsusi wa kuongeza watumiaji wa umeme Afrika (M300) kuwa moja ya Ajenda 📌 Maendeleo ya Sekta ndogo ya Mafuta na Gesi...
  3. Jamiitrailer

    JamiiForums Tanzania Endapo jumuiya ya SADC isingekuwa na ubovu na uzembe katika utendaji, mzozo wa kibiashara kati ya Malawi, Afrika kusini na Tanzania usingekuwepo

    Habari wakuu, Huu mzozo wa kibiashara kati ya Malawi,Afrika ya Kusini na Tanzania sidhani kama ungekuwepo kama Jumuiya ya SADC ingekuwa inafanya kazi zake sawasawa kwa mantiki ya kusimamia utekelezaji wa maazimio yake. Nasema hivi kwa sababu nchi zote hizi tatu katika mgogoro ni wanachama wa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mapigano ya Ikela. Jinsi Zimbabwe walivyonasua askari wao waliokuwa wamezingirwa na waasi wa Congo na Rwanda

    Tukio hilo lilitokea mwaka 1999 / 2000 wakati Rwanda na Uganda walipovamia DRC. Zimbabwe, Angola, na Namibia, walituma askari kupitia umoja wa SADC kumsaidia Rais Laurent Kabila. Katika kumsaidia huko askari wa Zimbabwe walijikuta wamezingirwa na majeshi ya waasi waliokuwa wakisaidiwa na...
  5. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania SADC na SAMIDRC zaufyata tena mbele ya AFC/M23. Mwaka wa kudhalilika na kuvuliwa nguo

    Siku za nyuma, SAMIDRC Mission ilifikia makubaliano na M23, ya kuirahisishia kuondoa wanajeshi wake huko mashariki mwa DRC. South Africa, kwa kuogopa kuzomewa kama walivyofanyiwa mamruki wa Ulaya, walipokuwa wakipita mpakani mwa Rwanda na DRC, waliiomba M23 kwa makubaliano(Hakika yalikuwa na...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Umoja wa Demokrasia wa Afrika: Tunatoa wito Tundu Lissu aachiwe, Umoja wa Afrika na SADC ingilieni

    Umoja wa Demokrasia wa Afrika unatoa wito kwa kuachiliwa mara moja kwa Mhe. Tundu Lissu. Mashtaka ya uhaini kwa kusukuma mageuzi ya uchaguzi? Hili ni janga kwa demokrasia yetu. Tunazihimiza @_AfricanUnion, SADC na asasi za kiraia kuchukua hatua. ======= The Democracy Union of Africa calls for...
  7. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Msemaji wa Waasi wa M23 Willy Ngoma Alivyopokelewa Katika Kambi ya Majeshi ya SADC

    Mapokezi ya Msemaji wa waasi wa M23 wanaoungwa Mkono na Rwanda Willy Ngoma alivyopokelewa Katika Kambi ya Majeshi ya SADC. Video hii inaonyesha akipiga stori na wanajeshi wa SADC Kutoka Tanzania , akiomba pia mualiko wa sikukuu ya Eid El Fitr kula pilau jijini Dar es Salaam. Pia majeshi ya SADC...
  8. Brigadier Isaac

    JamiiForums Tanzania Sababu vikosi vya SADC vilivyopo DRC kushidwa kukabiliana M23 wanaungwa mkono na Rwanda ni hii

    Ukweli usemwe Naweza kua sipo field ila kwa huu mtililiko wa Mambo nirahisi kuona matobo na udhaifu uliopo haitaji kuwa na akili za jasusi kung'amua unafiki,usaliti unaondelea hapa kati tangu mwaka Jana 2024 vikosi vya SADC vilivyowasili DRC mwaka Jana Mwaka Jana 2024 wote tulishuhudia vikosi...
  9. Daby

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: SADC kwa week kadhaa imekuwa inaiomba M23 ruhusa ya ku-withdraw pamoja na vifaa vya kijeshi vilivyo twaliwa na M23

    Rwanda na M23 kwa wakati mwingine wameziaibisha nchi zaidi ya 10 ukanda wa Kusini mwa Afrika. Kwa tetesi zilizopo kwa zaidi ya week tatu sasa majeshi ya SADC yamekuwa yanaiomba M23 kurejesha silaha walizotwaa kutoka vikosi vya SADC na ruhusa ya kupita Goma wakati wakurudi nchi zao. Kumbuka...
  10. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania SADC yaingia makubaliano na AFC/M23

