sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. Najuta kuvunja nyumba yangu Ubungo Kibo sababu ya utanuzi wa barabara, ambao hawajabomoa wanakula maisha

    Yaani kila nikipita pale Kibo naumia sana tulikuwa na nyumba tatu zilizoungana ambazo moja tukiishi zingine zilikuwa za kibiashara tukaja kubomoa baada ili kupisha barabara eneo ambalo kwasasa wamekuja watu wamevamia na kujenga mabanda ya biashara. Ukija maneno mengine kama Kona na Baruti kuna...
  2. Kutokunywa maziwa kunafanya wakulima kuwa wafupi

    Fuatilia jamii za wakulima na wafugaji. Utaona wakulima ni wafupi sana. Watu warefu kabisa Afrika wote ni wafugaji. Wadinka na wasudan kusini wengine, Wamasai, Watutsi, wahausa n.k, na hata kwa kawaida wabantu si warefu (sababu ya lishe duni), lakini Wukuma na Wakurya ni warefu sababu ya kupiga...
  3. FT: Yanga SC 1-0 KMC | NBC Premier league | Benjamin Mkapa Stadium

    Karibuni katika mtanange huu wa kukata na shoka baina ya Yanga na Kmc utakaochezwa saa 1 jioni Estadio De Benjamin Mkapa. . Huu ni mchezo wa namba 69 wa Ligi Kuu ya NBC 2022/2023. . Yanga akiwa ni mwenyeji wa mchezo wa leo dhidi ya Kmc. . Karibuni Wakuu. ======= 01' Mtanange umeanza Benjamin...
  4. Bei ya makaa ya mawe duniani imefika USD 270 kutoka USD 50 kwa tani sababu ya vita vya Ukraine na Urusi, ulaya wanahitaji nishati

    Bei ya makaa ya mawe duniani imefika USD 270USD kutoka USD 50 kwa tani sababu ya vita vya Ukraine na Urusi, ulaya wanahitaji nishati. Tanzania ina akiba ya tani Millioni 290 ardhini, kwa hesabu zaharakaharaka hiyo ni Trillioni 184. Vituo vya afya na lami kila kona; VIONGOZI WANGU...
  5. Winter is Coming: WaUkrainia nje ya nchi waombwa kutorejea kipindi cha baridi sababu ya shida ya Nishati

    Mrussi Kumbe alipita kwenye mshono kwa hesabu kali. Muda Si mrefu wanaingia baridini na hali ni mbaya sana katika kukabiliana na janga hilo. Nadhani uwanja wa vita utakuwa kama setup ya mwisho ya Game of Thrones. Winter is coming!! Soma: Deputy Prime Minister Irina Vereshchuk has asked her...
  6. Walimu 13 wafukuzwa kazi Bagamoyo sababu ya utoro

    Walimu 13 wilayani Bagamoyo mkoani Pwani wamefukuzwa kazi kutokana na makosa ya utoro huku wengine wanne wakiendelea kujadiliwa kutokana na makosa mbalimbali yakiwemo kujihusisha na mapenzi na wanafunzi pamoja na ulevi uliopindukia katika kipindi cha miaka miwili kuanzia 2020 hadi Septemba...
  7. Je, unafahamu sababu za computer kuzima ghafla unapoitumia?

    Kama wewe ni mtumiaji wa kifaa hiki, hili jambo halitakuwa geni kwako! Changamoto hii tumekuwa tukikumbana nayo kwa kiwango kikubwa na hapo hapo tusijue nini chanzo chake. Leo hii hebu tupate ufafanuzi ni sababu zipi hupelekea kutokea kwa jambo hili. Sababu hizi ni kama ifuatavyo; 1. Laptop...
  8. Hii ni milio mbalimbali (Beep noise) inayoashiria kuwepo hitilafu kwenye computer yako

    Mara nyingi kwenye kompyuta kumekuwa na milio mbalimbali kuonyesha kwamba Kompyuta kuna hitilafu mbalimbali, na hali hii inapotokea inakuwa ni vyema kutambua tatizo lipo sehemu gani hasa. 1. Sauti kidogo tu (very short beep) sauti hii huonesha kuwepo kwa tatizo kwenye Ubaomama (motherboard) Pia...
  9. Ni Mkatoliki 100% ila hizi ni sababu zangu za kwanini Sihudhurii na Sitohudhuria Jumuiya za kila Jumamosi....

