riwaya

  1. RIwaya: Elise Wangu Kutoka Belgium

    Mwandishi: Murrah. Inapopatikana: Kahawa Time application ya simulizi inapatikana playstore kwa watumiaji wa android na app store kwa watumiaji wote wa (Iphone) Hii Hadithi imekamilika tayari katika application ya kahawa time.. kwa wale wanaopenda simulizi moto moto hii na nyingine zaidi kama...
  2. R

    Riwaya ya viboko wa Medellin na Pablo Escobar

    Miaka ya 1980, Pablo Escobar, bepari mzito aliyefanya biashara ya madawa ya kulevya na mpenda anasa kutoka Medellín, Colombia akiamini mambo ya kawaida hayamtoshi, akaamua kunogesha makazi yake binafsi. Bustani ya kijani na bwawa la kuogelea? Mbwa wakali? Twiga? Hayo yalikuwa ya matajiri wa...
  3. JENEZA LA TAIFA : Riwaya bora ya Kiswahili

    Wakuu nimeonelea kushare nanyi riwaya hii Bora kutoka kwa mwandishi mahiri wa maabdishi bunifu aitwaye Maundu Mwingizi. Mwandishi wa riwaya hii anaisimulia kupitia ukurasa wake wa Facebook uitwao #Maundu Mwingizi. JENEZA LA TAIFA: [Riwaya iliyoshinda Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya...
  4. Riwaya: MATEKA

    Baada ya kuona kuwa nyumbani kunanichosha jioni ile, nikaamua niende katika baa iliyokuwa mtaa wa nne kutoka katika nyumba niliyokuwa naishi. Pindi nilipowasili katika lango kuu la baa nililakiwa na sauti ya muziki wa ngwasuma ya Kikongo iliyokuwa ikirindima kutoka katika jukebox. Nilisimama...
  5. Riwaya: NAFSI YA MFU Mtunzi: Kindo Emmanuel

    ILIKUWA ni asubuhi chungu kuliko zote nilizopata kuamka. Nilitetemeka na mwili wote ulifukuta kwa maumivu yasiyomithilika, jasho halikuwa mbali namni. Nilihisi utumbo ukijinyongorota ndani kwa njaa niliyohisi na kila nilichojaribu kula nilitapipika mpaka nyongo. Nilihisi huenda nilikumbwa na...
  6. Riwaya: Nichague kipi kati ya ubunge na ukuu wa mkoa au wilaya?

    (Bright and Genius Land Chronicles) Utangulizi wa Riwaya Karibu Bright and Genius Land nchi ya matumaini na changamoto, ambako kila kijana ana ndoto ya kuwa kiongozi, na jamii inaamini viongozi ndiyo funguo za maendeleo. Katika ardhi hii, vyeo vya Ubunge na Ukuu wa Mkoa/Wilaya vina mvuto na...
  7. Karibuni Wapenzi Wa Riwaya Za wakongwe kama Hussein Tuwa, Shaaban Robert, Shafi Adam Shafi, Ben R.Mtobwa, Alfu lela ulela, Mashimo ya mfalme suleiman

    Riwaya ni hazina. Chagua kitabu, njoo whatsapp ulipie. 0713 039 875
  8. Riwaya: mafuta ya masaji (Action na Mapenzi)

    𝐌𝐭𝐮𝐧𝐳𝐢: Saul David Bril 0756862047 __________________ Sehemu ya kwanza... UTANGULIZI Sikujua kama mwanzo wa mapenzi ni mwisho wa amani yangu. Kila kitu kilibadilika siku ambayo nilimwona kwa mara ya kwanza mwanamke fulani wa hadhi ya juu. Alikuwa akibadilisha mavazi ndani ya gari bila kujua...
  9. Ninaomba kupata nakala ya riwaya ya Matthew Mulumbi sehemu ya 2 ya mwandishi Patrick C.K

    Habari za Jioni wapendwa. Ninaomba nakala Ya kitabu cha MATTHEW MULUMBI Part 2 YA mwandishi Patrick C.K. Nimetafuta kila kona sijapata hivyo basi aliyebahatika kuwa nacho anisaidie na mimi hapa Natanguliza shukrani zangu za dhati 🙏
  10. Riwaya na mashairi

    “A poem cannot stop a bullet. A novel can't defuse a bomb. But we are not helpless. We can sing the truth and name the liars.” ~Salman Rushdie. Huyu mdau amenisurika kuuliwa na utawala wa ayatollah wa Iran miaka ile ya 80 baada ya kuandika riwaya inayoukashifu uislamu inayoitwa SATANIC VERSE.
  11. SIMULIZI: KANGA SEASON 01

