Watu wasiopungua watano wameuawa katika maandamano ya Saba Saba ya leo huku makabiliano kati ya polisi wa kupambana na vurugu na waandamanaji yakizidi kushika kasi.
Katika eneo la Kangemi, raia mmoja alipigwa risasi na hali yake haijafahamika, huku wengine wawili wakithibitishwa kufariki...