Barabara zote kuu zinazoelekea jijini Nairobi zimefungwa leo huku hali ya usalama ikimarishwa katika maeneo mbalimbali ya mji, kufuatia maandamano yanayotarajiwa katika maadhimisho ya kumbukumbu ya Saba Saba.
Kulingana na BBC, polisi wameweka vizuizi katika maeneo muhimu, wakizuia magari ya...
📍 SABASABA, Dar es Salaam
🗓️ 5 Julai, 2025
“ROYAL BAGGIES” ZAVUTA HISIA SABASABA 2025 – UBUNIFU WA POSTA WAZIDI KUPAA
Katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SABASABA 2025), Shirika la Posta Tanzania limekuwa gumzo baada ya kuanzisha huduma mpya ya usafiri wa ndani ya...
Pikipiki za umeme za magurudumu matatu (bajaji) zilizoanza kutumika kwa mara ya kwanza katika Maonyesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF), zimerahisisha usafiri kwa wageni na washiriki huku zikihamasisha matumizi ya nishatisafi
Tofauti na miaka iliyopita wageni walitegemea...
Serikali imeendelea kuweka mazingira wezeshi yanayozidi kuvutia wawekezaji wa kigeni kuja kuwekeza hapa nchini hususani katika sekta ya usafirishaji.
Akizungumza na wandishi wa habari kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Bw Plasduce Mbossa, Afisa Mwandamizi wa Masoko Bw Nocha...
Baadhi ya wananchi waliotembelea Banda la Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) wameonesha kuridhishwa na huduma zinazotolewa na wizara hiyo.
Wakizungumza katika banda la Wizara ya Ardhi tarehe 4 Julai 2025 katika maonesho hayo...
KAMPUNI ya mawasiliano ya Yas, imezindua rasmi jukwaa la Anzia Ulipo Biashara Expo, katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama Sabasaba.
Lengo ni, kuwa jukwaa mahsusi kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali chipukizi kuonyesha biashara zao na kupata ujuzi wa kukuza shughuli zao...
▪️ _Umoja wa Madereva wa Mtandaoni (UMM) wamshukuru Rais Samia kwa Mazingira Wezeshi, Wawataka Watanzania Watumie SwifPack
UMM umeendelea “kukiwasha hadi SABASABA” baada ya kufanya matembezi ya hiari leo tarehe 28 Juni 2025, katika viwanja vya Maonesho ya SABASABA jijini Dar es Salaam...
Itakuwa ni lazima kwa bidhaa zote kwenye mashindano ya sabasaba kuwa made in Tanzania, sio sawa hata kidogo kuchukua bidhaa China au India na kwenda kudisplay kwenye maonyesho ya sabasaba hilo sio Lengo
Na pia kwenye maonyesho ya nane iwe ni tractor lazima liwe made in Tanzania na sio assembly...
POSTA KUSHIRIKIANA NA TANTRADE KURAHISISHA USAFIRISHAJI WAKATI WA MAONESHO YA SABASABA
Shirika la Posta Tanzania (TPC) na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) wametiliana saini makubaliano ya ushirikiano wa kibiashara kwa ajili ya Maonesho ya 49 (SABASABA 2025), yatakayofanyika...
Leo nimekusikia ukisema kwenye maonesho ya mwaka huu yatakayoanza 28/06 mpaka 12/07 (hivi kama sijakosea) mmepanga siku ya wanafunzi kuwafahamisha kuhusu Sabasaba ni nini!
Nilishituka kidogo kuhusu uhusiano gani uliyopo kati ya Sabasaba na maonesho hayo ya Dar es Salaam! Nijuavyo zamani chini...
Sisi Wananchi tunaoishi hapa Mbagala Sabasaba tunapata changamoto ya mazingira kuchafuliwa na kuwa hatari kwa afya kutoka katika Machinjio ya Ng’ombe ambayo yapo kwenye makazi ya Watu.
Maji machafu ambayo yanatoka kwenye machinjio hayo tanatiririka kwenye makazi yetu na hakuna jitihada...
Maeneo ya Sabasaba hapa Dodoma, majira ya Asubuhi na Jioni kuna foleni sana ya magari, hakuna utaratibu maalum uliowekwa eneo hilo.
Wakati mwingine Trafiki wanakuwepo lakini si mara zote unajikuta unakaa saa zima foleni.
Yaani hakuna utaratibu mzuri wa kuongoza yake magari pale Soko la...
Hivi karibuni nimekuwa nikilalamiki sana kitendo cha TARURA Singida kwa kutifua barabara na kuiacha ikiwa haitamaniki kwa kushindwa kupitika.
Leo nimepita maeneo hayo na kukuta mawe yakiwa yamemwagwa barabarani tayari kwa kuanza matengenezo.
Naipongeza sana TARURA nawaomba haya mawe yasimalize...
Mwezi Septemba mwaka huu bull dozer ilikuja mtaani kwetu na kutifua barabara tangu siku hiyo halijawahi kurudi japo kusawazisha.
Barabara mbaya ina matuta haijawasazishwa tunapita kwa tabu sana.
Najua lengo lako ilikuwa kutuchota akili ili tukupe nafasi nyingine. Ninachokuomba turekebishie...
Tarehe 7.7. 1954 kilizaliwa chama cha Ukombozi wa Tanganyika. Kiliitwa Tanganyika African Nation Union (TANU).
Maazimisho ya sabasaba yalikuwa na historia ya kuanzishwa kwa Chama (TANU). Mnamo mwaka 1992 baada ya JAMHURI ya muungano wa Tanzania kuingia katika mfumo wa vyama vingi...vyama vya...
Habarini wanajukwaa...
Takribani wiki ya pili sasa Tarura walikuja kutifua barabara kwa ajili ya matengenezo ya barabara zilizopo eneo la Sabasaba Manispaa ya Singida.
Kama wananchi hatupingani na shughuli za maendeleo zinazoletwa na Serikali ya mkoa shida ni kwamba wazee wa kazi walivyokuja...
Kumekuwa na kawaida ya Taasisi mbalimbali za umma na Binafsi wakati wa maadhimisho fulani ndio huchakarika kwelikweli lakini yakiisha ndio basi.
Tunawakumbusha kuendelea kuwa wakarimu na kutoa huduma bora vilevile kama mlivyokua mkielezea wakati wa SabaSaba.
Kituo cha Afya cha Sabasaba katika Manispaa ya Morogoro, kimezidiwa na wagonjwa wa kuharisha na kutapika wenye dalili zote za ugonjwa wa Kipindupindu, ambapo usiku wa kuamkia Julai 16, ITV imekuta wagonjwa 12 wakiwa wametandikiwa magodoro maeneo mbalimbali ikiwemo sakafuni, kwenye mabenchi ya...
Naomba nimpe kibarua pia nimpongeze January Makamba, kwa uongozi safi wa wizara husika, hakika upele umepata mkunaji.
Lengo la uzi huu ni kumuomba Makamba kuwaalika wawakilishi wa viwanda vya China hapa nchini, katika sabasaba 2025, ili wawakilishi hao wafanye kazi mbalimbali ikiwemo kuwasaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.