#COVID19 Maonyesho ya Sabasaba kipindi hiki cha Corona yana umuhimu gani?

Rufiji dam

JF-Expert Member
Feb 20, 2020
3,803
8,793
Muhimbili na KCMC tayari wamepuliza kipyenga cha tahadhari ya Covid 19 na kutoa maelekezo ba muongozo wa nini kifanyike.

Dar inajiandaa na mkusanyiko mkubwa wa maonyesho ya kimataifa ya biashara katika uwanja wa JK Nyerere Kilwa Road.

Tujiulize kuna umuhimu gani wa kufanya haya maonyesho katika kipindi hiki?

Ama ndio hivyo kumeshakucha kujichotea posho bila kujali afya zetu. Maana haya maonyesho mashirika ya Umma uwa wanalipana posho hasa.
 
Mwaka Jana yalikuwepo wamekufa wangapi? Sisi bado tunaamini nia zetu za maisha hizoo propaganda endeleeni Nazooo! Corona we mbona hujafa, kwenu wamekufa wangapi? Kuna sehemu wamekufa mji mzima hapa Tanzania? TB inaambukozwa kwa njia ya hewa ila madaladala ya bongo mbona hatufi!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Mwaka Jana yalikuwepo wamekufa wangapi?!!!sisi bado tunaamini nia zetu za maisha hizoo propaganda endeleeni Nazooo!!!Corona we mbona hujafa,kwenu wamekufa wangapi?kuna sehemu wamekufa mji mzima hapa Tanzania?!TB inaambukozwa kwa njia ya hewa ila madaladala ya bongo mbona hatufi

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Kwa wimbi la tatu. Maonyesho haya hayana maana. Tumeshaanza kuzika tatizo wabongo wanajali fedha kuliko uhai
 
Muhimbili na KCMC tayari wamepuliza kipyenga cha tahadhari ya Covid 19 na kutoa maelekezo ba muongozo wa nini kifanyike.

Dar inajiandaa na mkusanyiko mkubwa wa maonyesho ya kimataifa ya biashara katika uwanja wa JK Nyerere Kilwa Road.

Tujiulize kuna umuhimu gani wa kufanya haya maonyesho katika kipindi hiki?

Ama ndio hivyo kumeshakucha kujichotea posho bila kujali afya zetu. Maana haya maonyesho mashirika ya Umma uwa wanalipana posho hasa.
Per diems
 
Wivu wa per diem za wenzio tu. Hao muhimbili wametangaza coroba ili na wao walipane viposho vya corona na msaada ukija wamegewe fungu. Wewe piga kazi utafia popote pale
 
Kwa namna moja au nyingine tutakufa tu, huwezi kusema sisafiri siendi msibani, sababu ya ajali ya Morogoro.

Bado kuna magonjwa mengi tu! Na kama Darwin alivyosema the weakest will perish, the strongest will survive.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Muhimbili na KCMC tayari wamepuliza kipyenga cha tahadhari ya Covid 19 na kutoa maelekezo ba muongozo wa nini kifanyike.

Dar inajiandaa na mkusanyiko mkubwa wa maonyesho ya kimataifa ya biashara katika uwanja wa JK Nyerere Kilwa Road.

Tujiulize kuna umuhimu gani wa kufanya haya maonyesho katika kipindi hiki?

Ama ndio hivyo kumeshakucha kujichotea posho bila kujali afya zetu. Maana haya maonyesho mashirika ya Umma uwa wanalipana posho hasa.

Ndio ukweli wenyewe, hakukuwa na sababu ya maonyesho kama nchi imetoa warning kuhusu Corona.
 
Mwaka Jana yalikuwepo wamekufa wangapi? Sisi bado tunaamini nia zetu za maisha hizoo propaganda endeleeni Nazooo! Corona we mbona hujafa, kwenu wamekufa wangapi? Kuna sehemu wamekufa mji mzima hapa Tanzania? TB inaambukozwa kwa njia ya hewa ila madaladala ya bongo mbona hatufi!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app

:eek::eek:
 
Dr. Molel naibu waziri wa afya kakataa katakata kuwa Tanzania kuna Corona. Hadi mtangazaji wa BBC akabaki domo wazi.

Nchi ya propaganda hadi kwenye uhai wa watu.
 
Mkuu kama una link ya hiyo interview naomba uitupie hapa itakuwa very interesting.
 
Muhimbili na KCMC tayari wamepuliza kipyenga cha tahadhari ya Covid 19 na kutoa maelekezo ba muongozo wa nini kifanyike.

Dar inajiandaa na mkusanyiko mkubwa wa maonyesho ya kimataifa ya biashara katika uwanja wa JK Nyerere Kilwa Road.

Tujiulize kuna umuhimu gani wa kufanya haya maonyesho katika kipindi hiki?

Ama ndio hivyo kumeshakucha kujichotea posho bila kujali afya zetu. Maana haya maonyesho mashirika ya Umma uwa wanalipana posho hasa.

Walisema mtu mweusi haimuathiri.. ..waache waendelee na ujinga.. ..uganda inawatafuna kweli kweli na hatuko mbali nao, lakini huku wanajifanya makonki na kutamba corona haipo. Subiri sasa uone pigo lake.. ..Mungu atusaidie.
 
Back
Top Bottom