rea

Baron Rea, of Eskdale in the County of Cumberland, is a title in the Peerage of the United Kingdom. It was created in 1937 for the businessman and Liberal politician Sir Walter Rea, 1st Baronet, who had earlier represented Scarborough, Bradford North and Dewsbury in the House of Commons. He had already been created a Baronet, of Eskdale in the County of Cumberland, in 1935. He was succeeded by his eldest son, the second Baron. During the Second World War he served as personal staff officer to Brigadier Colin Gubbins, the Head of SOE, a key British intelligence and guerrilla operations agency. Lord Rea served as Leader of the Liberal Party in the House of Lords from 1955 to 1967. His daughter, the Right Hon. Ann Felicity Rea, married SOE veteran Malcolm Munthe in 1945. His nephew, the third Baron, who succeeded in 1981, was a physician. He was one of the ninety elected hereditary peers elected to remain in the House of Lords after the passing of the House of Lords Act 1999, and sat on the Labour benches. As of 2020 the titles are held by his son, the fourth Baron, who succeeded his father in that year.
Russell Rea, father of the first Baron, was also a Member of Parliament and had been admitted to the Privy Council in 1909. The sculptor Betty Rea was the wife of the Hon. James Rea, younger son of the first Baron. They were the parents of the third Baron.
The family surname and the title of the barony, Rea, is pronounced "Ree".

View More On Wikipedia.org
  1. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Musoma: REA yatoa elimu kwa wananchi kuhusu kutumia fursa ya miradi ya REA, wananchi waomba huduma hiyo ifike maeneo yote ambayo bado hajafikiwa

    Wananchi mkoani Mara wamesisitiza kuridhishwa na utekelezaji miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), inayotekelezwa nchini kwa lengo la kuwapatia umeme wa gharama nafuu. Hayo yamejiri wakati Wataalam wa REA walipofika kutoa elimu kwa wananchi kuhusu kutumia fursa ya miradi ya REA...
  2. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 REA yakamilisha miradi ya umeme vijiji 5,259

    Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (Rea), Mhandisi Hassan Said ametangaza kukamilika kwa miradi minne mikubwa ya umeme inayolenga kuleta nishati katika vijiji 5,259, ikijumuisha vijiji 4,071 na vitongoji 188, katika awamu ya tatu, mzunguko wa pili. Miradi hii ni sehemu ya juhudi za...
  3. upupu255

    JamiiForums Tanzania Wananchi Njombe waomba kasi kuongezwa katika Usambazaji wa Umeme Vijijini (REA)

    WANANCHI wa Mkoa wa Njombe ambao bado hawajafikiwa na huduma ya umeme wameiomba serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuongeza kasi ya kuwaunganishia umeme katika kaya zao ili waweze kuutumia kwa shughuli za kiuchumi na kijamii. Hayo yameelezwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: REA waendelea kusambaza mitungi za gesi ya kilo sita kwa bei ya ruzuku

    Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeingia mkataba na mtoa huduma kampuni ya Manjis Logistics Limited ambaye atahudumia wilaya zilizopo ndani ya Mkoa wa Tanga kwa kuuza kwa bei ya ruzuku mitungi ya gesi ya kilo sita pamoja na vifaa vyake katika maeneo ya vijijini na pembezoni mwa miji. Hayo...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: REA inatekeleza miradi minne ya kusambaza umeme kwa thamani ya shilingi bilioni 137.87.

    Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Wakala ya Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Advera Mwijage amesema kuwa Mkoa wa Tanga unatekeleza miradi minne ya kusambaza umeme katika vijiji, miji, vituo vya afya, pampu za maji, maeneo ya migodi pamoja na viwanda vidogo ambayo thamani yake ni shilingi bilioni 137.87...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Geita: Mkandarasi wa REA mtaa wa Nyantororo A juu (Msikitini) ameweka nguzo kwa watu waliotoa hongo na kuacha mamia

    Mkandarasi wa huduma ya umeme REA mtaa wa Nyantorotoro A Geita Msikitini kwa juu ametufanyia hujuma sana wananchi. Nguzo za mradi wa umeme zimewekwa kwa kujuana sana kinyume na ramani ya mradi ilivyokuwa kabla ya yeye hajaanza kazi Nguzo zilikuwa zinauzwa kwa watu bila kutoa hongo (rushwa)...
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Wananchi wachangishwa nguzo ‘hewa’ umeme wa REA Muleba

    Na Mwandishi Wetu WANANCHI wa Kijiji cha Bulembo, Tarafa ya Kamachumu, wilaya ya Muleba mkoani Kagera wamechangishwa fedha za nguzo ‘hewa’ katika mradi unaotekelezwa na Wakala wa umeme vijijini (REA) kijijini hapo. Mradi huo unaotekelezwa na REA kupitia kampuni ya Naproi umegubikwa na...
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inasambaza mitungi ya gesi 13,020 mkoani Shinyanga

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inasambaza mitungi ya gesi 13,020 mkoani Shinyanga. Mitungi ya gesi ya kilo 6 yenye thamani ya shilingi milioni 545.538, Itasambazwa kwa bei ruzuku ya shilingi 20,950, badala ya shilingi 41,900 Lengo ni kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania MBEYA: Je, TANESCO na REA mmeishiwa nguzo mpaka mnafunga nyaya za kusambazia umeme kama kamba za kuanikia nguo?

    Hapa ni kitongoji cha Hasengo, kijiji cha Shibolya wilaya ya Mbeya vijijini mkoani Mbeya, Ni jambo jema na tunashukuru huduma ya umeme imetufikia kupitia wakala wa kusambaza umeme vijijini REA, baada ya kutokuwepo kwa huduma hiyo muhimu tangu kupata uhuru wa nchi hii. Bila shaka usambazaji wa...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania REA Kusambaza Mitungi ya Gesi 13,020 kwa Bei ya Ruzuku Mkoani Shinyanga

    REA KUSAMBAZA MITUNGI YA GESI 13,020 KWA BEI YA RUZUKU MKOANI SHINYANGA Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unaendelea kutekeleza Mradi wa usambazaji wa mitungi ya gesi ya kilo 6 kwa bei ya ruzuku, ambapo inatarajia kugawa mitungi 13,020 katika mkoa wa Shinyanga, Mradi huo utagharimu jumla ya...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Masache Kasaka: Tunataka Tuone Mpango wa Maendeleo ya Taifa Unaboresha Maisha ya Watanzania

    MASACHE KASAKA: TUNATAKA TUONE MPANGO WA MAENDELEO YA TAIFA UNABORESHA MAISHA YA WATANZANIA "Mipango ya Serikali imekuwa ikipangwa kila mwaka, kuna ya miaka 25 na kuna ya miaka 5. Ni Mipango mizuri na utekelezaji wake tumeuona, Watanzania wote ni mashuhuda namna ambavyo miradi mingi ya...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Tsh. Bilioni 8 wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kutumika kupeleka umeme katika Visiwa 118

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza rasmi safari ya kupeleka umeme katika visiwa vyote Tanzania Bara huku ikiwahakikishia wananchi hao kuwa wote watafikiwa. Akizungumza wakati wa ziara ya Wabia wa Maendeleo walipotembelea miradi...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Kanali Patrick Sawala: Serikali imefikisha umeme katika Vijiji vyote 785 vya Mtwara

    Ni furaha na nderemo kwa wakazi wa Mkoa wa Mtwara mara baada ya Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kufanikiwa kufika umeme katika Vijiji vyote 785 katika Mkoa huo. Akizungumza wakati wa hafla ya kuwasha umeme katika Kijiji cha Makome A ambacho ndio kijiji cha mwisho kuunganishwa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Je Majaji na Mahakimu wanazingatia Hili -Mens rea

    mens rea Dictionary Definitions from Oxford Languages · Learn more noun Law the intention or knowledge of wrongdoing that constitutes part of a crime, as opposed to the action or conduct of the accused. "a mistaken belief in consent meant that the defendant lacked mens rea"
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Morogoro: RC Malima awasisitiza Wananchi kutunza miundombinu baada ya REA kuanza kusambaza umeme katika Vitongoji 166

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza kusambaza Umeme kwenye Vitongoji 166 vilivyopo Mkoa wa Morogoro baada ya kukamilisha nishati hiyo kwenye Vijiji 652 kati ya 669 sawa na Asilimia 97.5. Mradi huo wenye gharama ya shilingi bilioni 17.9 unatarajiwa kutekelezwa katika...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya Nishati ya Umeme Wilaya ya Bariadi kwenye baadhi ya Taasisi za Serikali ni mbaya

    Serikali ikiwa kwenye jitihada nzito za kuhakikisha NISHATI UMEME inapatikana vijijini kote lakini huku hali ni tofauti. Kata ya Gilya wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, taasisi za Serikali kama Shule na Zahanati hazina UMEME huu mwaka wa pili, ikiwa nguzo za UMEME zimepita kuelekea vijijini...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Judith Kapinga: Zaidi ya Tsh. Bilioni 80 zimetumika kusambaza umeme Vijijini mkoani Singida

    Naibu waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema kuwa zaidi ya shilingi bilioni 80 zimetumika kutekeleza miradi ya usambazaji umeme Vijijini Mkoani Singida na hivyo kuboresha huduma za kijamii na uchumi kwa wananchi vijijini. Kapinga amesema hayo mara baada ya kuwasha umeme katika Kijiji cha...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya umeme wa REA Kata ya Ipande, Chalinze

    Kwa heshima na tadhima naomba JF ujumbe huu uwafie wahusika. Kipindi umeme wa REA unasambazwa, mwaka 2017 aliyekuwa Waziri wa Nishati Menad Kalema alituahidi wana Ipande kwamba umeme utaenda nyumba hadi nyumba mpaka nyumba ya udongo ili mradi tu amelipia. Baada ya hapo umeme mpaka leo hii mkoa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mradi wa REA uliopo Tanga, Lushoto Bumbuli, Kata ya Funta kijiji cha Manga ni mwaka wa 3 haujakamilika

    Mradi wa REA uliopo TANGA, LUSHOTO BUMBULI, kata ya FUNTA kijiji cha MANGA. Ni mwaka wa 3 mradi haujakamilika. Tulifika mpaka TANESCO wilaya kuwaeleza hawajafanya chochote (kama pesa za mradi zimeliwa basi) kama kitongoji kimoja hakimalizi nguzo 10 mwaka wa 3 mradi haukamiliki, basi tunaiomba...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea taarifa ya Mradi wa REA awamu ya 3 na kuzungumza na wananchi wa Iramba, leo Oktoba 17, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea taarifa ya Mradi wa Umeme Vijijini REA awamu ya tatu mzunguko wa pili kuungumza na wananchi wa Wilaya ya Iramba, Eneo la Shule ya Msingi Shelui leo tarehe 17 Oktoba, 2023...
Back
Top Bottom