ruto

Ruto, or Rutto, is a surname of Kenyan origin that may refer to:

Evans Rutto (born 1978), Kenyan marathon runner and two-time winner of the Chicago Marathon
Isaac Ruto, Kenyan politician for the United Republican Party
Paul Ruto (born 1960), Kenyan middle-distance runner and 1993 world champion
Ronald Kipchumba Rutto (born 1987), Kenyan steeplechase and marathon runner
William Ruto (born 1966), Kenyan politician and Deputy President of Kenya

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Hoja 9 za Mahakama ya Juu zilizoidhinisha ushindi wa Rais Mteule William Ruto

    1. Teknolojia iliyotumwa na IEBC kwa uendeshaji wa uchaguzi mkuu wa 2022 iliafiki viwango vya uadilifu, uthibitisho, usalama na uwazi ili kuhakikisha matokeo sahihi na yanayoweza kuthibitishwa. (Kwa kauli moja. Jaji Mkuu Martha Koome, Naibu Jaji Mkuu Philomena Mwilu, Mohammed K Ibrahim, Njoki...
  2. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Hongera Rais wetu mpya, Dkt. William Ruto

    Japo sikukupigia kura, na binafsi haujanishawishi ila Wakenya walio wengi walifaulu kukuchagua, inabidi tukubali maamuzi ya wengi ila tulio wachache tusiklizwe pia. Nakumbuka kitambo nikiwa kijana, nilikua mmojawapo wa vijana tuliokusanyika pale Eldoret kukushangilia siku ya kwanza ulipotangaza...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama yatupilia mbali Rufaa ya Odinga, yakubali Ruto ameshinda kihalali Urais wa Kenya, leo Jumatatu Septemba 5, 2022

    MARTHA KARUA: NAHESHIMU MAAMUZI YA MAHAKAMA ILA SIKUBALIANI NAYO Aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Azimio la Umoja katika Uchaguzi wa Urais Kenya, Martha Karua amesema anaheshimu maamuzi ya Mahakama lakini hakubaliani nayo. Mahakama ya Upeo imetangaza kupitisha matokeo yaliyompa ushindi William Ruto...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ruto: Maamuzi ya mahakama tunamuachia Mungu

    "Sisi ni watu ambao tunamtambua Mungu, maamuzi yatakayoenda kutolewa kesho tumemuachia Mungu na viongozi wa mahakamani waamue na kenya iweze kwenda mbele". "Mimi naomba kwa heshima kubwa mumuombee Kenyatta hasa katika kipindi hiki cha transition, Mungu amsaidie ampatie hekima, kuwe na...
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ruto atashinda kesi, double agent kamuangusha Raila Odinga

    Naam ile nchi jirani iliyojipambanua kwamba ina majaji wenye akili timamu na judiciary yenye nguvu jumatatu inaweka historia nyingine kwa kuendesha kesi nzito ndani ya siku chache na kutoa maamuzi Kesi hiyo ambayo kuna baadhi ya nchi majaji kama wangepewa waisikileze basi kila dakika...
  6. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Shaban Robert mwandishi nguli aeinziwa Kenya na mawakili wa Dr. Ruto

    Wasalam wana JF Je ni kweli Raila anaifanya Kenya kuwa nchi ya Kusadikika? Si maneno yangu bali ya mawakili wa Ruto kama video inavyojieleza
  7. Jerlamarel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Mapingamizi ya uchaguzi wa Rais Kenya: Yanayoendelea Mahakama ya Juu

    Ratiba kamili ni hii hapa chini, ikionesha jinsi mtiririko wa matukio ulivyokuwa, kuanzia kupeleka malalamiko mpaka usikilizwaji wa kesi yenyewe. Leo tarehe 30/8/2022 tukio linalofanyika ni mkutano wa uwasilishaji malalamiko kabla ya kesi (pre trial). Kesho tarehe 31/08/2022 ndipo kesi itaanza...
  8. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Jaji Mkuu ataja Hoja 9 zitakazoamua mustakabali wa Urais wa Ruto

    Hoja hizo zilizotajwa na Martha Koome, zitaamua Uhalali au Ubatili wa Matokeo ya Urais ni:- 1. Iwapo Teknolojia iliyotumiwa na Tume ya Uchaguzi (IEBC) kwenye Uchaguzi Mkuu ilifikia viwango vya Uadilifu, Uthibitisho, Usalama na Uwazi ili kuhakikisha matokeo sahihi na yanayoweza kuthibitishwa...
  9. Boqin

    JamiiForums Tanzania SI KWELI William Ruto awachochea Wakalenjin dhidi ya Wakikuyu

    Video moja iliyowekwa kwenye mtandao wa Facebook inadai kuwa Naibu Rais wa Kenya William Ruto "ameichochea" jamii yake ya Wakalenjin dhidi ya Wakikuyu wakati wa mkutano wa kampeni kabla ya uchaguzi wa Agosti 9 2022. Katika kipande hicho cha video kilichochapishwa tarehe 29 Julai, Ruto...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga anatapatapa: Ameibuka na hoja tofauti, sasa anadai Ruto hakufikisha kura 50% + 1

    Ruto did not attain 50+1 threshold, Azimio says in court papers! Matokeo ni haya hapa: Last updated: 15/08/2022, 18:59:28 local time (GMT+3) Final results from IEBC Candidates Vote William Ruto 50% 50.5% 7,176,141 Raila Odinga 48.8% 6,942,930 Other Candidates 0.6% 93,956...
  11. TODAYS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Mzee Odinga Kaamua: Kwa hizi Evidence Ruto Atapona kweli?

