sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Rais Samia mifuko ya hifadhi ya jamii haifi kwa sababu ya kulipa mikupuo yote kama ulivyodai, bali ubadhilifu wa mifuko hiyo

    1. Ripoti za CAG zinasema kuna ubadhilifu katika mifuko hiyo, kujiingiza katika miradi ambayo ni non productive. 2. Kibaya zaidi wafanyakazi wanajikopesha mabilioni bila riba na hawarudishi. 3. To crown it all serikali imechota fedha nyingi bila kuzirudisha. 4. Mama Samia, Rais wetu...
  2. Mwendokasi kutotumia njia ya Jangwani na Mkwajuni sababu ya Mafuriko

  3. Shetani ananiandama bila sababu za msingi

    Nimehamia mtaa wa pili baada ya sinto fahamu iliyotokea mtaa wa kwanza ambapo mke wa mtu alinizoea sana mpaka watu wakahisi vinginevyo, kuepusha shari nimehamia mtaa wapili, huku nilipo hamia kwenye chumba cha upande wa kulia kuna subwoofer yamaana, upande wa kushoto subwoofer ya kuunga unga ila...
  4. G

    Sababu na athari za matangazo ya kubeti, kudanga na kujiunga Freemason kuongezeka

    Matangazo ya makampuni ya kubeti, matangazo ya kujiuza (kudanga) na yale ya kujiunga na uFreemason ni mengi san Hii ni ishara mbaya sana inayoonesha kuwa umaskini umeongezeka kwa kiwango kikubwa sana na hivyo kupelekea kuongezeka kwa wahitaji (wateja) wa Freemason, kubeti na kudanga. Kama...
  5. A

    Sababu ya Lady Jay Dee kuachana na mumewe

    Nini sababu ya Mwanamuziki Nguli duniani lady jay Dee kuachana na mume wake wa ndoa? Mwenye kujua tafadhali ili tuweke rekodi sawa kwenye maandishi. Cc: kataa ndoa
  6. CHADEMA yaahirisha Maandamano ya Karatu kwa sababu ya Mafuriko

    Taarifa hii ya Kibinadamu imetolewa na Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini Aman Golugwa , na kwamba Chama hicho kitaendelea na Ratiba ya Maandamano kwenye Maeneo mengine. Tundu Lissu ndiye aliyepangwa na Chama hicho kuzindua Wiki ya Maandamano Karatu. Pia soma: Chalamila: Sina taarifa za...
  7. Hii ni moja ya sababu ya mafanikio ya alonso msimu huu

    Attack Attack Attack
  8. Imetajwa kwamba uchawi ni mdudu ambaye ameitafuna sana Kigoma na watu wake, ndio sababu ya watu wengi kutokurudi nyumbani

    Imetajwa kwamba uchawi ni mdudu ambaye ameitafuna sana Kigoma na watu wake, ndio sababu ya watu wengi kutokurudi nyumbani, point ya 1. Watu wa Kigoma hawana tofauti na Mayahudi wa Israel, tofauti yao ni kwamba watu wa Kigoma wana ardhi ila mayahudi walikosa ardhi. Kigoma ina watu makini sana...
  9. Nini kifanyike kuokoa ndoa kwa sababu ya wanawake kukosa nguvu za kike?

    Kumekuwa na kasi kubwa ya wanawake wengi hasa mijini kukosa nguvu za kike, nao moja tu uaanza kulalamika eti amechoka na visingizio kibao mara amechoka,mara anamaumivu mara anamawazo na n.k Nini kifanyike hawa viumbe wawe kama zamani unalala unaikoboa na bado asubuhi wanadai . Kazi ya kucheka...
  10. Sababu ya madini mengine kukosa soko na changamoto zake

    Kwa nini Tanzania madini mengine yanakosa soko hapa ndani ukilinganisha soko la dhahabu. Kuna sababu kadhaa zinazoweza kuchangia aina fulani za madini kutokuwa na soko kubwa ndani ya Tanzania ikilinganishwa na dhahabu. Baadhi ya sababu hizo ni pamoja na: Ubora na Wingi wa Malighafi: Baadhi...
  11. Dkt. Sule, kwa suala la Harmonize, wewe ndo haupo sahihi. Harmonize yupo sahihi kushinda wewe

    Harmonize sio authority yoyote katika uislamu. Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni haramu kama ilivyo nyama ya nguruwe. Kwahiyo kwa hermonize kuingia kwenye muziki tayari...
  12. Muislamu au Mkristo kuamini kwamba kitabu cha dini yako ni bora kuliko akili yako ni kumkosea sana Mwenyezi Mungu. Sababu hii hapa

    Kitabu cha imani yako kimetungwa na watu. Akili yako imeumbwa na Mungu mwenyewe. Ila wewe una amini kitabu cha imani yako ambacho kimetungwa na wanadamu ni bora kuliko akili yako ambayo imeumbwa na Mwenyezi Mungu. Huko ni kumkosea heshima Mwenyezi Mungu kwa kiwango cha hali ya hali ya juu sana.
  13. Pluribus Anum, coin ya dollar ya Marekani yenye vituko vingi, je nini sababu yake kuweka emage hizi?

    Duniani kuna mambo Sana, watu wengi wakiangalia mambo yanavyokwenda sasa hivi huwa wanaamini kuwa dunia sasa imekwisha. Sasa Mimi ngoja niwaeleze dunia ndio Kwanza inaanza, utakwisha wewe tu. Je unazijuwa sarafu za dollar ya Marekani prulibus unum ambayo ndio Motto wa Marekani kwenye National...
  14. M

    Kwa mara ya kwanza Derby ya Simba vs Yanga itakosa mvuto na mapato kwa sababu ya ulofa wa Simba

    Kila shabiki na mwanachama pamoja na viongozi wa Simba hawana tena hamu na mpira, mara ya kwanza akina Jaribu Tena walikuwa wakidanganya watu kuwa Simba ni dude kubwa, Simba ndio timu bora Tanzania, wengi wakaingia mtumbwi wa kibwengo, mara Yanga inabebwa, Yanga mbovu, cjui nini sasa leo ukweli...
  15. Marekani: Mchina alalamika kupigwa na polisi bila sababu

    Mchina huyo Amewaambia waandishi wa habari was gazeti la Washington post kwamba "Nilisimamishwa na polisi, nikaulizwa jina langu, ghafla nikashngaa naanza kushambuliwa na polisi hao bila kuambiwa kosa langu" "nmepoteza imani yote niliyokua nayo kwa hawa polisi wetu" aliongezea Mchina uyo...
  16. S

    Mke wa zamani wa Ricado Kaka afunguka sababu za kumsaliti mume wake, adai utakatifu wa Kaka kwake ulimboa

    Mke wa zamani wa Ricardo Kaka, aliyemsaliti akiri kwamba Kaka alikuwa mume bora sema aliboreka na maisha matakatifu aliyoishi Kaka. Kwa maneno yake anasema "Kaka hakuwahi nisaliti, alinijali na kunipa familia inayopendeza, ila sikuwa na furaha, niliona kuna kitu kinakosekana. Tatizo kubwa ni...
  17. Muda mwingine uhalisia tunaouona sio kweli sana, hata vitu vingi vinavyotuvutia hatujui sababu hasa kwanini vimetuvutia

    Umewahi kujiuliza je? Mfano wewe ni mpenzi wa yanga au simba, ni kwanini unapenda na ni vigumu kubadilishwa mtizamo wako kiasi kwamba hata wazingue kwa kiasi kikubwa bado utazidi kutafuta namna ya kutetea ili uendelee kuipenda. Kuna case mbili fikiria alafu useme katika case ipi utabadili...
  18. M

    Islamic Scholar anasema Waislamu wanaonewa wivu na dini zingine sababu ya Warembo Mabikra 72 watakaopewa Peponi

    Islamic scholar anasema People are jealous of our 72 virgins, tazama mwenyewe video
  19. K

    Uratibu mbaya wa makadirio ya kodi ndiyo sababu kubwa ya ukwepaji kodi

    Mimi ni mtaalamu wa fedha na kwa mawazo yangu tatizo la kodi na TRA linaanza na uratatibu mbaya wa ukusanyaji wa kodi. Kuna kodi za aina mbili kubwa 1. Kodi za mauzo. Kwenye kodi hizi ambazo kwa ulewa wangu ni 18% mlipa kodi sio mfanyabiashara mfano mwenye duka. Mlipa kodi ni mnunuzi na mwenye...
  20. M

    Nachukiwa na bosi wangu bila sababu

    Toka nimeajiriwa miaka mingin iliyopita. , nimegundua boss wangu ananichukia sana, na anaonekana anapenda na kupendelea watu wengi bila sababu, hata wale ambao si watendaji wazuri. Sio kwamba Mimi ni mchapa kazi, Wala sio kwamba Mimi ni mvivu, ni kawaida tu, bosi wangu amekuwa akieneza uzushi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…