ruto

Ruto, or Rutto, is a surname of Kenyan origin that may refer to:

Evans Rutto (born 1978), Kenyan marathon runner and two-time winner of the Chicago Marathon
Isaac Ruto, Kenyan politician for the United Republican Party
Paul Ruto (born 1960), Kenyan middle-distance runner and 1993 world champion
Ronald Kipchumba Rutto (born 1987), Kenyan steeplechase and marathon runner
William Ruto (born 1966), Kenyan politician and Deputy President of Kenya

View More On Wikipedia.org
  1. Raila Odinga: Serikali ya Rais Ruto 'imeliteka' Bunge, sasa limekuwa 'hanisi'

    Azimio la Umoja One Kenya coalition party leader Raila Odinga now claims the Kenya Kwanza administration has captured the legislative arm of the government, thereby rendering Parliament unable to conduct its oversight role on behalf of Kenyans. Speaking during the burial of Phyllis Mawathe, the...
  2. Rais Samia na Ruto wanakimbizana kwa kufanya safari Nje ya Nchi

    Licha ya Rais William Ruto kueleza manufaa ya ziara zake Nje ya Nchi, mapokeo yamekuwa tofauti kwa Wananchi wakiwemo Watumiaji wa Mitandao ambao wanakidai Rais hakai Ofisini ili kutatua changamoto za Gharama za Maisha. Katika kipindi cha miaka miwili, Ruto amefanya ziara 42 katika 26, Nchi 15 ni...
  3. Rais William Ruto ashusha gharama za Bima ya Afya

    Rais #WilliamRuto amesema Serikali itafanya mabadiliko kwenye gharama za matibabu kwa Wananchi wa kipato cha chini wanaotumia Bima ya Mfuko wa Bima wa Taifa (NHIF) ambapo waliokuwa wanalipa Tsh. 8,201 kwa mwezi wataanza kulipa Tsh. 4,921. Ruto ameongeza kuwa Wananchi ambao hawana uwezo wa...
  4. R

    Rais Ruto asema suala la kupanda kwa bei ya mafuta halifamfanyi akose usingizi, mikono yake imefungwa

    Katika mkutano wa bunge ulioitishwa na Rais Ruto kama kiongozi wa chama cha UDA na Muungano wa Kenya Kwanza, uliohudhuriwa na zaidi ya wabunge 200, ukweli wa gharama kubwa ya maisha ambayo kwa kiasi kikubwa imetokana na ongezeko la bei ya mafuta lilipewa umuhimu mkubwa. Vyanzo vilivyokuwa na...
  5. Rais Ruto aidhinisha Sheria ya kubinafsisha Mashirika yanayoendeshwa kwa hasara

    Rais wa Kenya William Ruto ameidhinisha Muswada wa Ubinafsishaji wa mwaka 2023 ambao sasa umekuwa Sheria ukilenga kuondoa urasimu katika Ubinafsishaji wa Mashirika ya Serikali yasiyo ya Kimkakati na yanayoendeshwa kwa hasara. Imeelezwa kuwa Sheria hiyo mpya pia itasaidia Serikali kuongeza...
  6. Rais Ruto: Bandari ya Mombasa Haitabinafsishwa

    Kauli hiyo ya Rais wa Kenya inafuatia uwepo wa taarifa kuwa Serikali ina mpango wa Kubinafsisha Shughuli zote za Uendeshaji wa Bandari ya Mombasa, taarifa ambazo Ruto amezikanusha na kueleza Serikali yake inapanga kupanua Bandari kwa nia ya kuongeza utendaji kazi na kutoa ajira kwa vijana. Ruto...
  7. A

    Pan-African Masquerade: William Ruto with the Mask Off - Africa Interest

    When Kwame Nkrumah wrote in his 1965 book that “THE neo-colonialism of today represents imperialism in its final and perhaps its most dangerous stage,” he clearly foresaw today’s Nigeria and Kenya – states which are in theory, independent and have all the outward trappings of international...
  8. Rais Ruto aagiza Wizara ya Mawasiliano kuandaa Sheria itakayowezesha Ushindani wa Kidigitali

    Rais William Ruto ametoa maagizo hayo na kueleza Serikali yake imeweka nia ya kutengeneza mazingira yenye Ushindani ikiwemo kuongeza ushawishi kwa Makampuni ya Teknolojia kwaajili ya kuwekeza zaidi Nchini humo. Kauli ya Ruto inakuja siku chache tangu aanze ziara ya siku 10 katika Mataifa ya...
  9. Ruto to deploy Kenyan troops to Haiti, do you see parallels?

