The Southern African Development Community (SADC) is an inter-governmental organization headquartered in Gaborone, Botswana. Its goal is to further regional socio-economic cooperation and integration as well as political and security cooperation among 16 countries in southern Africa.
Ni kwa kiwango gani Kiongozi lazima anatakiwa kuanguka hadi majirani zake waanze kujifanya kana kwamba hayupo? Hilo ndilo swali lenye ukakasi linaloizunguka Tanzania na Rais wake, Samia Suluhu Hassan, baada ya yeye na nchi yake kutotajwa kabisa katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa SADC wiki hii —...
Mzee huyu Kwa kutanguliza mbele tumbo lake ameliharibu taifa. Kikwete amekuwa election observer katika nchi mbalimbali za Afrika, aliona chaguzi zenye staha kama uchaguzi wa Kenya, na Ghana.
Kikwete alinukuliwa live anasema uchaguzi wa Kenya ni huru na Haki Kwa Hali ya juu.
Uku kwetu bila aibu...
Licha ya kubeba vitambulisho vyao vya uangalizi, waangalizi wetu waliokuwa Mjini Tanga walikabiliwa na mahojiano makali kutoka kwa vyombo vya usalama, nyaraka zao rasmi zikiwemo pasipoti, zilichukuliwa (ingawa baadaye zilirudishwa), na walilazimishwa kufuta picha zinazohusiana na kazi ya...
Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) imesema kuwa uchaguzi uliohitimishwa hivi karibuni nchini Tanzania haukutimiza viwango vinavyohitajika ili kutangazwa kuwa huru na wa haki.
Katika ripoti yake ya awali, Ujumbe wa Waangalizi wa SADC (SEOM) umebainisha kuwepo kwa vitisho...
Si kwamba hakuna amani ipo lakini kuna uvunjifu mkubwa sana wa haki na hivi sasa kumetawala sana hofu kwa wananchi.
Najua watakuhendo vizuri kwa sababu ni mgeni lakini tulio ndani tunajua kinachoelendelea. Ila nikupashe habari kwamba hata hiyo siku ya uchaguzi kutafanyika maandamano makubwa...
Rais wa Malawi, ambaye pia ni mwenyekiti wa SADC, Lazarus Chakwera ametoa wito kwa wananchi wa visiwa vya Shelisheli kujitokeza kupiga kura ili kushiriki mchakato wa maendeleo katika nchi yao.
Kupitia tamko alilolitoa leo Sept 24, amesema SADC imealikwa kuuangalia uchaguzi huo kama inavyotakiwa...
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dr. Philip Isdor Mpango amesema kuwa maandalizi muhimu kwa ajili ya kufanya uchaguzi mkuu wa haki, huru na wazi yanaendelea vizuri nchini Tanzania na kutoa mwaliko kwa SADC kutuma timu ya waangalizi kwenye uchaguzi huo uliopangwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
Dkt...
Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Samwel Shelukindo amesema kuwa licha ya changamoto za kisiasa, uhalifu unaovuka mipaka na matatizo ya kiuchumi kwa jamii ambayo yanaendelea kutafutiwa ufumbuzi, bado Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika...
Kikao cha Kawaida cha Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ambacho ni maandalizi ya Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC kimehitimishwa jijini Antananarivo Agosti 14, 2025.
Ujumbe wa Tanzania katika kikao hicho umeongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki kikao cha awali cha maafisa waandamizi cha Jukwaa la Majadiliano kati ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Serikali ya Marekani...
Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimekumbushwa kuwa ukombozi wa kiuchumi ni safari ndefu na ili kuifikia nchi hizo zinahitaji mtangamano wenye nguvu na usioyumbishwa katika utekelezaji wa malengo waliyojiwekea.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Biashara za...
Tanzania imewazuia waangalizi wa uchaguzi kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (#EAC) na Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (#SADC), ambazo zote ni jumuiya ambazo nchi hiyo ni mwanachama, kushiriki katika uchaguzi wa Oktoba 29. Badala yake, imezipa vibali balozi 12 za nchi za...
Umoja na mshikamano imeelezwa kuwa ni silaha pekee ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), ya kuimarisha mtangamano imara na wenye nguvu, utakaowezesha kufikia malengo yaliyowekwa na jumuiya hiyo.
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Kikao cha Maafisa Waandamizi wa SADC...
Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umeanza Agosti 04, 2025 jijini Antananarivo, Madagascar na Kikao cha Wataalamu cha Maafisa Waandamizi cha kupitia Utekelezaji wa Mpango Mkakati Elekezi wa Maendeleo wa Kikanda 2030 (Regional Indicative...
Waziri Kombo afungua Mkutano wa 27 wa MCO- SADC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefungua Mkutano wa 27 wa Kamati ya Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ya Masuala ya Siasa, Ulinzi na Usalama (MCO), katika Kituo...
The Southern African Development Community (SADC) Secretariat is a cornerstone of regional integration, fostering economic growth, peace, and sustainable development across Southern Africa. With a mission to promote cooperation among its 16 member states, SADC is a dynamic force in addressing...
Mkutano wa 27 wa Mawaziri wa SADC - MICO
Karibu Tanzania
Welcome to Tanzania
Bienvenue en Tanzania
Bem-vindos à Tanzania
📅 21 - 25 Julai, 2025
📍 JNICC Dar es Salaam, Tanzania
SADC: SEKTA YA NISHATI IWE KICHOCHEO CHA KUIUNGANISHA AFRIKA KUJENGA UCHUMI
📌 Yasisitiza utekelezaji wa miradi ya kipaumbele ya Nishati
📌 Kapinga ataka SADC kuweka dhamira thabiti na mikakati madhubuti ya utekelezaji wa Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia
Mawaziri wanaoshughulikia masuala ya...
SADC YAITAJA TANZANIA KINARA UTEKELEZAJI AJENDA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
📌 Rais Samia aendelea kupongezwa kwa kuwa kinara wa Nishati safi ya Kupikia Afrika
📌 Mhe. Kapinga ataka mikakati, ubunifu utekelezaji nishati safi ya Kupikia Jumuiya ya SADC
📌 Asisitiza uelimishaji matumizi ya nishati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.