Wizara ya Habari, Utamaduni, sanaa na Michezo, haijui ROMA alipo

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,491
54,884
Taarifa ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhusu tukio la kukamatwa kwa ROMA Mkatoliki na watu wasiojulikana.

Imesema imewasiliana na vyombo vya Usalama, na hakuna chombo Kikichomshikilia Msanii Roma.

Wizara ya Habari yawaomba wananchi kushirikiana na Polisi kwa kutoa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwa Roma Mkatoliki na wenzake.
IMG_20170407_185302.jpg
 
Sijui pia waliwasiliana na vyombo vyote vya usalama kujua kama kimojawapo ndicho kilichofanya collabo na Bashite kuvamia Mawingu FM?

Bashite kaulizwa? Maana ana "jeshi" yule. Kuwa mwenyekiti wa kamati nyeti sio mchezo.
 
Taarifa ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhusu tukio la kukamatwa kwa ROMA Mkatoliki na watu wasiojulikana.

Imesema imewasiliana na vyombo vya Usalama, na hakuna chombo Kikichomshikilia Msanii Roma.

Wizara imewaomba watu kutoa taarifa itakayowezesha kupatikana kwake.
Wazara ndio nini?
Utamadunj??
 
Ni jambazi gani au ni mshindani gani ambaye ana maslahi ya kumteka Roma,pamoja na vitu vyenye kumbukumbu kama CPU na TV? Mimi ni wa mwisho kuamini kuwa serikali ipo seriazi kwenye jambo hili achilia tu nia ya dhati!! ##AkinaRoma wako wapi?
Sarakasi za mwachie Ney na wimbo wake usifungiwe, mara karibu magogoni zilikuwa na maana sana kwa Waliohusika na utekaji.
 
Kakobe kweli ni Mtumishi wa MUNGU aliye hai.
Aliyaona siku nyingi matakataka ya blaza Bashite na akasema kabisa aache kuzuga ameokoka
 
Sijui pia waliwasiliana na vyombo vyote vya usalama kujua kama kimojawapo ndicho kilichofanya collabo na Bashite kuvamia Mawingu FM?

Bashite kaulizwa? Maana ana "jeshi" yule. Kuwa mwenyekiti wa kamati nyeti sio mchezo.
Kama mojawapo ya "majeshi" hayo hawajamalizana na Roma hawawezi kukiri kumshikilia
 
Hivi msanii tu ana impact gani kwenye serikali? Mbona Kala J na Roma waliimba sana enzi za JK lakini hakukuwa na Shida?
Looo twafaaaaaa!!!
 
Taarifa ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhusu tukio la kukamatwa kwa ROMA Mkatoliki na watu wasiojulikana.

Imesema imewasiliana na vyombo vya Usalama, na hakuna chombo Kikichomshikilia Msanii Roma.

Wizara ya Habari yawaomba wananchi kushirikiana na Polisi kwa kutoa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwa Roma Mkatoliki na wenzake.
View attachment 492509
Kama wizara imehakikishiwa na vyombo vya dola kuwa hawajui mateka walipo, inawataka wananchi washirikiane na polisi kwa misingi gani?????!!!!

Serikali iache kuwakejeli wananchi wake.. INAJUA VIZURI SANA KILICHOWATOKEA ROMA NA WENZIE....

Tukiangalia mfano wa familia, Serikali ni baba... Sasa baba hajui kama watoto wake wapo ktk hatari na afanye nini.... Kweli inaingia akilini hii????!!!!!

Mwakyembe na wenzio timizeni WAJIBU WENU, hao wasanii wapatikane tena wakiwa HAI..

VINGINEVYO tutaamini kuwa mmeamua kukosha viganja vya mikono yenu kwa DAMU ya Watanzania wenzenu badala ya MAJI.
 
Taarifa ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhusu tukio la kukamatwa kwa ROMA Mkatoliki na watu wasiojulikana.

Imesema imewasiliana na vyombo vya Usalama, na hakuna chombo Kikichomshikilia Msanii Roma.

Wizara ya Habari yawaomba wananchi kushirikiana na Polisi kwa kutoa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwa Roma Mkatoliki na wenzake.
View attachment 492509
Naomba mungu anijalie angalau nusu ya huruma uliyonayo! ningekuwa mimi NINGEWAPOTEZA!
 
Kuhusu huku kutafuta kiki kwa kujipoteza/kujiteka kwa huyu anayejiita Roma Mkatoliki, Serikali isijihusishe wala isihangaike na hawa takataka, mkianza (Serikali) kucheza ngoma zao, swali la kujiuliza ni kipi kinafwatia?
Hivyo wapotezeeni hawa watu wa chadema wameshashindwa kila mahali, Uchaguzi wameshindwa, Bungeni hawana lao kwa maana wako 30 tu, na Uchaguzi mdogo wa Serikali za Mitaa wamekataliwa na Watanzania hata huko kwao Moshi Wachaga wamewakataa pia, wamepata Kata moja tu kati ya Kata 20, ...
 
Na sisi hatutaki serikali itoe tamko tunataka Roma aachiliwe huko aliposhikiliwa.
 
Ni jambazi gani au ni mshindani gani ambaye ana maslahi ya kumteka Roma,pamoja na vitu vyenye kumbukumbu kama CPU na TV? Mimi ni wa mwisho kuamini kuwa serikali ipo seriazi kwenye jambo hili achilia tu nia ya dhati!! ##AkinaRoma wako wapi?
tunakoelekea si kuzuri..keep it in mind
 
Back
Top Bottom