sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nini sababu ya wasafiri wa vijijini kukaa kila mtu na kituo chake?!

    Moja ya ushahidi wa baadhi ya wanakijiji kutotumia akili ni suala la wao kuchagua apandie wapi gari. Sio kukusanyika kwenye kituo kimoja cha karibu. Unakuta kituo kinafahamika lakini yeye anakaa mita 200 ya kituo anataka gari limfuate. Hata mwingine atakaa mbele kidogo ya mwenzie. Nimeshuhudia...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanapenda kumkamata Mdude kwa sababu wanalipwa na serikali perdiem zakuzunguka naye; zikiingia kwenye akaunti tu wanamwachia

    Mdude na wenzake wanaishi Mbeya; wamekaa Mbeya toka hukumu ya DP world ilipotolewa na wakatoa na matamko yao hakuna aliyewakamata. Mara paap wamepanga safari waje zao kula bata mjini wanakamatwa usiku wa manane Mikumi; kisha utasikia wamepelekwa makao makao makuu Dodoma mara wamepelekwa Mbeya...
  3. JamiiForums Tanzania Yanga ni timu ya kawaida sana Ila inakuzwa bila ya sababu

    Kuna rafiki yangu alikuwa anamiliki gazeti la michezo wakati fulani. Rafiki yangu huyu alinipa Siri ni Kwa vyombo vya habari huwa vinaipaisha sana Yanga. Alisema kuwa mashabiki Wa Simba si wanunuzi Wa habari za michezo kuliko mashabiki wa Yanga. Kwa maelezo yake ni kwamba siku Yanga ikishinda...
  4. JamiiForums Tanzania Anyimwa msaada na Yanga kwa sababu ya Usimba

  5. M

    JamiiForums Tanzania Ukibahatika kuwa na hela nyingi usizitumie kufanya uovu. Kuna faida gani kuoa mwanaume mwenzio sababu ya pesa?

    WanaJF ninaandika huu uzi baada ya kusoma machapisho mbalimbali mitandaoni na mimi mwenyewe kujionea mambo mengi maovu. Watu wengi wenye pesa wamekuwa chanzo cha maovu mengi sana. Ni kawaida watu wengi wenye pesa kutaka kufanya mambo ambayo ni ufedhuli uliopotiliza. Kuna wengi wanatumia fedha...
  6. JamiiForums Tanzania Nini sababu ya vifo vya kila siku vya WaTanzania ughaibuni?

    ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆmzee baba ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข Ndugu zangu watanzania tumepatwa na msiba mwingine wa ndugu yetu ally alawi............๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข Ally Alawi amefariki tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ...... Ally Ally ni baharia ambaye alikuwa anaishi ktk mji wa Mosselbay Afrika Kusini ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข Panapo majaliwa kesho siku ya jumanne ndugu...
  7. JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla ni mtanzania mwenye kila sababu ya kuwa na pesa mjini ila ameshindwa kuwa mbunifu.

    Moderator naomba huu uzi msiufute maana umekusudia kumsaidia huyu bwana kuingia kwenye orodha ya watu wenye mafanikio kiuchumi. Pascal Mayalla wewe sio mtu wa kusubiri uteuzi, ulianza vizuri sana enzi za PPR ukateleza kidogo (ni kawaida kwenye maisha) ila sasa kwa upande wako kadiri unavyopata...
  8. JamiiForums Tanzania Si kila anaeenda dukani anatafuta pesa, Wengine wanaenda sababu wamechoka kukaa nyumbani, auze asiuze bado atakuja na gari na kula vizuri

    Katika sehemu nilizowahi kufanya biashara nimewahi kukutana na haya, Sehemu ya kwanza kulikuwa na frem laki 3, mmama flani akaja akaweka vi choclate na vineti vya mbu yani hata wateja kwenda pale ni nadra, ila kila siku anakuja na gari yake ya apha na ananunua chakula kwa order ugali kuku...
  9. JamiiForums Tanzania Abdul Kareem Popat ndio sababu hasa ya Azam FC Kukosa mafanikio

    Abdul Kareem Popat amekuwa CEO wa Azam FC kwa zaidi ya Miaka 7. Huyu ndio CEO ambae hana presha kabisa ya kupoteza kazi yake kutokana kutopewa presha ya mafanikio pale Chamzi Complex. Kipindi chote cha uongozi wake Azam FC imeambulia kikombe kimoja tuu cha FA (Azam Confederation Cup) mnamo...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Miradi ya Kimkakati SGR, Stiglers Kuchelewa Kwa sababu ya Uhaba wa Dola

    Nchi za Kiafrika ikiwemo Tanzania , zinatazamiwa kupata Anguko kubwa la thamani ya Shilingi yake, hii ni kutokana na Uhaba mkubwa wa Dolla, unaosababishwa na Trade Imbalance na mambo mengine ya kidunia yanayotokea huko. Tujikumbushe muda wa hivi Karibuni paundi ya egypt ilipoteza thamani yake...
  11. JamiiForums Tanzania Nini sababu ya wafanayakazi wa ndani kutoka mikoa baadhi tu wakati watu wote wa vijijini nchini ni masikini?

