rasmi

Ni Gusti Ayu Raka Rasmi (March 10, 1939 – March 17, 2018), also known as Raka Rasmi, was a Balinese dancer who introduced the stylized art of Balinese dance to the world. She was the youngest member of the Balinese dance troupe, the Bali Dancers, that was the first to perform in the United States in 1952.Rasmi began her career in 1951 as part of the Sekaha Gong Peliatan. She was then discovered by John Coast, former English Diplomat, who formed the Balinese dance group.Rasmi became the first to dance the Oleg Tamulilingan, or the Bumblebee, a then controversial dance in which male and female dancers circle each other.In 2005 she was part of an award-winning festival performance that brought together veteran local dancers with emerging artists.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Funga Kazi ya Urekebu wa Sheria za Tanzania, Kesho Rais Samia Atatoa Tangazo Rasmi, la Kuanza Kutumika kwa Sheria Zaidi 400 Zilizorekebishwa!.

    Wanabodi Funga kazi ya urekebu wa sheria za Tanzania, kesho Rais Samia atatoa tangazo rasmi, la kuanza kutumika kwa sheria zaidi 400 zilizorekebishwa. kuanza kutumika. Taarifa hii imetolewa live mubashara on Jambo Tanzania, na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari. Paskali
  2. JamiiForums Tanzania Rasmi Ken Gold Imeshuka Daraja Kwa Msimu wa 2023/2024

    Rasmi Kengold inakuwa timu ya kwanza kushuka daraja msimu huu baada ya kipigo cha 2 - 1 leo Dhidi ya Wanamangushi Coastal Union. Mpka sasa Kengold ipo nafasi ya 16 na alama zao 16 katika msimamo wa ligi ikiwa imecheza mechi 27 ikipata ushindi kwenye mechi 3 sare 7 na vipigo 17 Kimahesabu...
  3. JamiiForums Tanzania Ni rasmi sasa Yanga yapokelewa huko CAS, mbivu na mbichi kujulikana

  4. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wakala wa vipimo Simiyu, ni lini imegeuka Lokapu? Afisa Vipimo Mkoa ametoa wapi Mamlaka kugeuza Ofisi kuwa Lokapu?

    WAFANYABIASHARA Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu wameiomba Serikali kuingilia kati sakata la Wakala wa Vipimo Mkoani humo kuwakamata na kuwaweka Mahabusu kwenye Ofisi za Wakala huo, zilizoko Nyaumata pindi wanapofanya kaguzi mbalimbali za vipimo. Wafanyabiashara hao wamedai kuwa wamekuwa...
  5. C

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kiongozi Mkuu wa North Korea asilimu kuwa Muislam

    Tizama hi video kwa makini kabla ya ku-comment. Kiongozi wa Korea kasikazini amelegeza mashariti kwa dini moja tu uko nchini kwake baada ya kushuhudia great miracle en Wisdom katika kitabu cha Qur"an tukufu, wakati anaingia madarakani 2011 Uislamu kama dini zingine zilikua marufuku nchini...
  6. JamiiForums Tanzania Rasmi; Iran yasalimu amri kwa Marekani, yakubali mazungumzo huko Oman

    Ikumbukwe kuwa baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kuiambia Iran kuwa itapigwa kipigo cha mbwa koko kama haitakubali mazungumzo ya ana kwa ana na Marekani. Mara moja Rais wa Iran alitoka hadharani kupinga wito huo baada ya siku moja kiongozi wa Mapinduzi wa Iran Ayatollah Khamanei naye Ali...
  7. JamiiForums Tanzania Rasmi: Yanga yafuzu klabu bingwa Afrika kwa mwaka 2025/2026

    Kufuatia ushindi wake wa mabao 2 kwa 1 dhidi ya Azam FC hivi punde, sasa ni rasmi kuwa Yanga omefuzu kushiriki michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika kwa msimu wa 2025/2026. Ushindi huo wa Yanga unaifanya kufikisha alama 67 ambazo haziwezi kufikiwa na timu nyingine yoyote, isipokuwa Simba...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Waziri wa Mambo ya nje wa Angola kujadili maandalizi ya ziara rasmi ya Kitaifa ya Rais Samia

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Angola, Mhe. Tete António, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Ziara ya Kitaifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe...
  9. JamiiForums Tanzania Kituko cha John Mrema: Adai Kuwa Kwenye Nakala ya Waraka Rasmi wa Chadema Aliyo Nayo Maneno "No Election" Hayamaanishi "Hakuna Uchaguzi"

    John Mrema Mkutano wa John Mrema wa Chadema na waandishi wa habari leo umefichua mengi kuhusu dhamira yake na wanaomtuma. Anasema kuwa wao hawapingi msimamo rasmi wa chama kwa kuwa kwenye waraka rasmi wa Chadema alio nao maneno NO ELECTION hayamaanishi HAKUNA UCHAGUZI. Anachomaanisha ni...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde Azindua Rasmi Shughuli za Uchimbaji Madini PORCUPINE NORTH - Chunya, Mbeya

    WAZIRI MAVUNDE AZINDUA RASMI SHUGHULI ZA UCHIMBAJI MADINI PORCUPINE NORTH - CHUNYA MBEYA ▪️Ni Leseni Hodhi zilizorudi Serikalini baada ya kumalizika kesi na wawekezaji ▪️Mapato ya Serikali kuongezeka kupitia mrabaha na kodi mbalimbali ▪️ Waziri Mavunde asisitiza kuongeza utafiti zaidi ili...
  11. JamiiForums Tanzania Mnamo tarehe 1-April-2004 kampuni ya google ili zindua barua pepe ya Gmail kutumika rasmi.

