Rest in peace (R.I.P.), a phrase from the Latin requiescat in pace (Ecclesiastical Latin: [rekwiˈeskat in ˈpatʃe]), is sometimes used in traditional Christian services and prayers, such as in the Catholic, Lutheran, Anglican, and Methodist denominations, to wish the soul of a decedent eternal rest and peace.
It became ubiquitous on headstones in the 18th century, and is widely used today when mentioning someone's death.
Mimi sina maneno mengi ya kuandika ilaa nina huzuni kubwa juu ya taarifa ya msiba juu ya mpendwa wetu Valentina 😭😭
Wengi wetu tunamjua kwa kuunganisha watu na kujenga upendo katikati ya chuki na hasira, lakini leo Mungu amempenda zaidi.
Nitatoa updates kadri nitakavyojaliwa.
Update:
Mazishi...
Billy Vigar, a former Arsenal academy player, has tragically died aged 21.
Vigar was placed into an induced coma after suffering a serious brain injury whilst playing for Chichester City last weekend.
Our thoughts are with his friends and family at this time. RIP Champ 😔
=============...
Tunashuhudia utekelezaji wa Katiba ya Taifa letu kwa 100%
Hongera sana viongozi wetu.
Mabeberu walishindwa hata ku-edit slogan yao ya kibeberu kwa kiswahili.
OCTOBER TUNATIKI ✅ ✅
Nimejikuta nalia hata hamu ya kula imekata kabisa wakuu..
Kuna uzi nimesoma umefanya kukumbuka mbali sana sana sana wakuu...
Nilimpenda sana na nikawa naishi nae licha ya kujua alikua ni positive... Ila nilisema hakuna cha kutenganisha mapenzi yetu zaidi ya kifo..
Tupo advance alianza kuumwa...
Huyu msichana umri wake ni miaka 24. Kamaliza Chuo ( Diploma) mwaka Jana Sema kwa sababu kwa aina ya diploma aliyo kuwa anachukua ( Procurement) ilikuwa ngumu kupata kazi so alikuwa nyumbani tu kwa wazazi anasaidia biashara za nyumbani.
Perhaps alikuwa anasubiri kwenda Veta.
Uhusiano wangu...
Ukiachana na msiba wa Zahara basi huu ni msiba mwingine ambao unazidi kutuumiza na kutupunguzia vipaji ndani ya Afrika.
Yolanda Nyembezi amefariki akiwa na umri mdogo kweli tena akiwa kwenye peak yake ya safari ya muziki.
Yallunder tutakukumbuka kwa sauti tamu kwenye nyimbo zako, iThuba...
RIP Professor Kiah Duggins was among those lost in the mid-air plane collision at Reagan National Airport.
Professor Duggins was set to begin a new chapter as a professor at Howard University School of Law this fall. May her memory be a blessing. Rest in power Kiah 😔
Acheni kiburi cha uzima, mwabuduni Yesu Kristo. Siku za mwisho zipo karibu. Hapa duniani tunapita. Miaka ya kuishi ya mwanadamu ni 60 hadi 80, baada ya hapo anakufa.
Baada ya kifo, ndio mwanzo wa hukumu unaanza hapo. Rest in Peace haipatikani bure; lazima mtu aingie gharama ya kuishi maisha ya...
NIKI MBISHI.
Na ukitaka ganja kali ni Sinza kwa #KAPACHINO....R.I.P RASTA
"Sshh, jiheshimu joh, weed tutachoma
Kimya kimya, we msomeshe "#Kapachino" kwenye kona
Akupe kitu cha Arusha, mi nnacho cha Dodoma
Usisahau kutoka bling tu, Hovak wamenisoma.." ngwea - kimya kimya'
Ukwaju wa kitambo
Habari ya kwanza niliyokutana nayo leo kwenye mitandao ya kijamii inahusu kifo cha mwanadada Mwimbaji Bulelwa Makutukana ( Zahara) kilicho tokea jana huko Johanesburg baada ya kuugua ini kwa muda mfupi.
Zahara amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 35.
Binafsi nitamkumbuka sana Zahara kwa...
Moja kati ya Ma-DJ ambao waliowahi kufanya vizuri katika muziki wa Bongo Flava hapa nchini akifanya kazi Clouds FM Radio, Steve Mdoe a.k.a "DJ Steve B" "DJ Skills" amefariki dunia jioni ya leo Julai 31, 2023 katika Hospitali ya Muhimbili Mloganzila alipokuwa akipatiwa matibabu.
Kwa muda mrefu...
Ilikua usiku wa tarehe 16/04/1989 ulikua pale Kicukiro safe house kama sikosei zilikuja taarifa kutokea Gisenyi safe house kua usipobadilisha circle ya watu wanaokuzunguka basi utaiingiza nchi kwenye maafa makubwa ya uhasama wa kijamii ama kikabila kuliko ilivyowahi kutokea huko nyuma..Watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.