Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 942
- 2,269
Au lazima nielnde polisi?
Umetisha mkuu.
Mbona sijawaona mkuu😀Umetisha mkuu.
Wengine hawana cha kumshauri hawajui kitu wanamuona mjinga wanatuma majibu ya kumdhihaki.
Umeniwah mkuu nilitaka nimjibu hivyo pia😂😂Mbona sijawaona mkuu😀
Mpaka nimefikiri labda kuna page zisioni kimakosa😀Umeniwah mkuu nilitaka nimjibu hivyo pia😂😂
"Stationery wanatoa huduma ya loss report huwa wanafanya elfu 5"Mbona sijawaona mkuu😀
Nimeelewa mkuu"Stationery wanatoa huduma ya loss report huwa wanafanya elfu 5"
Sioendi kuwa quote nakwepa confrontation
.....
Unanunuaje ripoti ya polisi ambayo haiko kwenye rekodi za polisi ili kuja kujilinda na jinsi ikitokea tatizo mbeleni?
Nimetafsiri hiyo ni dhihaka.
Huenda jamaa alikuwa anashauri frankly and genuinely Ila nimemuelewa vibaya...Nimeelewa mkuu