Katika kanisa linaloongoza sasa hivi kwa migogoro ya wenyewe kwa wenyewe ni EAGT.
Inaonyesha kabisa hawawezi kujisimamia kutwa kusumbua Serikali na msajili.
Hilo kanisa la EAGT walitokea Kanisa la TAG .Kule TAG kuna utulivu mkubwa na hakuna migogoro
Kanisa la EAGT rudisheni makanisa yenu yote...
Hawa jamaa sijui vipi. Nimefanya transaction Jumatano iliyopita, nimemtumia mtu wa Mpesa kwa bahati mbaya miamala ikaenda mara mbili. Nimewasiliana na Airtel Money wanasema wanasema Mpesa itarudisha ndani ya masaa 48. Leo sijaona muamala wowote . Rudisheni pesa yangu tafadhali. Maisha magumu.
Kwani what happened na Dawasco?
Maji huku Mbweni JKT hamna tangu last week. Ukipiga Customer Care, hio lugha ni ishara tosha kuwa huduma mbovu. Huyu dada wa customer care kasema tu atamwita Engineer na wala hakupi ticket namba na ameshakata simu.
Wakuu wa DAWASCO hebu tupieni jicho hizo huduma...
limekuwa gumzo kwa nini mawaziri na watu wanaojiweza wanapeleka watoto wao shule za kiingereza kwa gharama kuu wakati watoto wa masikini hawajaliwi katika shule za kata. sababu ni moja tuu ni kutafuta njia ya watoto wao waongee kiingereza vizuri kama ilivyokuwa enzi za darasa la nane .sasa...
TCU ni taasisi inayodhibiti ubora wa elimu ya juu. Inakagua, inashauri, inaruhusu Na kusimamisha au kufuta vyuo visivyokidhi vigezo vya ubora. Hivyo, vyuo vyote ambavyo vinatoa mafunzo vimefikia vigezo (minimum) vya ubora wa kumudu kutoa mafuzo yaliyokusudiwa. Ingawa ni kweli vyuo vinatofautiana...
Rudisheni Token ama fedha za watu mlizokata wakati mna tatizo la mfumo wa LUKU, ni muda sasa hela hamrudishi Token hamtoi, hamuoni kama huu ni wizi kama wizi mwingine?
Kwenye mitandao ya simu mtu akipata shida ya miamala ndani ya saa 24 hela zake zinarudi nyinyi mna tatizo gani , watu walinunua...
Miaka ya nyuma kidogo TANESCO walikuwa wana charge Tsh. 7,000/= kwa mwezi kama Service Charge kwa wateja wake. Lakini ilikuja kufutwa kwakuwa ilionekana ni mzigo kwa watumiaji wa umeme hasa wale wa Tariff 1 na Tariff 0 kwakuwa ndio wateja zaidi ya 90% ya wateja wote wa TANESCO. Hii nikiri kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.