sabasaba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka kufanya ziara kwenye maonesho ya Sabasaba leo Julai 6, 2022

    MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KUFANYA ZIARA KWENYE MAONYESHO YA SABASABA LEO- ASUBUHI HII. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka Leo Jumatano Julai 06, 2022 kuanzia Majira ya Saa 4 asubuhi hii atatembelea maonyesho ya Kibiashara ya Sabasaba Jijini Dar es...
  2. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kutoza watu pesa kuingia viwanja vya Sabasaba na Nanenane haijakaa sawa

    Kwanini wakulima na wafanyabiashara watozwe pesa kuingia kuangalia mambo siku ya sikukuu zao? Mbona wafanyakazi hawatozwi pesa kuingia viwanjani siku ya Mei mosi? Waandaaji watafute namna ya kupata pesa lakini siyo kuchaji wakulima na wafanyabiashara. Ni utapeli.
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania CCM wanauhalali wa kujimilikisha viwanja vya sabasaba?

    Eti wandugu, chama cha mapinduzi wana uhalali wa kumiliki viwanja vya sabasaba?
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Sabasaba Mnazi Mmoja 1956

    TANU YASHEHEREKEA SIKUKUU YA SABASABA 1956 Picha hiyo hapo chini iliyopigwa na Mohamed Shebe sasa ni maarufu hapa jamvini kwani mara nyingi nimeibandika hapa. Nairejesha tena hapa jamvini safari hii kwa sababu ipo katika gazeti la Mwangaza la Julai 1956. Nakuomba msomaji wangu usome maelezo...
  5. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania RC Dodoma tembelea Stendi ya Daladala Sabasaba ujionee jinsi Wamachinga wako hatarini

    Jana nilipita pate stendi ya Daladala ya saba saba Dodoma hali niliyoiona pale ni ya kutisha, nilijiuliza sana akiwa watu wanaakili sawa sawa. Wamachinga kama wote wamepanga biashara ndani ya stendi chini, sehemu Daladala zinapita wao wamepanga biashara zao, Daladala inabidi wapige hone ili...
  6. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Waziri Jenister Mhagama kumbuka ahadi yako kuhusu pensheni ya PSSSF kwa watumishi siku ya Sabasaba

    Tuna kukumbusha Mhe. Waziri Jenister Mhagama siku ya sabasaba ukiwa na mkurugenzi mtendaji wa PSSSF kwenye banda lao, mlisema kwa sasa mnafanyia kazi marekebisho ya malipo na maelekezo ya Mhe Samia Suluhu Hassan kuhusu kuwalipa wastaafu. Walio staafu kuanzia mwezi 3 hadi sasa hawajalipwa, je ni...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Viwanja vya maonyesho ya biashara sabasaba vya Mwalimu Nyerere, visiwekewe sanamu la Magufuli, ni kuchanganya Magufuli na Nyerere

    Viwanja vinaitwa vya mwalimu Nyerere, kwa nini unaweka sanamu Magufuli. Magufuli atafutiwe viwanja vingine huko Nanenane Mbeya au Dodoma. Hivyo viwanja vya sabasaba vibaki kwa jina la Kambarage. Viwanja hivyo ni vya wafanyabiashara, hawa watu wameumizwa sana na Magufuli , sanamu hili kuwekwa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania TanTrade ongezeni ubunifu maonesho ya sabasaba

    Wakuu habari za muda huu, Leo nilipata wasaa wa kwenda sabasaba pale nikitarajia nitakuta maonesho yenye tija yanayoendana na kasi ya kauli mbiu “uchumi wa viwanda na biashara endelevu”. Kiukweli TanTrade mmetuangusha sana maonesho ya sabasaba hayabadiliki kabisa kilichofanyika miaka kumi...
  9. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

    Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imesaini hati ya makubaliano ya jumla ya shilingi milioni 420 ya ujenzi wa sanamu la Hayati John Pombe Magafuli, na ukarabati wa kumbi kubwa za kisasa kwenye maonyesho ya sabasaba ya 45. Mkurugenzi wa TanTrade Rutageruka Sabi amesema kuwa...
  10. Rufiji dam

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya Sabasaba kipindi hiki cha Corona yana umuhimu gani?

    Muhimbili na KCMC tayari wamepuliza kipyenga cha tahadhari ya Covid 19 na kutoa maelekezo ba muongozo wa nini kifanyike. Dar inajiandaa na mkusanyiko mkubwa wa maonyesho ya kimataifa ya biashara katika uwanja wa JK Nyerere Kilwa Road. Tujiulize kuna umuhimu gani wa kufanya haya maonyesho...
Back
Top Bottom