rasmi

Ni Gusti Ayu Raka Rasmi (March 10, 1939 – March 17, 2018), also known as Raka Rasmi, was a Balinese dancer who introduced the stylized art of Balinese dance to the world. She was the youngest member of the Balinese dance troupe, the Bali Dancers, that was the first to perform in the United States in 1952.Rasmi began her career in 1951 as part of the Sekaha Gong Peliatan. She was then discovered by John Coast, former English Diplomat, who formed the Balinese dance group.Rasmi became the first to dance the Oleg Tamulilingan, or the Bumblebee, a then controversial dance in which male and female dancers circle each other.In 2005 she was part of an award-winning festival performance that brought together veteran local dancers with emerging artists.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dr. Tulia anasema vijana wajitokeze kuyasema mazuri ya serikali; anasahau Baba ukishatoa kafara mtoto mmoja kisa utajiri mazuri yote hufutika.

    Mpo salama! Ukishatafuta utajiri wa kafara, ukamtoa Mke au mtoto mmoja na watu wakajua na watoto waliobakia. Hata uwajengee watoto ghorofa, uwanunulie Range Rover, au ukawasomeshe Marekani. Kamwe hawatakutaja kama Baba Bora, wala hautasifiwa kwa lolote zuri. Hakuna Jambo kubwa kwenye maisha...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yatumbukia Rasmi Kwenye Mtego wa Udini

    Kwa macho ya kawaida, Tanzania inaonekana shwari. Lakini kwa waliopasua pazia la unafiki, hali si ya kawaida tena. Udini umejitokeza waziwazi, tena kwa ushawishi wa kutisha. Mawaidha ya Eid mwaka huu yameacha majeraha ya kihisia kwa baadhi ya viongozi wa dini nyingine, waliodai kuwa wamepingwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi, waambieni watanzania rasmi kuwa Yanga haitocheza na Simba Juni 15 ili watu waendelee na shughuli zao, mkikaa kimya mtaua biashara za wat

    Yanga wameshasema hawachezi, wengine wanasema wanadanganya na wengine wanasema wako serious kwa sababu hadi leo hakuna tiketi zinazouzwa, wengine wanaona Yanga wameanza mazoezi mapema na hivyo wanashangaa Yanga aanze tizi mapema la kumkabili Prisons, tizi gani hilo? Sasa ushauri wangu mechi ya...
  4. X

    JamiiForums Tanzania Elon Musk: "Trump yuko kwenye file la Epstein hii ndio sababu ya msingi haijawekwa hadharani."

    Naona ushosti kati ya Trump na Elon unaelekea kufa vibaya mno. Leo imekuwa siku yao ya kupeana vijembe kupitia kurasa zao za mitandao ya jamii
  5. T

    JamiiForums Tanzania Sasa rasmi: Trump na Elen Musk wanawashiana moto huko twitani

    Naona wameshibana sasa, mpaka Musk kumwambia Trump bila yeye, asingeshinda Na pia Musk amekasirika baada ya Trump kuweka kodi kubwa kwa matajiri Tulisema hawa hawafiki mbali Yamefika sasa Tutaendelea kuleta updates https://www.youtube.com/watch?v=8oh_WNAYchU
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo awasili Kosovo kwa ziara rasmi

    WAZIRI KOMBO AWASILI KOSOVO KWA ZIARA RASMI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasili jijini Prishtina nchini Kosovo kwa ajili ya kuanza ziara rasmi pamoja na kushiriki Mkutano wa Tatu wa Kimataifa kuhusu Wanawake, Amani na Usalama...
  7. JamiiForums Tanzania Singida Black Stars imewasilisha rasmi malalamiko TFF kufuatia mechi dhidi ya Simba SC

    Klabu ya Singida Black Stars imewasilisha rasmi malalamiko kwa mamlaka za soka nchini, ikiwemo Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), baada ya kutoridhishwa na mwenendo wa mchezo wao dhidi ya Simba SC uliochezwa jana Mei 28 kwenye Uwanja wa KMC Complex. Katika mchezo huo, Simba iliibuka na ushindi...
  8. JamiiForums Tanzania Mrema: G-55 imekufa rasmi, haipo tena!

    Kutoka akaunti ya X ya Jon Mrema Salaam, kwa kuwa kundi Sogozi la G -55 limekufa rasmi na halipo tena , naomba kuwatangazia rasmi kuwa Usemaji wangu kwenye Kundi hilo umekoma rasmi . Hivyo basi , kama kuna jambo lolote litakalotumia jina la Kundi hilo ieleweke kuwa ni watu watakuwa wanataka...
  9. JamiiForums Tanzania Maneno ya Mzee Kikwete " Labda Mambo Yaharibike Saana " yametimia rasmi

    Wahenga walisema nyakati huzungumza. Kuna siku Mzee Kikwete alisema Mgombea wa CCM ni Samia ila haitakuwa hivyo labda mambo yaharibike saana. Sijui kwa nini yule mzee aliongea yale maneno, ila kwa haya yanayotokea hapa nchini Tanzania sasa ni dhahiri shahiri kuwa Maneno yale yametimia. MAMBO...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Siasa za mpira zimezikwa rasmi uwanja wa Amani, sasa tugeukie siasa za mabadiliko ya sheria za uchaguzi

