sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Tunajua Humphrey Polepole alipelekwa kuwa balozi sababu alianza kuwa maarufu na angekuwa tishio katika kuteua mgombea wa Uraisi wa CCM wa 2025

    Ukiangalia safu ya watu wa CCM ambao wanaweza kuwa serious na uongozi wa Tanzania na hata mambo ya kifisadi, aliebaki labda ni Humprey Polepople. Sasa uwepo wake ndani ya Tanzania, na ukizingatia jinsi alivyoanza kujipatia umaarufu kwa hoja zake wakati wa zile seminar zake, ilibidi andolewe...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kama haupingi utekaji tupe sababu!

    Tunazungushana na drama ambazo hazina maana. Kama kuna watu hawapingi utekaji tumaomba mtupe sababu zenu tuzijadili bila hivyo tufunge mjadala kama wote tutakubaliana kwamba hakuna sababu yeyote ya msingi ya kumteka mtu
  3. W

    JamiiForums Tanzania Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha lakini mimi sijui mission yangu, je nipo alone ?

    Niliwahi kusikia Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha, Mfano ni mtu kama Lissu mission yake ni ukombozi haijalishi hata akishindwa, Mrisho Mpoto ni kutukumbusha asili zetu kupitia muziki haijalishi hata kama mziki haumlipi, n.k. Nikiwa shuleni hadi chuo maisha yangu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tukiwa watu makini tutatambua kuna faida kubwa kwa CCM na Tanzania kuwa "Gwajimalized" kuliko kuwa "Samialized" kwa sababu hizi hapa za msingi

    Gwajimalization - kimsingi hili linamaanisha kuwa na watu ambao wanaweza kudiriki kuukosoa uongozi wa CCM au Tanzania kwa ujumla, kwa faida ya Watanzania. Hili lina ubaya gani? Nyerere alisisitiza siku zote kuwa kukosoana ni sehemu ya kurekebishana. Leo raisi wa nchi anaongea kwa kujiamini...
  5. JamiiForums Tanzania KERO CRDB Sim banking haifanyi kazi zaidi ya saa nne

    Kila kitu hoi, customer service hawapokei. CRDB mmekuwa trash sana, masaa 4 sim banking haifanyi kazi , biashara na miamala vinagoma kuendelea kwa sababu ya upumbavu wenu Trash🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
  6. JamiiForums Tanzania Hakutakuwa na mechi za saa nane mchana, mechi zitaanzia saa 11 sababu kutakuwa na miundombinu bora kabisa ya viwanja vya mpira

    Kwa east afrika na afrika kwa ujumla hakuna nchi itakua na miundombinu bora ya mpira wa miguu kama Tanzania Mtoto wa uganda, kenya, Congo, Rwanda atakua na ndoto za kuja kucheza mpira Tanzania Team 255713520180
  7. JamiiForums Tanzania Video: Kuna sababu gani kumpeleka mtu kama huyu Mahakamani?

    Ushahidi uko wazi, kwanini asipelkwe jela moja kwa moja? https://web.facebook.com/reel/1100919795416621
  8. JamiiForums Tanzania Katika Muktadha wa michezo Tanzania na Afrika kwa ujumla Kauli ya Hatuchezi ng'oo haimanishi tu kutoingia uwanjani

    Wadau karibuni katika uwanja wa Michezo. Kwanza naomba kuchukua Dakika 1 kukiri masikitiko makubwa niliyonayo kwa kuondokewa na nguli wa fasihi za Pan-Africanism(something torn and new African renaissance) hivi leo ndugu na jamaa yetu Ngungi wa Thiong'o katika Afrika Moja(Night mystic...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Sababu ya CHADEMA kuendelea na Tone tone

    Angalia watu wa kawaida wanavyo changia. Hii ndiyo sababu ya hiki chama kuwepo leo hii sio ruzuku ni watu
  10. JamiiForums Tanzania Sababu za VAR kufungiwa stoo zimejulikana.

    Itakuwa aibu kuwa na VAR huku marefa wakitumia VAR hata Kwa matukio yanayoonekana Kwa macho ya kawaida.
  11. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu halisi kwanini mtu akijitoa kwenye uchawi anauliwa.