    Kwenye mkutano wa viongozi wakuu wa majeshi ya nchi wanachama wa SADC, huko Goma, Serena Hotel, badhi ya makubaliano yamefikiwa, ikiwa ni pamoja na haya: -AFC/M23 kusaidia majeshi ya SADC kuondoka nchini -SADC kuondoka na silaha zao, huko za serikali ya DRC zikikabidhiwa AFC/M23. -wataalam wa...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Sultan Makenga, kiongozi wa M23, alikuwa anatafutwa Congo. Kisha akaita kikao kuwaamuru wanajeshi wa SADC kuondoka DRC

    Inaripotiwa kwamba katika mkutano na Jenerali Sultan Makenga wa M23, uamuzi ulifikiwa kwamba silaha zote za SADC zitarudishwa kwao, huku M23 ikibaki na silaha za FARDC na FDLR. Miongoni mwa waliotia saini ni majemadali wa nchi zilizo shindwa, ambao majeshi yao yalishindwa vitani na M23 na...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki mkutano wa EAC na SADC kwa njia ya mtandao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwa njia ya mtandao tarehe 24 Machi, 2025 Ikulu ndogo ya Mkanyageni...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi ashiriki kikao cha Mawaziri wa asasi ya siasa, ulinzi na usalama ya SADC

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mheshimiwa Dkt. Stergomena Tax (Mb), tarehe 05 Machi, 2025, ameshiriki kikao cha Dharura cha Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kilichofanyika kwa njia ya mtandao kujadili hali ya usalama...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo aongoza Mkutano wa dharura wa Kamati ya Mawaziri wa SADC

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameongoza Mkutano wa Dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Utatu wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) *ulio*fanyika kwa njia ya mtandao kujadili hali ya usalama...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Canada inaunga mkono juhudi za nchi EAC, SADC na Umoja wa Afrika zakuleta wadau wote Congo mezani kwa mazungumzo

    Mheshimiwa Mélanie Joly, Waziri wa Mambo ya Nje; Mheshimiwa Ahmed Hussen, Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa; na Mheshimiwa Mary Ng, Waziri wa Ukuzaji wa Mauzo ya Nje, Biashara ya Kimataifa na Maendeleo ya Uchumi, leo ametoa kauli ifuatayo: "Canada inalaani kwa maneno makali iwezekanavyo harakati...
  16. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanajeshi wa SADC warudishwa nchi wanazotokea, kupitia Rwanda

    Mida ya saa moja kasoro robo, leo hii tarehe 24 Februari 2025, badhi ya wanajeshi wa SADC waliokuwa Goma, kwenye mission ya SAMIDRC, wamepitia mpaka mkubwa wa Goma na Rubavu, wakirudi makwao. Ni baada ya kuwepo DRC kulisaidia jeshi la serikali ya Congo (FARDC) kukabiliana na kundi la M23...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Wazo la ‘Upatu’ la Wachekeshaji laweza kuwa na manufaa kwa SADC

    Katika hali ya utani, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wazo lililotolewa na wachekeshaji la kucheza mchezo wa ‘upatu’ linaweza kuwa zuri endapo likibadilishwa na kutafutiwa namna bora ili kusaidia masuala ya kifedha ya nchi za Kiafrika. Rais Samia amesema wazo hilo likichukuliwa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Waasi waalika jumuiya za EAC na SADC waje maeneo yaliyokombolewa na AFC/M23

    18 February 2025 Katika mahojiano na msemaji wa AFC /M23 Bw. Lawrence Kanyuka amewataka ujumbe wa EAC na SADC watembelee maeneo yaliyokombolewa na waasi Lawrence Kanyuka https://m.youtube.com/watch?v=FwWbbi-Ybms ili kujionea ukweli wa masuala ya utawala bora, usalama na ulinzi ulivyodumishwa...
  19. F

    JamiiForums Tanzania SADC yaiandikia barua Jumuiya ya ECOWAS kumuunga mkono Mgombea wa Madagascar na sio wa Kenya (Raila).

    Naona Raila hana bahati. SADC yamruka na kumuunga mkono mgombea kutoka Madagascar na imeiomba jumuiya Africa Magharibi kufanya hivyo pia.
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tanzania inasimama na nani katika mchuano wa mwenyekiti wa kamisheni ya Umoja wa Africa(AU) kati ya SADC na Africa Mashariki(EAC)?

    SADC imewataka wanchama wake wote kumuunga mkono mgombea wa anayetoka Madagascar lakini upande Africa Mashariki yupo Raila Odinga. Hapa Tanzania inapigaje ikiwa mwanachama wa jumuiya zote mbili?!
Back
Top Bottom