    Moja ya mambo yanayorudisha nyuma mabadiliko ya kisiasa ni watu kufuatilia sana mambo ya mpira wa miguu. Simba angechukua kombe uko uwanja wa Aman, watu wangeongelea tukio hili kwa muda mrefu sana. Hakuna uwekezaji wa kutosha kuwezeaha kuchukua vikombe vya Afrika lkn tunaongea sana. Sasa...
  11. JamiiForums Tanzania Joseph Kabila Ajitangaza Rasmi kama M23 vita Mpya inakuja DRC

    https://www.youtube.com/watch?v=IntpG2fhmAE
  12. JamiiForums Tanzania Ni rasmi Sasa Vita ya Urais 2025 imeanza

    Vita ni Kali mno watu hawalali Sasa wanaseti mitandao. Yule Unguja Yule Singida Yule Kigoma Yule Mara Yule Ruvuma Yule Tanga Tutasikia kila aina ya milio na miguno Nani kuibuka Rais wa Tanzania baada ya uchaguzi? Ogopa Sana nyoka alijificha chumbani. No reform no Election Ubaya ubwela!!
  13. JamiiForums Tanzania Marekani imepokea rasmi ndege kutoka Qatar itakayotumika kama Air Force One

    Sasa ni rasmi na hiyo ndege itakuwa retrofitted kabla haijaanza kutumika kumsafirisha Rais. Marekani imepokea ndege iliyokusudiwa kwa ajili ya msafara wa Air Force One kutoka Qatar — zawadi ambayo imezua ukosoaji mkubwa, hata kutoka kwa baadhi ya wafuasi wakubwa wa Rais Donald Trump. “Waziri...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Uvumi, tetesi , fununu zilibashiri kuwa leo Mbowe ataonekana rasmi kwenye mkutano wa Chaumma, hali ikoje?

    Nyerere alisema DHANA HAIPATANI NA UKWELI. Tujiepushe na kubashiri mambo bila concrete reasoning and valuations
  15. B

    JamiiForums Tanzania Tamko rasmi la mashabiki na wadau wa mpira wa miguu Tanzania

    TAMKO RASMI LA MASHABIKI NA WADAU WA MPIRA WA MIGUU TANZANIA Kuhusu Msimu wa 2024/2025 na Wito wa Mabadiliko ya Haraka TPLB Sisi kama mashabiki wa mpira wa miguu Tanzania, tunatoa tamko hili kutokana na kukithiri kwa dosari, vitendo visivyo vya kitaalamu, na uendeshaji mbovu wa Ligi Kuu...
  16. JamiiForums Tanzania CAF: Ripoti ya Mkaguzi imeonesha Uwanja wa Mkapa hauwezi kukamilika kwa ajili ya Fainali ya Simba Vs Berkane

    CAF ilishirikiana na kusaidia Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (“TFF”) pamoja na Wadau wengine kuwezesha Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam kuwa mwenyeji wa Mchezo wa Marudiano wa Fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF la TotalEnergies 2024/25 Shirikisho la Soka Barani Afrika...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Makumbusho ya Rais wa zamani wa Burkina Faso, Thomas Sankara yazinduliwa rasmi

    Makumbusho yaliyojengwa kwa ajili ya kumbukumbu ya Kapteni Thomas Sankara na wenzake 12 waliouwawa pamoja hatimaye yamezinduliwa rasmi. Makumbusho hayo yamezinduliwa mnamo tarehe 17 Mei 2025 katika hafla iliyohudhuriwa na viongozi wa Burkina Faso na wale waliotoka nchi jirani kama vile Senegal...
  18. JamiiForums Tanzania Fainali Sasa rasmi kupigwa Kwa mkapa

    CAF wamewakubalia Simba ombi lao na Sasa Finali itapigwa Kwa Mkapa tarehe 25 May, 2025 JamiiCheck imefuatilia Taarifa hii na kubaini kuwa si ya Kweli. Soma hapa
  19. JamiiForums Tanzania Maana ya Pete ya Mvuvi "Fisherman's Ring" ya Papa Leo 14 Aliyopokea Aliposimikwa Rasmi leo

    Tunaposema Kanisa Katoliki ( hapa nitaita tu kwa ujumla kanisa) lina utaratibu wake haimaanishi ni taratibu zilioibuka tu. Wengi ambao siyo Wakatoliki au hata Wakatoliki "lukewarm" wanaweza kuyumbishwa na madai kwamba kanisa linafanya mambo nje ya Biblia, wakati si kweli hata kidogo. Kusema...
  20. E

    JamiiForums Tanzania G55 kupokelewa rasmi Chaumma Mei 19

    Wakati Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kikitqrajia kuanza vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu kuanzia kesho Jumatatu Mei 19, 2025 jijini Dar es Salaam, baadhi ya makada na viongozi waliojitoa Chadema wanatarajiwa kupokelewa rasmi. Soma pia: Vikao hivyo vinafanyika baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…