rayvanny

  1. Jinsi Rayvanny na Paula walivyoisimamisha nchi

    Ni post moja tu ya Rayvanny kwenye page yake ya IG ilitosha kuisimamisha nchi. Sasa mambo hadharani Rayvanny na Paula ni kama Bonnie and Clyde. Wapendanao wa kitaifa wameweka kila kitu hadharani ikiwa ni masaa machache tu yamepita tangu Paula amesaini dili NONO la kutangaza nywele.
  2. Rayvanny ana kipaji konki, hajaniangusha

    Kila siku huwa nasema Vannyboy ana kipaji konki sana kwa nyimbo za kubembeleza , na hivyo kwenye hiyo angle inabidi asimamie ukucha kweli kweli, Hana mpinzan right now, Ngoma kama KELEBE inabd awe anatupa kama bonus track ... Goma la KISS akiwa na Bahati Kenya kaua Sana , respect to director...
  3. Rayvanny amjibu Harmonize kuhusu BET

    Habari Wana Jf. Hili alilolifanya Rayvanny naona Yuko sahihi kabisa maana now days Harmonize hasikiki na ndio maana anaangaika mchana na usiku kutafuta Kiki ili aongelewe lakini wapi. Kiukweli Kama Harmonize ni mkubwa angekuwa na BET au tuzo kubwa yeyote Kama RAYVANNY CHUI. Pia lingine...
  4. Rayvanny ampost mpenzi wake Paula wa Kajala wakila bata

    Wakati sintofahamu ya uanafunzi wa mtoto mzur Paula bado ikiwa imepamba Moto , nyota wa Bongo Fleva anayeikamatilia YouTube. Kwa sasa Rayvanny mnyakyusa kupitia ukurasa wake wa Instagram amempost mpenzi wake huyo wakila bata maeneo ya watu wazito ....
  5. Paula wa Kajala athibitisha yupo kwenye penzi zito na Rayvanny mtu mbaya

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram mtoto mzuri , mwenye umbo matata na mwenye asili ya kimamtoni Paula wa Kajala amethibitisha kuwa sasa yupo kwenye penzi zito na nyota wa bongo fleva ambaye pia ni mmiliki wa label ya Next level music anayetamba na kibao chake cha KELEBE alicho mshirikisha...
  6. Licha ya ukimya wake kwa mda mrefu, Rayvanny azidi kumburuza Harmonize

    Katika Hali isiyotarajiwa na wengi, C.E.O wa Next Level Music Rayvanny aka vannyboy mtu mbaya amezid kumvuruta mmiliki wa label ya Konde gang Harmonize Mzee wa picha za utupu Rekodi mbali mbali zinaonyesha jinsi Rayvanny anavyomburuza konde boy kuanzia kwenye mziki mpak kumiliki watoto wa zuri...
  7. M

    Bifu lililokuwa la Rayvanny na Harmonize, limemshusha Rayvanny zaidi, nadhani

    Kwa upande wangu naona hili bifu limemuathiri zaidi Rayvanny, nimegundua baada ya kwenda you tube na kuangalia video ya keleb ya Rayvanny, nimesoma comments nikafamu Kuna watu wanetoa negative comments wengi Sana Hali hii haikuwa hapo mwanzoni. Kwani Rayvanny alikuwa na neutral fan base hata...
  8. Rayvanny azidi kuthibitisha yeye ni mkali wa namba

    Msanii wa mioyo ya watu wakuitwa Rayvanny au watanzania wanamuita Chui, amezidi kuthibitisha yeye ni mkali wa namba East Africa. Ni msanii mwenye maneno machache sana ila ana numbers kubwa sana za mauzo kwenye platform mbalimbali za mauzo. Wimbo wake na Gims umefikisha streams 1 million...
  9. Paula wa Kajala apost picha Snapchat akiwa amemkumbatia Rayvanny Mtu mbaya

    Huku penzi lao likiwa limeghubikwa na mikiki mikiki ya hapa na pale hata hivyo mwanadada huyo aisyeishiwa na vimbwanga ameonyesha kuwa yupo pamoja na Rayvann Kwa shida na Raha ..... Kupitia mtandao wa Snapchat Paula alipost picha akiwa ameibusu nguo inayodaiwa ni ya Rayvann na kuandika...
  10. Fahima wa Rayvanny ateswa na wivu wa mapenzi

