real estate

  1. Tz boy 4tino

    JamiiForums Tanzania Best cities for real estate Investment

    What is a Real Estate Investment ?, Benefits of a Real Estate Investment , Best Cities for Real Estate Investment..
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuhusu bacherol of science in real estate finance and envestment

    Mimi ni kijana niliyemaliza form 6 mwaka 2019 nakupata DIV 2 kwa combination ya EGM nilikuw naomba msaada wenu kuhus hii koz inahusian n nin,pia kweny kuajiria unaweza kupiga kampuni kama zipi pia kweny kujiajiri wew kam ww unaweza kupiga issue kam zipi.Nawasilisha hoja kwenu wadau n mm ndio...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Real estate business Tanzania inaelekea kufa kabisa, kwa sasa inapumulia mashine

    Biashara ya kujenga na kupangisha Tanzania inaelekea kufa kabisa. Sasa hivi hii biashara inapumulia mashine ICU. Kwa wakazi wa Dar es Salaam mtakuwa mashahidi, malls nyingi na majengo mengi ni matupu miaka sasa, Mkuki house sasa inaanza kujaa panya, Quality Centre and Plaza mnajua...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Real estate broker

    Biashara ya kupanga nyumba na kupangisha nyumba imeendelea kuwa na changamoto kadri siku zinavyoenda. Nyakisasa Empire Ltd imejaribu kuja na mbinu ambayo itapunguza kero kwa wapangaji na wenye Nyumba. Tunatoa form ambayo mpangaji atatujazia kuelezea mahitaji yake,pia tunaingia mikataba na wenye...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Partners sekta ya tools, real estate, ujenzi

    Habari, Kama imeandikwa. Ningetaka kuunda kama society itakayohusu sekta ya ujenzi. Kwa hiyo ninahitaji partners kwa ajili ya: - Kupandisha mtaji - Kutafuta viwanja - Kutafuta wateja - Kuajiri wafanyakazi - Kufanya taratibu zote za serikali. Kama uko serious na una interest na sekta hiyo nipe...
  6. Danfordkahwa

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye mahitaji ya nyumba za kupanga na kununua Mbezi

    Nyumba inapangishwa ina vyumba 2 ipo mbezi beach 350000. Call 0684709045 0629350247. Tunachaji view fees kwa ajili ya kuona nyumba ni shs 20000.kodi ya mwezi moja.
  7. Website design

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa ipo Makongo

    📍Eneo Lilipo: Makongo Juu - Mageuzio 📍Aina ya eneo: Eneo la makazi Kubwa lililo na mjengo wako 📍Ukubwa wa eneo: 2100 Sqm 📍Mazingira ya eneo: Eneo tulivu lenye makazi ya watu 📍Huduma za kijamii: Umeme na Maji vyote vipo 💸💸💸 BEI : Milioni 300 (Mazungumzo yapo) 💸💸💸 LIPA 50% INGINE...
  8. Aloyce Mkwizu

    JamiiForums Tanzania GUEST HOUSE INAUZWA BUGURUNI SOKONI

    Guest house inauzwa buguruni sokoni. Zipo 2, zote zinauzwa million 120. Zote zina vyumba zaidi ya 9 some self contained some not. Kwa maelezo zaidi wasiliana na simu namba, 0742930901 au 0754677838 Unaweza wasiliana na mwenye guest directly kwa simu namba 0767234545 KIGOMA GUEST HOUSE
  9. F

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo ekari 3.77 linauzwa ndani ya jiji la Dodoma, liko barabarani

    Eneo liko Msalato almaarufu kwa mwinyi (Arusha Road) kunakojengwa Dodoma International Airport. Eneo liko barabarani linapakana na hotel ya kitalii ya FANTANCY.....lina ukubwa wa ekari 3.77, Eneo limepimwa na limeingizwa kama lilivyo kwenye master plan ya jiji la Dodoma kama ilivyo onekana...
  10. DarProperty Tz

    JamiiForums Tanzania Soma Jarida la The Darproperty bure, fuata link hii http://www.darproperty.co.tz/monthlyIssue/viewLatestMagazine

    Jipatie taarifa na maarifa mbalimbali kuhusu sekta ya miliki kuu kupita jarida hili. Soma Jarida la The Darproperty bure, fuata link hii The Magazine(March 2019)
Back
Top Bottom