    1. Jumuiya kumekuwa ni sehemu za Majungu. 2. Jumuiya imekuwa ni sehemu za Kuchunguzana Kimaisha. 3. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Masutano. 4. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Wanaume Kutongoza na Wanawake kutafuta wa Kuwachapa Nao ( Kuwabandua ) 5. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Kutishana kuwa...
  10. Kinachopelekea wanaookoka au kusilimu na kuwa swala tano kufeli kimaisha

    Wakristo na waislamu hawataweza kujua Mwenyezi Mungu anataka wao wwafanye kitu gani. Kwa ufupi Wakristo na Waislamu bado wanaishi gizani na mafundisho ya dini zao pamoja na kwamba ni mazuri lakini hayampendezi Mungu. Straight to the point hilo swali kwenye title huulizwa na watu wengi sana...
  11. Mahusiano mengi ya kimapenzi yanavunjika kwa sababu wengi wameyafanya kuwa chanzo chao kikubwa cha furaha

    Habari wana jukwaa. Leo nataka niseme kitu kidogo sana. Ushajiuliza kwanini mahusiano mengi yanavunjika, namaanisha mahusianoa ya mwanamke na mwanaume? Jibu ni rahisi sana, sababu ni kuwa, wengi wa wale wanaoingia kwenywe mahusiano ya kimapenzi lengo kubwa ni kupata furaha kupitia mapenzi...
  12. N

    Zijue sababu za wanaKigoma kumpokea kwa wingi Rais Samia

    Rais Samia Suluhu amepeleka neema kigoma na wananchi wameitikia kwa wingi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu kwasababu kigoma ilisahahaulika kwa kipindi kirefu lakini Rais Samia Suluhu amewakumbuka. Baadhi ya mambo aliyoyafanya Rais Samia Suluhu kwa mkoa wa kigoma ni: 1. Umeme wa uhakika 2...
  13. M

    Pamoja na kusuasua ujenzi wa bwawa la JNHP lafikia 74%

    Wasiopenda maendeleo ya Tanzania hawataki mradi huu ukamilike mapema.
  14. T

    Kwa ulimwengu huu wa sasa Fani ya Procurement bado inafundishwa vyuoni kwa sababu gani?

    Baadhi ya vyuo Duniani vimekuwa vikifanya mabadiliko ya mitaala na kufuta ama kuachana na fani ambazo haziendani na wakati. Bado najiuliza, kwa Dunia ya sasa fani ya Procurement inafundishwa vyuoni kwa sababu gani? Ni fani ambayo haina umuhimu wowote kwa karne hii ya 21. Mtoto akisoma...
  15. Picha: Hizi Ndizo Sababu za Wanaume Kufa Mapema kuliko Wanawake

    Nisikuchoshe.....
  16. J

    Sababu kubwa inayomfanya Mwanamke akatae kushiriki tendo la ndoa

    Wanandoa wengi wanafanya mapenzi kama jukumu na siyo starehe ya kufurahishana. Na wanaume wengi wamekuwa wabinafsi kwasababu wanafikiria tu mihemko yao bila kujali unayemtumia anahali gani. Mwanamke ni mtu anayefanya vitu vyake kwa hisia, kwahiyo kabla hujataka kufanya hicho unachotaka kufanya...
  17. Mabasi yote ya mkoani yamezuiwa hapa Kibaha Stendi, foleni sijawahi kuona na hatujui hata sababu

    Mabasi yote ya mkoa tupo Kibaha hapa, foleni ni kubwa mno hatujui hata sababu. Tupo tumekaa tu kwenye magari. Tunaomba msaada vyombo husika, watu tunaenda mbali jamani.
  18. Hipi ni sababu inayowafanya yanga wasivume kimataifa? Kwanini simba waweze?

    Ninawaza kwa sauti kubwa saana hapa, nimeona clip nyingi watu wakipiga kelele kisa ku droo na al hilal 😂😂, Hivi wana feli wapi? Wana yanga wana imani kubwa sana na kikosi chao lakini wanashangaa walivyotaabika jana almanusura wapasuke wamshukuru diara. Wana yanga wana amini sana kwamba simba...
  19. P

    Ili upigaji uwe rahisi na miradi kutokukamilika na umeme uwe wa mgao, lazima JPM azodolewe kwa sababu nyepesi na za kipuuzi

    Mtu aliyekuwa anajua mbinu zote za wafanyakazi wa Tanesico kwamba, kipindi hichoo cha wao kuongoza, kulikuwepo na kikundi maalumu cha kufungulia maji ya mtela ili tu kutengeneza mgao haramu wa umeme na wao kutengeneza biashara za majenereta Mbinu hiyo iliwafumbua watanzania wengi, na tangu...
  20. Ipo sababu moja tuu itakayomfanya mwanaume amsamehe mkewe endapo atamfumania akiwa kwenye tukio

    Anaandika, Robert Heriel Vijana muache ubishi na ujuaji, oooh mimi siwezi msamehe mke wangu endapo nitamfumania amelala na njemba nyingine, hayo utayasema ukiwa timamu, unajiweza na nguvu za kutosha. Mwanamke msaliti hata Shetani hawezi kumsamehe achilia mbali Mungu mwenye wivu mkali mno...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…