  12. mack255

    JamiiForums Tanzania Ruto Alikuwa Ni Mchungaji VIDEO | PICHA

    Picha za zamani za Ruto akiwa katika kazi ya kutangazwa Injili
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kambi ya Ruto haijafurahishwa na ukimya wa Rais Kenyatta

    Ukimya wa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kuhusu ushindi wa William Ruto imedaiwa haupokewi vizuri na kambi ya Ruto licha ya maandalizi ya maandalizi ya makabidhiano ya ofisi kuendelea kwa amani. Rais Kenyatta amekutana na vingozi wa dini Ikulu na kuwaaga akiwaeleza makabidhiano yatafanyika kwa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ruto ana funzo kwetu dhidi ya walamba asali

    Walamba asali wamejisahau. Wamedhani sisi tunayo furaha mno wao na familia zao wakiendelea kujimilikisha nchi na kujineemesha. Tozo hizi wanazo turundikia sisi, zina ridhaa gani nasi? Ruto na jamii ya Wakenya iliyochoka mno na madhila kama ya kwetu, ilisimama imara vilivyo kuwakataa walamba...
  15. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ruto alaumiwa kurubuni wapinzani

    Muungano wa Azimio la Umoja nchini Kenya, uliomsimamisha Raila Odinga kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu, uliofanyika Agosti 9, 2022, umemtuhumu Rais mteule Dk William Ruto kwa kuwarubuni wabunge wake ili waunge mkono muungano wa Kenya Kwanza anaouongoza. Kauli hiyo imetolewa na Msemaji wa...
  16. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania William Ruto aahidi utawala wake kutoingilia mawasiliano ya watu

    Ruto amewahakikishia wananchi kuwa atakapopewa Mamlaka kamili ya utawala, watu watakua huru kuwasiliana bila hofu ya kuingiliwa faragha zao na mamlaka. Akionekana kugusia ujasusi unaofanywa na mamlaka, Rais Mteule ameahidi kuirudisha nchi hiyo kwenye misingi ya Demokrasia na kwamba mtu yeyote...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ulinzi wa Ruto wabadilishwa baada ya kuchaguliwa kuwa Rais Mteule

    Kitengo cha ulinzi kinachomlinda Rais Mteule wa Kenya, Dkt. William Ruto kimeimarishwa tangu alipotangazwa kuwa mshindi katika Uchaguzi Mkuu wa Urais, Agosti 15, 2022. Kitengo cha Ulinzi cha General Service Unit (GSU) kimeweka walinzi katika nyumba ya Ruto iliyopo Jijini Nairobi na nyingine ya...
  18. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maafisa Usalama warejeshwa nyumbani kwa Rais Mteule Ruto

    Mwaka mmoja baada ya Maafisa wa Idara ya Usalama kuondolewa kwenye makazi ya aliyekuwa Naibu Rais, William Ruto na nafasi yake kuchukuliwa na Maafisa wa Polisi wa Utawala, leo wamerejeshwa rasmi. Kwa mujibu wa sheria ya ulinzi wa viongozi, Rais Mteule William Ruto anapewa ulinzi wa maafisa 200...
  19. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kwa Rais Mteule Ruto na Hayati Rais Magufuli, kwa Mungu kila kitu kinawezekana

    Ninajua machache juu ya Rais Mteule Ruto juu ya Imani yake kwa Mungu lakini kwa uchache huo yatosha kusema Ruto NI muumini wa Mungu wa kweli Kama alivyokuwa Hayati Magufuli. Nakumbuka Hayati Magufuli aliwahi kukiri ni Mkapa ndie aliyemshawishi kugombea Urais na Magufuli alipoonesha kutaka...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Wasomi wetu mbona hamfungi Ndoa za umri mdogo kama zamani mfano Rais wa Kenya Ruto na Mkewe Recho?

    Habari wadau. Nimeona kwenye tv. Historia ya mshindi wa urais Kenya. MR RUTO. Alimaliza degree yake ya sayansi ya mimea katika chuo kikuu cha Nairobi mwaka 1991 na alifunga ndoa na mchumba wake baada tu ya kumaliza chuo. Alifunga ndoa huku yeye Ruto akiwa na umri miaka 23 na mkewe Recho...
Back
Top Bottom