President William Ruto ameidhinisha rasmi Division of Revenue Bill, 2026, hatua ambayo sasa inafungua njia kwa county governments kupokea KSh428 billion katika mwaka wa kifedha wa 2026/27. Hafla hiyo ilifanyika State House, Nairobi, baada ya National Assembly kuidhinisha toleo la mwisho la mswada huo.
Bill hii ilikuwa imeleta mjadala mkali kati ya national government na counties kuhusu jinsi mapato ya serikali yanapaswa kugawanywa. Baada ya miezi kadhaa ya majadiliano na kutokubaliana, hatimaye pande zote zilifikia mwafaka, na sasa ugavi wa fedha umepewa green light.
Kulingana na serikali, pesa hizo zitasaidia counties kuboresha huduma muhimu kama afya, elimu ya awali, miundombinu na miradi mingine ya maendeleo. Governors wamekuwa wakisisitiza kuwa fedha za kutosha ni muhimu ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora mashinani.
Counties sasa zimepata "fuel ya kazi." Swali kubwa sasa ni kama fedha hizo zitatumika ipasavyo na kuwafikia wananchi kupitia maendeleo yanayoonekana. Wakenya wengi watakuwa wakifuatilia kuona ikiwa mgao huo utaongeza huduma bora na kuharakisha utekelezaji wa miradi katika kaunti zote 47 nchini.