Rayvanny azidi kuthibitisha yeye ni mkali wa namba

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,522
7,368
Msanii wa mioyo ya watu wakuitwa Rayvanny au watanzania wanamuita Chui, amezidi kuthibitisha yeye ni mkali wa namba East Africa.

Ni msanii mwenye maneno machache sana ila ana numbers kubwa sana za mauzo kwenye platform mbalimbali za mauzo.

Wimbo wake na Gims umefikisha streams 1 million kwenye spotify.

Album ya Sound from Africa imefikisha streams 8 millions uko mjini Boomplay.

Tuliwaambia hapa wale mashabiki kaukau hii album ya Ray ni international iiish, ngoma zenu mlioenda shule na visoda shingoni zipo chache sana au hakuna kabisa ni album ya kupiga pesa hamkuelewa sasa namba zinazungumza.

Rayvanny anatutoa kimasomaso international.

Screenshot_20210429-115922_Instagram.jpg
 
oya oya patitude yenyewe ina viewers milioni 6 na chenji na haina hata wiki mbili, huyo reivani ndio milioni nane toka Februari🤣🐒
 
Uwezo wa rayvan ni mkubwa mara kumi kwa hamonaiz.
Kumbuka hii hesabu 🤣🤸
Harmonizer = Reivani + Mbosso + Lavalava + Zuchu + Kwini dalin + wengineo

Ali "King" Kiba = Harmonizer + Dimondi + Nandi + Marioo + wasanii wengine wowote wa bongo unao wakubali
 
Yawe Yawe

Oya party today i want to show you my attitude

Mtazd kutusema kumbe ndo mnatupatia a huge chance to the worldwide

#KONDEGANG
 
Msanii wa mioyo ya watu wakuitwa Rayvanny au watanzania wanamuita Chui, amezidi kuthibitisha yeye ni mkali wa namba East Africa.

Ni msanii mwenye maneno machache sana ila ana numbers kubwa sana za mauzo kwenye platform mbalimbali za mauzo.

Wimbo wake na Gims umefikisha streams 1 million kwenye spotify.

Album ya Sound from Africa imefikisha streams 8 millions uko mjini Boomplay.

Tuliwaambia hapa wale mashabiki kaukau hii album ya Ray ni international iiish, ngoma zenu mlioenda shule na visoda shingoni zipo chache sana au hakuna kabisa ni album ya kupiga pesa hamkuelewa sasa namba zinazungumza.

Rayvanny anatutoa kimasomaso international.

View attachment 1767766
Hongera, nilishangaa kusikia davido album yake kwenye hizi platform zite ina stream zaidi ya milioni 400 spotify tu in streams milioni 105.
Jana nikaona Drake spotify tu mwaka jana katengeneza bils tzs 45.
Sisi bado tunapambana ki East Africa nadhan. Sijajua Barnaboy
 
Kumbuka hii hesabu
Harmonizer = Reivani + Mbosso + Lavalava + Zuchu + Kwini dalin + wengineo

Ali "King" Kiba = Harmonizer + Dimondi + Nandi + Marioo + wasanii wengine wowote wa bongo unao wakubali
Umejua kunifurahisha mno.
 
Back
Top Bottom