    Kutoka Pm: " Mkuu Likud mbona siku hizi uandiki mada kuhusu uchawi? Anyways mtaani kwetu kuna mdada kafariki ghafla, mama ake anasemekana ni mchawi. Tetesi ni kwamba binti aliingizwa Kwenye uchawi then akaukataa. So nauliza kwanini MTU akijitoa Kwenye chama cha uchawi wana muua...
  12. JamiiForums Tanzania Nchi ya kusadakika yenye mfalme juha sababu ni kaptula la marx

    Katika kitabu che jina kusadikika kulikuwa na utawala ambao mtunzi mwenye maono makubwa ya mbali. Kwenye kitabu cha mfalme juha nacho kina muonesha mtawala aliyekosa maono na kupendwa kusifiwa. Ila kwa vile utawala ni kaptula la marx ndio limetufanya hivi. Hivi vitabu vitatu vingeunganishwa...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madhara ya Post Election Violence nchini Kenya sababu ya mizaha ya siasa

    Inasikitisha Sana na kamwe tusijipeleke huku.
  14. JamiiForums Tanzania Aziz Ki na Harmonize jifunzeni kwa Diamond jinsi ya kutunza ndugu zenu. Miaka yote ulimficha mama yako sababu amechakaa

    Kipindi nasoma chuo kuna binti alijifanyaga sista duu.mara paa baba yake mzazi akafariki. Rafiki yake wakaribu akatoa taarifa,tukajikusanya kukodi coaster kwenda msibani Binti mfiwa kidogo adondike,alikuwa akiishi uswazi mwananyamala kisiwani,nyumba imechokaaa. Aziz Ki mjinga sanaalimficha mama...
  15. JamiiForums Tanzania Ni motive ipi inayofanya wanawake wa-cheat? Upande wa wanaume ni kwa sababu sex drive yake haiwezi vumilia kudatishwa na appeal ya mwanamke mwingine

  16. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua sababu za msingi za vijana wa Kenya wanaosema "Ruto must Go"

    Uzi tayari. Natanguliza shukrani
  17. M

    JamiiForums Tanzania kihistoria ndoa hazikuwa zinafungwa sababu ya love, bali sababu zinginezo, zama hizi ndoa zinavunjika sana sababu zinafungwa sababu ya kupendana

    Kwa kihistoria, ndoa ilikuwa suala la kibiashara kabisa. Katika maeneo ya kale ya Mesopotamia, Misri, na Uchina, ndoa zilipangwa ili kukuza utajiri wa familia, kupanua maeneo, na kuimarisha ushirikiano wa kisiasa. Miongoni mwa Wazulu wa kusini mwa Afrika, ndoa ilikuwa njia ya kuunda uhusiano...
  18. JamiiForums Tanzania Pitch ya kiwanja cha mkapa inachimbwa chimbwa hovyo ndo sababu ya kuharibika hovyo hata baada ya kutengenezwa

    Hata aje engineer wa kutoka mars, hata itumike Trillion moja as long ile pitch itaendelea kuchimbwa chimbwa kabla ya mechi fulani fulani na timu fulani fulani yale madimbwi hayataisha kamwe
  19. JamiiForums Tanzania Ni sababu ya mimba kutoka

    Nimeona niulize kupita ukurasa huu ni kitu gani hasa kinachosababisha mimba kutoka Mods najua hii mada hii sio sehemu yake naomba muiache kwanza watu waelimike mtakuja kuhamishia kule baadae
  20. JamiiForums Tanzania Halikuwa chaguo la Mungu wala utabiri, bali kusudi la CCM 2015 kuchanganyikiwa na kusimamisha Makamu wa Rais na Rais sababu hizi hapa

    Wenye kuelewa ndio mtaweza kuelewa hili jambo. Mnakumbuka ndani ya chama cha CCM kulikuwa na upinzani mkali sana na kila mwenye nguvu alitaka kusimamisha mtu wake anayeweza kumfanya remote. Jambo lilotokea CCM kuweka makamo wa raisi mwanamke baada ya kuona kuna mgombea mwanamke raisi kupitia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…