rombo

Eva Elin Rombo, née Karlsson (born 29 January 1976), is a Swedish operatic soprano. In November 2013 she was named Hovsångerska.

View More On Wikipedia.org
  1. Lady Whistledown

    Rombo: Ashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa Kushirikiana na Mpenzi wake Kumuua Mama yake

    Wapenzi wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro kwa tuhuma za kumuua bibi kizee wa miaka 100 kwa kumpiga na kitu kizito kichwani wakati wakigombea ardhi. Bibi huyo, Felister Silayo, mkazi wa Kijiji cha Kirongo juu, Kata ya Kirongo Samanga, Wilaya ya Rombo alifikwa na umauti...
  2. Lady Whistledown

    Dkt. Mpango azindua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Rombo

    Alisema miaka ya nyuma baadhi ya maeneo nchini yalikuwa na 'mchwa' katika miradi ya umma, lakini serikali imejizatiti kudhibiti matukio hayo. Dk. Mpango alisema hayo jana wakati akiweka jiwe la msingi la Hospitali ya Wilaya ya Rombo na kuagiza ianze kazi Oktoba mosi, mwaka huu. "Ninaamini dawa...
  3. Idugunde

    Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Tanzania wilaya ya Rombo auawa kikatili

    Inasikitisha sana mauaji kama haya kufanyika kwa mwalimu anayefundisha taifa la kesho. --- Picha: Mwalimu Turo Hiza enzi za uhai wake Mwenyekiti wa Chama cha Walimu (CWT) Wilaya ya Rombo na Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Boma iliyopo Tarafa ya Mkuu Wilayani humo, Turo Hiza amekutwa ameuawa...
  4. Lady Whistledown

    Mexico yatajwa nchi hatari zaidi kwa waandishi wa habari 2022

    Shirika la kutetea haki za wanahabari, Reporters without borders limesema Mexico imekuwa nchi hatari zaidi kwa wanahabari wa nje ya maeneo ya vita kwa mwaka 2022 - Luis Enrique Ramirez Ramos amekuwa mwandishi wa habari wa tisa kuuawa nchini Mexico mwaka 2022 katika mwaka ambao umeonekana kuwa...
  5. Lady Whistledown

    Rombo: Kuyumba kiuchumi na kushindwa kulea familia vyasababisha Wanaume kupigwa na Wake zao

    Kuyumba kiuchumi na kushindwa kuwajibika katika malezi ya familia kwa baadhi ya wanaume, kumetajwa kuwa moja ya sababu za kunyanyaswa na kufanyiwa vitendo vya kikatili na wake zao. Hayo yalibainishwa jana na ofisa Mtendaji wa Kata ya Kingachi, Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, Issa Maringo...
  6. figganigga

    Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

    NUKUU ZA ASKOFU MWINGIRA: 1. "Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali." 2. "Mali zangu zenye thamani ya 10 bilioni yakiwemo Matrekta yaliteketezwa Shambani kwangu." 3. "Dereva wangu alihusishwa katika mauaji na nilipogundua nilimnyang'anya simu." 4. "Dada aliyetoa taarifa za...
  7. Analogia Malenga

    Rombo: Amuua mkewe na kisha kujinyonga

    Mwenyekiti wa kitongoji cha Urua chini, kijiji cha Mfuruashe wilayani Rombo, Agustine Moshi(35) amemuua mkewe, Anastasia Agustine (31) kwa kumkata kata na kitu chenye ncha kali na kisha mwenyewe kujiua kwa kujinyonga kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Mwenyekiti huyo ambaye pia ni...
  8. P

    Je, moto wa ajabu ardhini rombo ni dalili za kulipuka volcano iliyolala ya mlima Kilimanjaro?

    Kwa wakaazi wa Wilaya ya Rombo na maeneo mengine yote kuuzunguka mlima Kilimanjaro chochote kinachotokea kuhusiana na Mlima huu ni lazima kiwaguse moja kwa moja kutokana na maisha yao kutegemea miteremko yake kwa maelefu ya miaka iliyopita. Ingawa uwezekano wa Volcano ya mlima huu kulipuka...
  9. Kibosho1

    Hii hapa Tafsiri ya "Manka" kichagga na tabia zao

    Leo tujionee hili jina maarufu sana kwa watoto wa kike wa kichaga. Manka ni jina la asili la kichaga analomiliki mtoto wa pili wa kike kuzaliwa. Hata kama hatolitumia lakini huwa linajulikana tu baada ya kuzaliwa wa pili kwa watoto wa kike. Jina Manka uchagani(kote kwanzia Rombo hadi...
  10. mshale21

    Rombo, Kilimanjaro: Watoto wawili wa familia moja wafariki katika ajali ya moto

    Rombo. Watoto wawili wa familia moja wakazi wa Tarakea wilayani Rombo wamefariki baada ya nyumba yao waliyokuwa wakiishi kuungua kwa moto. Akitoa taarifa hiyo leo Ijumaa Agosti 20, 2021 Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Hamis Maiga amesema, tukio hilo limetokea jana usiku uliosababishwa na mshumaa...
  11. Nuraty J

    Anayedaiwa kumuua mkewe kwa kunyimwa unyumba, akamatwa

    WEDNESDAY AUGUST 18 2021 Moshi. Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Kennedy Malekea (21), mkazi wa kijiji cha Msinga wilayani Rombo kwatuhuma za kumuua mkewe Fausta Silayo (22) kwa kumchoma visu vya tumboni na mgongoni kwa madai ya kunyimwa unyumba. Marehemu Fausta alikuwa na...
  12. Shujaa Mwendazake

    Adaiwa kuua mke baada ya kunyimwa unyumba

    Fausta Silayo (22), Mkazi wa Kijiji cha Samanga wilayani Rombo ameuawa kwa kuchomwa kisu na mume wake kwa madai ya kumnyima unyumba. Mwanamke huyo ambaye bado alikuwa uzazi wa mwezi mmoja alichomwa kisu Julai 23 na kupelekea kifo chake Julai 24 wakati alipokuwa amewahishwa Hospitali ya Huruma...
  13. Suley2019

    Rombo: Aweso amsimamsha kazi meneja RUWASA

    Waziri wa Maji nchini Tanzania, Jumaa Aweso amemsimamisha kazi Meneja wa Wakala wa Usambazaji wa Maji vijijini (Ruwasa), Mhandisi Nevard Kihaka kwa kumdanganya na kumpa taarifa za uongo juu ya upatikanaji wa maji katika vizimba 14 Kati ya 16 jambo ambalo sio kweli. Aweso amemsimamisha kazi jana...
  14. mcTobby

    Kwanini watu wanaiponda sana wilaya ya Rombo kwa ulevi lakini bado kuna maendeleo?

    Unajua Hii wilaya kwanza kijiografia ipo mwinuko kati ya mita 1300 hadi 2200. Kuna hali nzuri sana ya hewa hilo halina ubishi. Watu wanaposikia hii wilaya kitu cha kwanza wanajua watu wa huko ni walevi choka mbaya kiasi kwamba hakuna maendeleo yeyote. Ila laiti wangejua Hii wilaya kila mtumishi...
Back
Top Bottom