sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania KTN News: Martha Karua aeleza kwa undani sababu za kuzuiliwa kuingia Tanzania akiwa Airport na kisha kuwa "deported" kurudi Kenya

    https://youtu.be/5HU2fES7Es0?si=ZkHkhXfQQh61TLt3 Mahojiano yamefanyika Kwa lugha ya Kiingereza.. Kwa ufupi sana Martha Karua anasema: • Tulitoka Kenya na wenzangu kwenda DSM Tanzania ili kufuatilia kesi ya Tundu Lissu... • Tulipofika Airport DSM, tulikuwa detained hapo hapo Airport. Hatukuwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya Corolla 5A kushindwa kuwaka, nini itakuwa sababu?

    Habari zenu Wana ndugu, nilikuwa naomba ushauri juu ya gari langu aina ya Corolla E100 ambal limefungwa cylinder head siku chache zilizopita na baada ya hapo nikatembelea kwa siku tatu ya nne kuja kuliwasha likawaka ila kwa miss kubwa Sana nikavuta race halikuacha mpaka likazima na baada ya hapo...
  3. JamiiForums Tanzania Sababu Kuu kwanini Simba SC wamefungwa na Berkane na hawatachukua Ubingwa Afrika

    Jana tumeshuhudia Simba SC wakiangukia pua pale Morroco pamoja na tambo, mbwembwe, goli la mama na kupelekwa na ndege ya Mama! Ni dhahiri Simba wasingeweza kushinda jana hata wangelifanyaje. Iko hivi. Tanzania kwa sasa inapitia kipindi kigumu sana cha Udikteta Uchwara. Watz kwa sasa wanatekwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania CAF yafunguka sababu za kuipeleka Simba Zanzibar

    SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeeleza sababu za kuupeleka mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane ya Morocco, kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, mjini Zanzibar. Wakati vigogo hao wa Ligi Kuu Tanzania Bara wakiwa tayari wameanza kujipanga...
  5. JamiiForums Tanzania Hizi ndio sababu kwanini watu wengi wanaogopa kujenga gorofa

    Hizi ndio sababu kwanini watu wengi wanaogopa kujenga gorofa Watu wengi wanaogopa ujenzi wa gorofa kwa sababu ya hofu ya gharama kubwa na kutokuwa na uhakika wa ubora wa ujenzi. Wengine wanangoja kuwa na pesa za kutosha kabla ya kuanza, na hii inaweza kupelekea kuchelewesha mipango yao ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kukosa au kucheleweshwa huduma kila mara katika taasisi za serikali kwa sababu mtandao hakuna au uko chini ni jambo la hovyo sana

    Hakuna jambo linakera kama unafika katika taasisi fulani hasa za serikali na benki unaambiwa huwezi kupata huduma au huduma itachelewa kwa sababu sijui mtandao hakuna au uko chini, duniani huko kwa watu wenye akili sasa hivi wanafikiria kwenda kwenye network ya 6G sisi bado tunambwelambwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali yazifungia laini 47,728 zilizosajiliwa kwa NIDA, kwa kuhusishwa na Uhalifu wa Kimtandao

    Serikali imebaini na kuzifungia laini za simu 47,728 pamoja na nambari za Kitambulisho cha Taifa (NIDA) 39,028 baada ya kugundulika kuwa zimehusika katika matukio ya uhalifu wa kimtandao na udanganyifu kwa njia ya mawasiliano. Hayo yameelezwa leo Ijumaa Mei 16, 2025 na Waziri wa Mawasiliano na...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Sababu za copy and paste ya Rais Samia kushidwa

    Rais Samia na wapambe wake wanashangazwa na hawaelewi kwanini kwanini copy na paste mambo ya Magufuli hawaendi kama wakati wa Hayati Magu 1. Watanzania wamesha elimika zaidi 2. Kushidwa kuzuia rushwa kama wakati wa Magufuli . Watanzania walikuwa wanaona hilo 3. Mitandao imeongeza uwazi wa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mbona kama nachanganyikiwa..! Risasi alizopigwa Lissu zinauhusika na pande zote mbili? Kwanini wanachadema wanaamua kukimbia chama bila sababu?

    Wanusa upepo wa CCM na Chadema hasa wanaokula sahani moja kwenye hizi siasa za kinafiki, wamegundua kuwa, Ni dhahili Chadema inaenda kushika dola Wakati huu, nilitarajia Chadema iwe moja, ishikamane kwa hali zote Kwa sababu, wakati wa Chadema kuchukua nchi ni sasa, na hii ingefanya Chadema...
  10. JamiiForums Tanzania Vijana wengi hawendelei kwa sababu ya kuifuatilia vitu vichovu vinyonge na vilivyofelifeli

    Unachokifuatilia muda mrefu ndicho kinajenga ufahamu na mipaka yako kiakilini. Acha kufuatilia mambo madogomadogo, mambo ya manenomaneno yasiyo na vitendo. Unanyong'onyesha Ubongo wako. Mfano; Jamaa kapata milioni 300 lakini anafikiria kwenda kufungua mpesa au kufuga tung'ombe kwenye robo...
  11. JamiiForums Tanzania Mozah Ally: Nimeondoka CHADEMA sababu hatuwezi kujinasibu tutazuia Uchaguzi halafu hatuingii kwenye vyombo vya maamuzi

    Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Taifa, Moza Ally, ametangaza kujiondoa rasmi ndani ya CHADEMA, akilalamikia ukosefu wa mwelekeo wa kisiasa ndani ya chama hicho na kukosekana kwa mkakati wa wazi kuhusu ushiriki kwenye uchaguzi mkuu...
  12. JamiiForums Tanzania Dont waste your time to pay for " Sponsored Ad"on Facebook and Instagram. Sababu hii hapa👇👇

    Sponsored ad on Facebook and Instagram zilikuwa Zina work effectively 2017 kushuka chini. Kuanzia 2018 hapo ni kusua sua na by 2025 it doesn't work at all. Sababu ni hii hapo👇👇👇👇 Tajiri Mark Zuckerberg hataki wajasiriamali wadogo wadogo mpate financial break through. Hataki mtajirike kupitia...
  13. V

    JamiiForums Tanzania Nimeisikia mahali na nimethibitisha kwamba ni kweli ila sababu bado siijui. Wenye hekima na maarifa, tafadhali mtujuze

    Kwamba...... Unapoingia chooni au hata upenuni kwa ajili ya haja ndogo... Utasimama au kuchutama (kwa wanawake) ukielekea au kutazama kule unakokojoa.... Lakini ikiwa ni haja kubwa, unapochutama lazima ugeuke kutazama ulipotokea ndipo ujisaidie. Kwa nini IPO hivyo?
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo: Kwa Sababu ya Matokeo Mazuri Nchi Inayopata kila Kitu kipewe Jina Lake

    Kutokana na matokeo Mazuri Nchi iliyopata , ni vizuri kila kitu cha nchi hii Kipewe Jina lake kabla ya maneno Mengine Mbele yake. Mfano Yahaya Tanzanite, Yahaya Gold, Yahaya Katiba, Yahaya Ali Hassan Mwinyi Road, Yahaya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
  15. JamiiForums Tanzania Sababu za Chadema kushindwa kuenea zanzibar miaka zaidi 30

    Leo tujadili sababu za kwa nini chadema pamoja na ukongwe wa miaka 33 imeshindwa kuenea upande muhimu wa Jamhuri yaani visiwani Zanzibar? Je zipo sera na agenda zilizojificha ndani ya CDM?
  16. JamiiForums Tanzania Usipojua kutafuta, utatafuta sababu ya kutokutafuta

    #Porojozabongo "Usipojua kutafuta, utatafuta sababu ya kutokutafuta." "Unaelewa hiyo methali?" anauliza bongo, akiinamisha kichwa katika draft "Bado naitafakari," akajibu mgogo, akimtazama bongo "Hii ni porojo za bongo kaka," Bongo akaendelea, "Ina maana, ukikaa tu bila juhudi, mwisho...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaoondoka CHADEMA ni kwa staili moja na sababu zilezile. Ni usaliti au hujuma au ni kutumika?

    Nimekuwa nikifuatilia kuondoka kwa wanachama CHADEMA wote wasema sababu ya ubaguzi, uongozi wa kiimla au kunyanyaswa na hatimaye wakiondoka hawasemi waendako eti wote wanapumzika tu. Je mtu akisema wanatumika utasemaje? au u kaskazini au walizoea kutafuna tulitegemea kila mmoja na staili yake...
  18. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Utabiri; Uchaguzi hautafanyika Oktoba, sababu kuu ni hizi

    Unabii tu ; uchaguzi Oktoba hauwezi kufanyika , na sababu kuu itakuwa ni hizi, 1. Kuelekea karibu na uchaguzi , Kanisa Roman Kathoriki watatoa tamko kali la kuwazuia waumini wake nchi nzima kuto kwenda kupiga kura. Waraka huo utasomwa kwenye majimbo hadi Jumuiya zote nchini. 2. Kanisa la...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi kuna kitu hakipo sawa kwa sisi Watanzania

    1. Inawezekanaje watu wanatekwa na watekaji pengine tunawafahamu lakini tuna kigugumizi cha kuchukua ngumu na za haraka dhidi ya hao watekaji? 2. Inawezekanaje wakati mwingine mtu anatekwa hadharani mchana kweupe na mbele ya umati wa watu lakini waliopo hawachukui hatua kuwadhibiti na...
  20. JamiiForums Tanzania Hili baba lina miaka 43, halijaoa na halina mtoto. Ila lina sababu ya msingi japo haina mantiki

    Umaskini Umaskini Umaskini Nakuita mara tatu😭 Yupo yupo tu. Kwa mujibu wake ameanza kupambania maisha yake tangu akiwa na miaka 14 baada ya kufeli shule darasa la saba. Kapambana sana maskini! Kuna kipindi alifikia akasema hata mapenzi aache kufanya kabisa maskini, akiamini nguvu za kufanyia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…