rudisheni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mirindimo

    CCM na tume kutoa zawadi kwa watakaoshiriki kutoa ushahidi, rudisheni na maisha ya wapendwa wao basi

    Zawadi kubwa ya kuwapa ilikua kuwapa Miili ya Wapendwa wao wakaizike au Kurudisha Uhai wa Wapendwa wao. Nyumba , gari au Mali havitafuta yaliyotoke Oct 29
  2. Carlos The Jackal

    Moderators wa JF rudisheni uzi wangu niloshauri Samia Suluhu Azuiwe kuuza Sehemu ya Akiba ya Dhahabu ya Taifa

    Ni Lazima Watanzania Wajue, nini maana ya HAZINA ya Dhahabu, umuhimu wake hasa katika Usalama wa NCHI kwa kuzingatia SIASA na Mabadiliko ya Kisera ya Dunia. HAZINA ya Dhahabu, haitakiwi kamwe Kuuzwa kwa ajili ya Miundo mbinu, Huu ni ZAIDI YA USENGEE !! Kwa akili ya Samia na Genge lake maana...
  3. A

    KERO Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi rudisheni gulio Bugandika, Wananchi wanakosa huduma za msingi

    Nawanyooshea kidole Mkurugenzi wa Halmashauri na Mwenyekiti wa Halmashauri pamoja na Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera kwa kuwaonea Wananchi wa Kata ya Bugandika hasa vijijini. Hiyo ni kutokana na kitendo chao cha kuondoa gulio lao la kila Jumatano na kulipeleka kwa...
  4. Lord Denning

    Watanganyika mliopo TCRA simameni kuiokoa Tanganyika kuangamizwa na Wazanzibar. Rudisheni mtandao

    Ujumbe kwa Watumishi wa TCRA ambao ni Watanganyika. Wazanzibari wanataka kuiteka Tanganyika na kututawala kwa nguvu. Wamelazimisha Samia atangazwe kwa uchaguzi ambao haukufanyika ba matokeo ambayo yametengenezwa na kila mtu kaona. Simameni kuiokoa Tanganyika dhidi ya huyu mshenzi mzanzibari...
  5. The redemeer

    Waganga rudisheni pesa za wateja wenu waliokatwa ubunge

    Huu ni msimu wa mavuno kwa waganga wengi kama jadi ya watia wenu uamini huwezi pita bila babu,watu wameliwa pesa zao na majina hayajarudi huku wakiaminishwa. Sio fair mganga unampa uhakika mtia nia kwamba atapata ubunge then anakatwa jina.
  6. Kabende Msakila

    Dkt SSH, chondechonde rudisheni majina yote yapigiwe kura za maoni 04 August 2025

    CCM HQ; * Kuanzia kesho CCM itaanza kugawanyika makundi 2 * Tarehe 04 August baada ya kura ya maoni CCM itagawanyika tena kutoka miongoni mwa watakaoteuliwa leo; * Mpasuko wa mwisho utakuwa baada ya taifa kurudisha jina mpeperusha bendera kwa Uchaguzi mkuu. Mipasuko hii ni mikubwa na ina...
  7. Heparin

    PreGE2025 Nyomi la CHAUMMA jijini Mwanza kwenye uzinduzi wa C4C laishtua CCM. Hakika ni chama Mbadala kwa siasa za upinzani

    Hakika sasa Tanzania imepata chama mbadala cha Upinzani. Watanzania kiungeni mkono chama chenu, kipo tayari kuwaletea ukombozi wa kweli na hapa kipo uwanja wa furahisha kuzindua kampeni ya CHAUMMA for Change (C4C). CHAUMMA oyeeee!
  8. J C

    PreGE2025 Viongozi wa CHADEMA rudisheni panga alani mjipange upya

    Shalom. Naomba VIONGOZI wa CHADEMA Mh Heche rudisheni panga alani mrudi mjipange. Mkakati niuonao rohoni sio mzuri la sivyo manakwenda kuzima taa ya ukombozi wa Watanzania. Nionavyo barua ya msajiri msiichukulie poa. Kinachoundwa ni kuwatengua viongozi wote wakuu rejea barua ya msajiri. Kisha...
  9. C

    TAMISEMI rudisheni utaratibu wa mwanzo kuwapigia walimu vituo vya kazi ninyi wenyewe huko kwa sasa walimu wote wana vimemo,wanaishia mjini

    Ule utaratibu mlio ufanya miaka miwili nyuma ulikuwa utaratibu salama labisa kumaliza tatizo la walimu vijijini, lakini huu utaratibu mlio urudisha tena huu una rushwa kwenye wilaya huko, walimu wote wanaishia shule za mijini zilizo rundamana walimu na wanaenda kiripoti na vimemo , huku...
  10. Echolima1

    Kama mnataka amani rudisheni mateka mliowateka oct 07,2023

    Mjumbe wa Israel kwenye Umoja wa Mataifa a Waambie ukweli UN kuhusu msimamo wa Israel huko Gaza. https://x.com/phareselisha1/status/1902032088691331463?s=61
  11. DCI Comrade One

    (Malalamiko)Mtandao wa YAS rudisheni pesa yangu.