    Fahima anateswa na wivu wa mapenzi baada ya Rayvanny kuweka kambi kwa mtoto Paula. Anamuita Paula anaejiona amepata 😂😂😂 Nakushauri move on Fey hakunaga laana ya Ex...Hicho anachofanya Ray ndio uanaume sisi wanaume hata uwe mzuri vipi ukikosa heshima na unyenyekevu tunakuacha tunatafuta mali...
  11. Harmonize ni mbumbumbu wa sheria, mchanga wa mahusiano na mshamba bado wa umaarufu

    Kitu kimoja kuhusu pesa nyingi: Hufunua undani wa mtu katika uhalisia wake....!!! Hata wewe ukizipata leo tutakujua tuu.. Waswahel wanasema pata pesa tujue tabia yako.... Shule ni muhimu sana sana kile kitendo cha kukaa darasani miaka kibao hutufunza mengi hata tusipofaulu mitihani..japo baadhi...
  12. Dar: Rayvanny afikishwa Kituo cha Polisi

    Rayvanny ameitwa Kituo Kikuu cha Polisi (Central Police) akishtakiwa na Harmonize kuwa amemdhalilisha mitandaoni. Nitawapa updates soon Rayvanny na baba Levo wakitoka kituo cha polisi cha central kufuatia kushitakiwa na Harmonize.
  13. U

    Why Rayvanny anajisifu kuuza sana online wakati mapato hayo mengi yanaenda kwa Platnumz?

    Nimesikia haya Mambo kuwa Rayvanny anaongoza mauzo katika digital platform, ni kweli lakini mi sioni kama ni hoja. Sawa anauza sana hata Zuchu anauza sana lakini kuna hasara yake kwa upande mmoja au mwingine, asilimia kubwa ya mauzo ya Rayvanny na Zuchu yanakwenda kwa Diamond , so hata kama...
  14. Rayvanny afunguka kuhusu Harmonize, Paula, lebo ya NextLevel na mengine kuhusu muziki wake

    Akiwa katika live interview na radio namba moja kwa sasa WASAFI FM, Ray amefunguka yafuatayo " Wakati ananikandamiza (Hamonaizi) na kuchochea kwa kusema nimekosea sikuwa najua Chuki yake inatoka wapi . Lakini imekuja kunishangaza sana kuja kuona kumbe yeye ndio anafanya mabaya zaidi ya aliyokua...
  15. Twende mbele turudi nyuma Dis-track ya Baba levo (Harmo mavi) ni fire

    Jana na juzi na hata sasa , mji umezima ghafla, Rekodi inaonesha vifurushi vya internet vimenunuliwa Kwa wingi Sana siku ya juzi na hasa Jana Vijana wawili wa Diamond Platnumz wameusimamisha mji, huku Baba Yao akiwa sehemu flani ametulia akiongeza Popcorn 😂 Bifu hili la Harmonize na Rayvanny...
  16. A

    Si Harmonize wala Rayvanny anayewatetea hawa Wanawake bali kila mmoja anatoa uchafu kwake na kuwapakaza hawa wanawake walivyo zero nao wanacheka tu

    Hivi hawa dada zetu wana matatizo gani mbona vitu vidogo kuelewa wao huwa vinawapa tabu sana Hawajui kuwa Harmonize na Rayvanny wemewageuza uwanja wa kiki na kila mmoja anacheza kwa staili yake. Leo mama mtu hana hata habari kuwa anavyomlea mwanae ni kama anamuandaa Wema Sepetu wa baadae na...
  17. Rayvanny amuwakia vibaya Harmonize kwa kumtumia picha za utupu Paula

    Vita Kali Kati ya nyota wa Mziki wa bongo fleva na mmiliki wa label ya Konde Gang Harmonize na Mkali wa bongo fleva na mmiliki wa label ya Next level music Rayvanny au Vannboy mtu mbaya mtu mbadi imechukua Sura mpya. Kupitia ukurasa wake wa Instagram , Vannboy amemuwakia vibaya Harmonize Kwa...
  18. Penzi la Rayvanny na Paula laanza upya

    Baada ya yule kauzibe kupigwa kibuti cha nguvu na Kajala. Penzi limerudi upya na sasa limekolea nazi. ---
  19. Rayvanny alitumia chance aliyoipata WCB

    Kiukweli msanii rayvanny mziki wake au kile anacho kiimba kimechokwa kwakweli yaani staili niile ile habadiliki anaimba utoporo tu Fatilia nyimbo yake korona,kifo, nyimbo zake zinachosha kusikilizwa kwa kweli
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…