    Gmail ilianza kutumika rasmi tarehe 1 Aprili 2004 kama huduma ya majaribio (beta). Ilitolewa kwa watumiaji wachache kwa mwaliko kabla ya kufunguliwa kwa umma mnamo 7 Februari 2007.
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya picha ya muigizaji akiwa anachat ICU sinema imekuwa rasmi.

    Ogopa Mungu na Teknolojia. Pongezi Kwa ndugu wa muigizaji aliyempiga picha na kuuhabarisha umma kinachoendelea ICU.
  13. JamiiForums Tanzania Leo ni sikukuu ya wajinga isio rasmi. Ni jambo la kijinga uliwahi kulifanya au kushuhudia mtu akifanya hadi leo ukilikumbuka unasikitika au kucheka tu

    😂😂😂
  14. JamiiForums Tanzania Sala ya Iddi kitoka Msikiti Mkuu wa Bakwata, Kinondoni DSM: Mgeni Rasmi Baraza la Iddi ni Rais Samia, JK, Salma, Mchengerwa Ndani!. Eid Mubarak!

    Wanabodi Nafuatilia live ya Swala ya Idd El Fitri kupitia TBC live!, kutokea kwenye Msikiti Mkuu wa Bakwata, Msikiti wa Mfalme Mohammed wa 6 wa Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Karibuni https://www.youtube.com/live/c2Ad4IXVKUU?si=OMJZtMBCkCXGDagu Nimemuona Rais Samia amehudhuria ibada...
  15. JamiiForums Tanzania Taarifa Rasmi kwa Umma: Yanga ni bingwa mara 25, Simba mara 22

    Wanasema "hauna haki ya kuongea kama kwanza haujafanya utafiti wa hilo unaloongelea". Taasisi ya R.S.S.S.F. (Rec.Sport.Soccer Statistics Foundation) ni taasisi kubwa duniani ambayo imekuwa inafanya kazi ya kutafiti na kuhifadhi takwimu za soka duniani kwa miaka mingi. Hii si taasisi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Samia kuirejesha Derby ya Simba na Yanga? Atuma kikosi cha mawaziri wakatekeleze "4R", yawezekana akawa mgeni rasmi katika mchezo

    Rais Samia kupitia mawaziri wake wameingilia mtanziko kuhusu Derby, kikao kinaendelea chini ya gwiji wa reconciliation Profesa nguli wa sheria (MVP) , genius wa wakati wote wa kitivo cha sheria kutoka chuo kikuu pekee (achana na High School zilizochangamka) , UDSM, Profesa Pamagamba John Aidan...
  17. JamiiForums Tanzania Ijue Ratiba Rasmi ya Kampeni ya CHADEMA: NO REFORM, NO ELECTION 2025

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimezindua kampeni maalum ya siku 48 kwa ajili ya kudai mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Kampeni hii, inayojulikana kama "No Reform, No Election", inalenga kuhamasisha Watanzania juu ya umuhimu wa kupata Katiba...
  18. JamiiForums Tanzania Sintokaa nitumie huduma za kibenki tena. Rasmi narejea kwenye miamala ya simu

    Walichonifanyia eniembii kinatosha. Nilifungua account lao mwaka Jana November, nikawa naweka tu elfu mbili tatu kama saving, simalizi wiki, nanyofoa pesa zangu, mambo mengine yanaendelea Mwezi Feb mwaka huu nikaweka 85k, cha ajabu leo nimejaribu kutoa 80k wakaleta ujumbe wa insufficient...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Haji Manara ametoa rasmi cinema aliyosema Rais Karia

    Ile cinema aliyosema Rais wa TFF kuhusu Yanga hatimaye leo ijumaa imetoka na angalieni kwenye Manara TV, asante
  20. JamiiForums Tanzania Yemen Watangaza rasmi kuingia vitani dhidi ya Marekani

    Baada ya kujibu mashambulizi mara 3 ndani ya saa 48 Hali iliyopelekea marekani kuondoa aircraft carrier Harry Truman katika bahari ya redsea na kuisogeza mbali na eneo la Yemen. Mkuu wa nchi ya Yemen ametangaza rasmi Leo kuwa shambulio lolote dhidi ya nchi yake litajibiwa na ametoa tahadhari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…