    Happy New Year, Mods tafadhari musidelete post yangu. Tarahe 24 Dec 2024 nilikuwa nalipia Netflix Subscription kwa kutumia Mastercard ya MIXX BY YAS lakini kwa bahati mbaya ikawa rejected huku kiwa imetoa ujumbe ufuatao,''Payment declined,please contact your card issuer'' na Uzuri ni...
  12. Mr Why

    FEMINA HIP popote mlipo uzi wangu uwafikie, rudisheni program yenu ili muwaokoe vijana na janga la ngono, mimba za utotoni na mapenzi ya jinsia moja

    https://feminahip.or.tz/ FEMINA HIP mmepotelea wapi ndugu zetu? Zamani mlitoa elimu kwa vijana juu ya maambukizi ya magonjwa ya ngono, mimba za utotoni nakadhalika. Vijana wengi tulivutiwa sana na Magazine za Femina Hip kwasababu tulifahamu njia zote mbaya za kutuingiza kwenye vishawishi vibaya...
  13. I

    NMB rudisheni huduma ya salary advance

    NMB, wameondoa huduma ya salary advance bila taarifa yoyote kwa wateja. Tunaomba taarifa itolewe au huduma irudishwe.
  14. Pascal Mayalla

    Diaspora Wetu Wanafanya Nini cha Kuonekanika Huko Ughaibuni?. Diaspora Mliofanikiwa, Onekanikeni Kupitia TAK na Rudisheni Tanzania Japo Kidogo!

    Wanabodi, Bado niko hapa nchini Marekani kwa ziara binafsi, nimejitahidi kujichanganya na baadhi ya wana diaspora wa Tanzania walioko nchini Marekani, na kujiuliza jee wana Dispora wetu, wanafanya nini cha kueleweka na cha kuonekanika?. Nimejitahidi kuwasiliana na kile chama cha DICOTA...
  15. LINGWAMBA

    KERO TAMISEMI wiki nzima tumelipia leseni kwenye mfumo wa mtandaoni lakini hatujapa leseni mpaka sasa

    Watumishi wa hii serikali sijui kitu gani wanaweza! Zamani walikuwa na mfumo wa leseni manual katika manispaa, ilikuwa ukilipa mpaka muda wa leseni unaisha hujaipata! Sasa hivi online kuomba nayo unalipia unakaa wiki nzima leseni hawatoi! Inabidi na hizi wizara nyingne nazo tutafute...
  16. monotheist

    Vodacom acheni utapeli rudisheni pesa zangu

    Mimi sio mtumiaji sana wa mtandao wa vodacom mnamo mwaka 2022 nilihamasika kusajili laini ya vodacom kutokana na masuala ya miamala hivyo ilinilazimu kusajili laini ya voda na baada ya kumaliza zoezi langu sikuitumia tena Nikarudi tena kuitumia mwaka 2023 sababu ya visa card huwa natumia...
  17. Boss la DP World

    Shairi: Kama hamtaki ndoa, Rudisheni Pesa Zangu

    Mlikubali wenyewe, bila mtutu kichwani, Mkaazimu nipewe, kwa udi na kwa ubani, Akasaini mwenyewe, kwa agizo la fulani, Kama hamtaki ndoa, rudisheni pesa zangu. Aliyeleta mzozo, ni mtoto mtukutu, Akavujisha uozo, ukafika hadi Mbutu, Wakatilia mkazo, wananzengo wenye utu, Kama hamtaki ndoa...
  18. S

    Startv rudisheni kipindi cha ngano/hadithi zetu

    Sijui kama ni jina hilo au la,ni kile kipindi cha yule babu anasimulia hadithi na maneno mengi ya kuchekesha .
  19. Candela

    Tigo rudisheni hela yangu

    Wakuu mko vyedi najua, Baada ya vifurushi kuwa patashida, mwaka jana November nilijiunga TIgo Post paid. Nililipia mwezi wa 11 lakini mpaka leo sijaunganishwa. Wakala wao ananiambia zinashunghulikiwa kila siku. Mara aniambie nimeshaunganishwa wakati mimi sioni upande wangu. Kiukweli tigo...
  20. Risk manager

    Rudisheni tu izo tozo mlizotoa

    Najua mmeshiba na kutujazia Kodi sio kuwa ndipo mnapata uchumi mkubwa wa kulipa madeni.mmeogopa kuwabana wenye pesa Ila mnababana na wajinga wanyonge wasio na nguvu Mana hawamrishi Askari masikini mwenzake. Sasa wewe eti hakuna tozo kutoa hela chini 30k kwa atm nikitoa laki mbili...
Back
Top Bottom