Hivi kwanini watu walionyimwa mwili uwa wana roho mbaya sana?

Granted Faith

Member
Jul 4, 2021
57
292
Watu walionyimwa mwili uwa wana roho mbaya sana Wabinafsi mnoo kupita maelezo kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya isee watu walionyimwa mwili ni watu tofauti sana wana roho za ajabu sana yani sio Wivu, Chuki, Roho Mbaya, Wabinafsi, Wambea na wachonganishi
 
Tabia ya Mtu haina uhusiano na umbo lake hata kidogo, Watu ni wazuri ukiwatazama, Lakini waliyoyabeba katika nafsi zao wanayajua wao wenyewe na aliyewaumba, pamoja na hayo hakuna na hakuna aliye mkamilifu kwenye uso wa ardhi.Ukiwa na huruma usifikiri watu wengine watakuonea huruma HAPANA.
 
Watu walionyimwa mwili uwa wana roho mbaya sana Wabinafsi mnoo kupita maelezo kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya isee watu walionyimwa mwili ni watu tofauti sana wana roho za ajabu sana yani sio Wivu, Chuki, Roho Mbaya, Wabinafsi, Wambea na wachonganishi
Shakespear kwenye Mchezo wa Julius Ceasar aliandika hivi.

Let me have men about me that are fat,
Sleek-headed men and such as sleep a-nights.
Yond Cassius has a lean and hungry look,
He thinks too much; such men are dangerous.
 
Watu walionyimwa mwili uwa wana roho mbaya sana Wabinafsi mnoo kupita maelezo kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya isee watu walionyimwa mwili ni watu tofauti sana wana roho za ajabu sana yani sio Wivu, Chuki, Roho Mbaya, Wabinafsi, Wambea na wachonganishi
Kuna mfumo ambao ndiyo kanuni kwamba kila kiumbe hanyimwi vyote.

Hapo wewe umesema walionyimwa mwili,
Je walionyimwa mwili wakapewa ama wakajaaliwa nini tuanzie hapo kwanza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna uhusiano wowote Kati ya kukosa mwili na roho mbaya...mtu anaweza kuwa mwembamba mwezi huu baada ya miezi miwili akanenepa...na baade akakonda na kuwa mwembamba tena. Sasa hapo utasemaje!
Anamaanisha wafupi
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom