Rayvanny wa I Love You sio yule wa Kwetu na Natafuta Kiki.
Mbosso wa Ate sio yule wa Hodari na Maajabu.
Lavalava wa Tekenya sio yule tulomzoea wa mapini makali kama Bora Tuachane na Niuwe.
Hivi nyie vijana wa WCB ndio mmeamua kuprove kwamba Harmonize alikuwa mkali namba 2 kama sio namba 1...
Wimbo maalumu kwa wapendanao. Mtag yoyote umpendae hapa. Wa kwangu nita mtag mwishoni kabisa mwa comments zote
I Love You – Rayvanny Lyrics, Letra:
Ilikuwa safari ndefu yenye mateso
Machozi mizigo vikwazo
Ila yote umenitua
Naomba penzi letu lisife kesho
Ukanipa pressure mawazo
Chonde mama...
Wasanii kutoka Tanzania washinda tuzo ya east entertainment awards USA ambapo hizo tuzo zilifanyika USA.Msanii wa kimataifa kutoka Tanzania diamond platnumz alishinda katika kipengele Cha best collaboration ft (baila),rayvanny na nandy wameshinda kwenye kipengele Cha best male/female east and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.