    HADITHI FUPI - S01E01 "KANGA" - [Rudisha Kwa Mhusika] Mtunzi. Xavery Luoga (Mkandarasi) Na. +255672493994 ___________________ Atuganile Chamse, mrembo aliyeshindana na mumewe kwa muda mrefu, muda huu alikua anamalizia kupanga vitu vyake kwaajili ya kumkimbia huyo mumewe. Safari yake ya siri...
  12. Riwaya: Shamba la hela

    SHAMBA LA HELA Imetungwa na Godlove Kabati. WhatsApp 0763204351. SEHEMU YA KWANZA; FEROOUZ HAIR CUTS Bukoba, Kagera Jumamosi, saa kumi jioni. KITENDO cha kukatika kwa umeme kiliuzika uchangamfu na kufufua hali ya kupooza kwenye genge la mtaa huu. Hii sio hali ya kawaida kabisa, Yaani...
  13. S

    Riwaya:: The revenge of Derrick (s 01)

    SIMULIZI:THE REVENGE OF DERICK MTUNZI:WIZZY JOOH FACEBOOK:STORY ZA JAY SEHEMU YA PILI(2) ILIPOISHIA Mpambano ukaanza huku Derrick akionyesha uwezo mkubwa sana wa kupambana japokuwa Inspector mbogo alijitahidi kumdhibiti Derrick Derrick lakini akajikuta akishindwa kwani Derrick alikua...
  14. S

    RIWAYA: THE REVENGE OF DERRICK (S 01)

    SIMULIZI:REVENGE OF DERRICK MTUNZI:WIZZY JOOH SEHEMU YA KWANZA(1)* "Walikuwa ni watu wema sana" "Ni kweli bamdogo lakini watu wabaya wamedhurumu nafsi za wazazi wangu na kwa ili bamdogo niahidi kuwa utawakamata hawa wauaji na utawafanya walipie kwa hili" "Nakuahidi Derrick nitawapata hawa...
  15. U

    Uzi maalumu wa riwaya zilizojipatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya tanzania na sababu za kupigwa marufuku

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu Mimi nianze na Rosa Mistika mtunzi kezirahabi marufuku kwa kukiuka maadili Jioni njema
  16. J

    Mwenye riwaya soft copy za kiswahili naomba

    Habari ndugu zangu, nilikua nahitajii mwenye RIWAYA zozote zile Za kiswahili naomba anisaidie, natanguliza shukrani 🙏
  17. Riwaya: Baamedi wa Sinza Mori

    BAAMEDI WA SINZA MORI BY SELEMANI SELE NO 1. Maisha n safari na huwez jua kesho yako mungu kaipanga kwa namna gani. Naitwa marry nimezaliwa mm na mdogo Wangu wa kiume pekee,nilipofika kidato cha tatu baba alifariki na wakati huo mdogo wangu alikuwa darasa la sita. Kiukwel maisha ya nyunban...
  18. Riwaya: SIN

    Kabla sijaanza naomba niwahakikishe kwamba hii story nimepewa ruhusa na mwandishi kupost humu. Kila siku ntakua napost na nawahakikishia story itaisha kabisa. Pia hadithi kama hizi zinapatikana katika app ya Kahawatime SIN 01 Muandishi…………………………………………….EDDAZARIA G.MSULWA(G.Authour) Age...
  19. SOFTCOPY YA RIWAYA MPYA ELFU 3 TU.

    KATIKATI nguvu ya KIAPO. Muuguzi aliyesalia nami katika chumba kile cha matibabu, haraka sana alinikimbilia na kuniita jina langu. Alitabasamu na kuniambia "karibu" binafsi nilizidisha mshangao, "Dakitari wako anakuja sasa hivi, naomba usijitikise mwili tafadhali" machozi yalianza...
  20. Riwaya; CONNECTION

    RIWAYA YA CONNECTION Mtunzi: Robert Heriel Mwaka 2024 Riwaya; CONNECTION Kazi hii itarushwa katika mitandao kwa akaunti hizi: Facebook: Robert Heriel Tz Jamii Forum: Robert Heriel Mtibeli WhatsApp +255693322300 Maandishi ya Robert Heriel Kwa Lugha ya Kiswahili. Hairuhusiwi kunakili na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…