    Haya as if Kenya hakuna gangs, US funded and trained Kenyan troops zitatumwa Haiti eti kuzuia uhalifu, ikumbukwe tangia raisi wa watu wa Haiti auliwe Ikulu na so called gangs Haiti haijatulia na inashutumu CIA kuhusika, sasa US an fund Kenyan forces to be deployed in Haiti, Haitian are blacks...
  10. R

    Ruto kupeleka M-Pesa Kimataifa, Safaricom na Apple kushirikiana M-Pesa ipatikane duniani

    Safaricom inafanya mashirikiano na kampuni ya Apple kuiunganisha M-Pesa na PayPal ili kuongeza wigo wa shughuli za M-Pesa kimataifa. Ruto asema wana nia ya kuzitumia fursa zilizoletwa na kampuni za Microsoft, Intel, IDM, Oracle na Google vizuri ili kuboresha uwezo wao katika mambo mbalimbali...
  11. Utani wa Rais Samia na Ruto kuhusu lugha ya Kiswahili na Kingereza

    Wakiwa kwenye Mkutano mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF), Rais Samia wa Tanzania na Rais William Ruto wa Kenya walitaniana kuhusu Matumizi Sahihi ya Lugha za Kiswahili na Kingereza Swali la Utani: Kati ya Kenya na Tanzania, wapi Kingereza kinazungumzwa kwa ufasaha?
  12. Maneno ya Rais Ruto kuhusu kilimo ni ya kuwapumbaza Watanzania

    Wasalaam nyote, Kwenye kikao/Mkutano wa Rais Ruto na Rais Hassan, na wadau wengine Rais Ruto anasikika akisema fursa kubwa ijayo ya utajiri ipo kwenye kilimo, ameweka bayana kuwa yeye ni mdau wa kilimo, kwa kiasi amekosoa kazi ya immigration wetu kule mpakani, japo amesifu mabadiriko na...
  13. K

    Rais Ruto atoa kauli tata katikati ya kutekwa kwa billionea wa kihindi

    katika kile kinachoonekana kama copy & paste ya njia zilizotumiwa na shujaa wa chato katika kukabiliana na matajiri wanaotumia nguvu ya fedha kujimilikisha mali za waafrika wajinga,Rais wa taifa la Kenya,dokta Ruto ameomekana kufurahishwa na kitendo cha kutekwa kwa billionaire wa Kenya mwenye...
  14. Kenya yavunja rekodi ya deni la Taifa mpaka kuvunja sheria, Tanzania tumejipangaje?

    Utawala wa William Ruto umeshutumiwa kutokana na mwenendo deni la Taifa nchini Kenya huku akiwa ndiye Rais aliekopa pesa nyingi zaidi ndani ya mwaka mmoja tangu Taifa la Kenya liumbwe. Deni hilo limeongezeka kwa $ bilioni 10.8 kufikia $ bilioni 70.75 kulingana na takwimu zilizotolewa Jumanne...
  15. Odinga na Ruto kufanya mazungumzo chini ya Rais Mstaafu Olesegun Obasanjo

    Viongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja One na Kenya Kwanza wamefikia uamuzi huo ili kutafuta mwafaka wa maandamano ya kupinga Serikali yanayoongozwa na Raila Odinga. Katika taarifa iliyotolewa leo Julai 29, 2023 imeeleza kuwa majadiliano hayo yanatarajiwa kumhusisha Rais wa zamani wa Nigeria...
  16. Rais Samia na Rais Ruto Wafanya Mazungumzo Dar es Salaam

    Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Kenya, William Ruto kando ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa JNICC - Dar es Salaam
  17. Je, mwanzo wa Ruto kutawala peke yake ndiyo umemalizika tutegemee serikali ya mseto?

    Japo mambo ya Ngoswe tulipaswa kumwachia Ngoswe, rais Samia S Hassan hivi karibuni alisikika akijisifu kuwa Kenya inapoteza wawekezaji kwa Tanzania. Sijui alipitiwa, alishauriwa vibaya au hajui diplomasia na biashara. Waingereza wanasema when you see your enemy making mistakes never interfere...
  18. Raila Odinga: Rais Samia alikuja Kenya kutusuluhisha mgogoro lakini Rais Ruto akaingia mitini

    Akizungumza na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya, Waziri Mkuu wa Zamani wa Nchi hiyo na Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga amesema jitihada za kutafuta suluhu ya mgogoro unaoendelea kulitafuna taifa zilifanywa sio tu na jamii wa Wakenya peke yao bali hata Matifa jirani ambapo...
  19. Ruto rais wa Kenya anafanya sawa kabisa, anajua amejifunza!

    Uhuru Kenyata analia kujitokeza hadharani kulalamika kwamba ananyanyaswa na Raisi Ruto, Ruto amewahi kwani asipofanya hivyo yatamkuta yaliowakuta wengi, Ruto alikuwa Makamu wa raisi wa Kenya tena powerful one hivyo anajua kwamba kama usipodili nao hawatakuwa na huruma na wewe wakipata nafasi...
  20. President Ruto To Uhuru: Stop Funding Raila, Ama tutakusafirisha na yeye

    President William Ruto has now fired a direct warning shot to his predecessor Uhuru Kenyatta over his alleged continuous association with opposition chief Raila Odinga. President Ruto, speaking in Nakuru County’s Mai Mahiu town on Friday, alleged that Uhuru has secretly been funding Odinga’s...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…