    Wafanyakazi wengi wa ndani maarufu kama beki tatu asilimia kubwa wanatokea Iringa, Kigoma na Chato. Ni vigumu sana kusikia mfanyakazi wa ndani katoka Tarime, Bariadi au Moshi. Imekuwaje trend ya wafanyakazi wa ndani kutokea baadhi ya maeneo wakati pengine pakiwa hakuna uzalishaji mkubwa wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Polisi Trafiki wa Arusha mnakera sana kuwasimamisha watembeza watalii bila sababu, mkikosa kosa mnaomba rushwa

    Habari. Mimi ni Safari Guide, nina Kero kubwa sana kuhusu Traffic Police wa Arusha. Wamekuwa wakisimamisha magari ya watalii kila mahali hawajali kama umebeba wageni au la, waanza kuomba leseni na kukagua gari wanachukua hadi dakika 10 wamekusimamisha bila kujali umetoka wapi na unaratiba gani...
  13. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga: Viingilio ni Sababu, ila kuna kubwa zaidi ya hilo

    Nianze kutoka credit kwa wadau wasoka, mpira wa miguu ni industry pekee yenye muamko na ushawishi mkubwa kwa jamii, nchini Tanzania. Lakini, kama hujaliona hili, basi angalia nyanja ya siasa mfano, watu wengi sasa wanahisi yanayotokea huko basi hayawahusu, ni kama mambo yanatokea kwa jirani...
  14. JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini Simba wezindulia jezi zao kwenye like cha Mlima Kilimanjaro

    Kwa wale wasio jua, Mlima Kilimanjaro ndio Mlima mrefu kupita yote duniani. Kwa wale walio karirishwa la saba b watasema " Mlima Himalaya/Everest ndio Mlima mrefu kupita yote duniani" Ni hivi Mount Kilimanjaro is the most FREE STANDING tallest mountain in the world Mount Everest is a mountain...
  15. JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Waislamu teteeni mtu kwa sababu ya haki, msitetee mtu kwa sababu ya dini

    "Tulimpinga Hayati Rais Magufuli kwa miaka mitano hawakusema kwa sababu ni mkristo,Leo tunampinga Rais Samia wanasema kwa sababu ni Muislam,wajinga nyinyi" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariYetuTemeke. "Mashehe wengi waliwekwa jela wakati wa Utawala wa Rais Kikwete hawakusema kwa sababu ni...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Lema: Msitetee mtu sababu ya Ushungi na Kanzu, teteeni mtu sababu ya Haki

    Lema amewaambia waislamu wasitetee mtu sababu ya Ushungi na Kanzu, teteeni mtu sababu ya Haki. Huku akiwaambia Wakristo wasitetee mtu sababu ya uchungaji bali wamtetee sababu ya haki. Akisema kuwa wengi wanaleta mambo ya udini sababu hawamjui Mungu, Maandiko wala haki, na kwamba wangekuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Nini sababu ya Migogoro ya Ndoa/Wapenzi kuongezeka sana siku za hivi karibuni?

    Takwimu za Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu zinaonyesha migogoro 28,773 ya wanandoa imepokewa kati ya Julai, 2022 na Aprili mwaka huu. Kati ya migogoro hiyo, 22,844 ilisuluhishwa, huku 5,929 ikikosa usuluhishi licha ya kukatiwa rufaa ngazi ya Mahakama. Kutokana...
  18. JamiiForums Tanzania Sababu za kuzuiliwa Mikutano ya hadhara.

    Salaamu wana JF. Nimekuwa na maswali mangi ya kwa nini kuna mikutanoinazuiliwa kufanyika bila kupata majibu ya kutosha. Kumekuwepo na tabia ya viongozi hasa wa ccm wakishitikiana na jeshi la polisi kuzuia mikutano na makungamano bila kutoa sababu za kutosha. Kwa uchache tu: 1:Kuna kipindi...
  19. JamiiForums Tanzania Iraq: Ubalozi wa Sweden umefungwa sababu ya uchomaji wa Quran nchini Sweden.

    Ubalozi wa Sweden nchini Iraq umefungwa na balozi wa Sweden amefukuzwa nchini Iraq. Sweden imefunga ubalozi huo baada ya waandamanaji kuuchoma moto kwa sababu ya tukio la kuchana chana na kupiga teke Quran lililofanyika nchini Sweden siku ya Alhamisi. Sweden imesema inalaani kitendo cha...
  20. JamiiForums Tanzania Millard Ayo post zake siku hizi hazina wachangiaji kwa sababu hazingumzii Issue za bandari

    Kwa Sasa ukiangalia post nyingi za Milard Ayo hazina (hazitrend ) hata kidogo Kwa sababu hapost kabisa mambo yanayoendelea kuhusu ubinafishishaji wa Bandari ya DSM na bandari nyingine Kwa DP WORLD. Issue ya bandari imekuwa hot cake Kwa kila mtu anayepita mtandaoni.Hata Yanga na Simba na usajiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