Asilimia 99 ya wanaomshambulia Paula wamejaa unafiki, chuki na wivu

happyxxx

Senior Member
Nov 14, 2020
170
1,000
Watanzania adui yetu mkubwa kwa sasa ameongezeka.

Wakati wa Nyerere ilikuwa umaskini, magonjwa na ujinga.

Kwa sasa adui yetu mkubwa ni

1. Wivu
2. Chuki
3. Unafki

Ukikaa chini ukatafakari kinachowafanya watu wapige kelele za Paula na maisha yake ni hao maadui wapya watatu.

Maana hakuna kipya cha ajabu anachokifanya Paula mpaka mapovu yawatoke namna hii. Watu ni wanafki, wanamuonea wivu Paula na Ray imesababisha wakajaa chuki.

IMG_20210721_092440.jpg

picha ya ambayo Paula alitupia kwenye ukurasa wake wa instgram
 
Qwy

JF-Expert Member
Nov 23, 2018
4,516
2,000
Haters wanawajenga na kuwakuza celebrities kuliko hata real fans, Shigongo aliiandama sana couple ya Sadala na Sepenga lakini unknowingly ndiyo alikuwa akiwajenga.

Hata hawa madogo(this new couple) haters ndiyo watawafanya wawe maarufu sana, haters are fans in disguise kwani ndiyo hufuatilia zaidi, hupoteza muda zaidi na ndiyo huongoza kuwaandika every now and then.

Yaani watashambuliwa na kusemwa sana lakini hiyo ndiyo itawapaisha, just wait and see.
 
herman joshua

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
1,807

Ila Rayvany tayari ni mkubwa haya yanayoendelea hayamuongezei lolote kwa sasa tofauti na ilivyokuwa kwa Diamond na Sepenga labda inaweza kuwa na impact kwa Paula lakini si kwa Reyvany

All in all paula amefika umri sahihi wa kuliwa tena wengi tunaomsema paula ndo tunaongoza tuvitolea mate vitoto hata vya miaka 16 so kwa paula keshakuwa, achen vany boy ajilie vitam kutoka kwa kyla Jenna wa Tz๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ’‹
 
Qwy

JF-Expert Member
Nov 23, 2018
4,516
2,000
Ila Rayvany tayari ni mkubwa haya yanayoendelea hayamuongezei lolote kwa sasa tofauti na ilivyokuwa kwa Diamond na Sepenga labda inaweza kuwa na impact kwa Paula lakini si kwa Reyvany
All in all paula amefika umri sahihi wa kuliwa tena wengi tunaomsema paula ndo tunaongoza tuvitolea mate vitoto hata vya miaka 16 so kwa paula keshakuwa, achen vany boy ajilie vitam kutoka kwa kyla Jenna wa Tz
Hakuna artist ambaye utasema alipofikia hahitaji kukua, iwe Rayvanny au hata Diamond au artist yoyote yule around the globe kama social media, blogs au publications zozote zikiwa busy naye na akawa midomoni mwa watu daily haijalishi positively au negatively bado itamsaidia kukua kutoka alipo na kwenda mbele zaidi.

Kwa Paula yeah anaweza kuwa anafaidika zaidi coz from this inawezekana ikawa ndiyo imemfanya all of a sudden kuwa one of the most popular female celebrity in Tz huku hana fani yoyote mpaka ameshaanza kula deals za kuwa brand ambassador kwenye baadhi ya makampuni.

Kuhusu kumtamani kkkk, watoto wadogo it's not my thing.
 
Wild sniper

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
3,341
2,000
Ni ujinga hao wanaosema hivo watoto wao wa kike wako primary na wanafumuliwa vibaya mno na bodaboda sasa kipi bora mzazi ujue mwanao ana mtu au vijana wengi wasioeleweka wawe wanamfumua fumuuuu. Isitoshe umri unaruhusu kajala yuko sawa tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom