Ni Gusti Ayu Raka Rasmi (March 10, 1939 – March 17, 2018), also known as Raka Rasmi, was a Balinese dancer who introduced the stylized art of Balinese dance to the world. She was the youngest member of the Balinese dance troupe, the Bali Dancers, that was the first to perform in the United States in 1952.Rasmi began her career in 1951 as part of the Sekaha Gong Peliatan. She was then discovered by John Coast, former English Diplomat, who formed the Balinese dance group.Rasmi became the first to dance the Oleg Tamulilingan, or the Bumblebee, a then controversial dance in which male and female dancers circle each other.In 2005 she was part of an award-winning festival performance that brought together veteran local dancers with emerging artists.
Huyu Jamaa Ni mtu hatari Sana kwenye siasa za upinzani,ukifatilia historia yake ya usaliti,kuvujisha texts,misimamo yake, utagundua kua anakula meza moja na watesi.. katika maandamano yake ya Jana ya kutangaza Nia ya kugombea ubunge Hakukua na polisi wala mgambo Kama wanavyofanyiwa wapinzani...
Mchambuzi mashuhuri wa masuala ya mashariki ya kati,Mohammed Al masry ameseweka wazi kuwa Misri ndiye mshirika mkubwa wa Israel na Marekani kufanikisha maumivu wanayoyapata wananchi wa Palestina eneo la Gaza.
AlMasry katika mahojiano yake na aljazeera ,amesema ukweli huo ni jambo ambalo kwa...
Baada ya klabu ya Yanga Sc kuangukia pua kwenye kesi yake dhidi ya Shirikisho la soka Tanzania TFF, Bodi ya Ligi na klabu ya Simba Sc, Mkuu wa Kitengo cha Sheria klabuni hapo, Simon Patrick ametangaza kuachia ngazi kama Mwanasheria wa Mabingwa hao wa kombe la Muungano 2025.
Kupitia ukurasa...
Kiukweli sijajua kama tatizo ni mfumo ama watendaji wa serikali au ni kitu gani lkn itoshe kusema hali katika ofisi za nida hapa ukonga Mombasa ni ya kuchosha, kufedhehesha na ya kukatisha tamaa.
Kama hatutapaza sauti tutaendelea na huu utaratibu ambao sielewi kama kweli kama nchi tumeshindwa...
1. Ingependeza Prof atambulishwe rasmi kama Mgombea wa nafasi ya Mkurugenzi wa WHO Africa ili kuongeza hamasa.
2. Pia, akabidhiwe ilani na bendera ya Chama.
Habari wana jamvi mimi namshukuru muumba wa mbingu na ardhi, mimi ni mfanyakazi wa idara fulani nina miaka zaidi ya kumi kazini, kuna ndugu yangu mmoja mzanzibar alinifundisha kamari [betting] mwaka 2015.
Tokea nimeanza kubeti kuna mambo mengi nimejifunza kutokana na michezo hii, mimi...
Hii ni ujumbe wenu M'simp a.k.a second hand handler, a.k.a Step fathers, a.k.a ma'sponsors, a.k.a mubaba almaarufu Mabushoke.
Awali ya yote kwa utangulizi, niseme kwamba "a modern woman is loyal to her feelings only", yaani kwa kiswahili ni kwamba ni sawa na kusema, "Mwanamke wa kisasa...
Ninasikitika ninapoandika haya lakini sina jinsi ndiyo imeshatokea.
Nilipompata huyu mwanaume niliamua kutulia hata namba sikuwa natoa kwa wanaume wengine lakini mwenzangu naona anapenda vita kuliko amani.
Nimejaribu kuvumilia na kujishusha vya kutosha but this is too much mimi ntakuwa wa...
Mrisho Gambo ni mwanasiasa ambaye anaishi kwa fitna na majungu. Ili adumu katika siasa lazima amuumize mtu na kumfanya aonekane mbaya.
Sasa ameyakanyaga. Baada ya jaribio lake la kumchafua Makonda kuonekana kukwama, jana ameonekana kuihusisha ofisi ya Rais Tamisemi, kule anakosimamia Mwenyekiti...
Wakuu Herini ya Pasaka na Poleni kwa msiba Wa Pope.
Kama nikivyowaahidi kwenye ule Uzi wangu wa Nyuma kama hujausoma au hukumbuki (Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali) sasa ni Rasmi wiki hii nitafunga ndoa Rasmi na Judi wang
Tumepitia mitihani...
Wanabodi
Funga kazi ya urekebu wa sheria za Tanzania, kesho Rais Samia atatoa tangazo rasmi, la kuanza kutumika kwa sheria zaidi 400 zilizorekebishwa. kuanza kutumika.
Taarifa hii imetolewa live mubashara on Jambo Tanzania, na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari.
Paskali
Rasmi Kengold inakuwa timu ya kwanza kushuka daraja msimu huu baada ya kipigo cha 2 - 1 leo Dhidi ya Wanamangushi Coastal Union.
Mpka sasa Kengold ipo nafasi ya 16 na alama zao 16 katika msimamo wa ligi ikiwa imecheza mechi 27 ikipata ushindi kwenye mechi 3 sare 7 na vipigo 17
Kimahesabu...
WAFANYABIASHARA Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu wameiomba Serikali kuingilia kati sakata la Wakala wa Vipimo Mkoani humo kuwakamata na kuwaweka Mahabusu kwenye Ofisi za Wakala huo, zilizoko Nyaumata pindi wanapofanya kaguzi mbalimbali za vipimo.
Wafanyabiashara hao wamedai kuwa wamekuwa...
Tizama hi video kwa makini kabla ya ku-comment.
Kiongozi wa Korea kasikazini amelegeza mashariti kwa dini moja tu uko nchini kwake baada ya kushuhudia great miracle en Wisdom katika kitabu cha Qur"an tukufu, wakati anaingia madarakani 2011 Uislamu kama dini zingine zilikua marufuku nchini...
Ikumbukwe kuwa baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kuiambia Iran kuwa itapigwa kipigo cha mbwa koko kama haitakubali mazungumzo ya ana kwa ana na Marekani. Mara moja Rais wa Iran alitoka hadharani kupinga wito huo baada ya siku moja kiongozi wa Mapinduzi wa Iran Ayatollah Khamanei naye Ali...
Kufuatia ushindi wake wa mabao 2 kwa 1 dhidi ya Azam FC hivi punde, sasa ni rasmi kuwa Yanga omefuzu kushiriki michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika kwa msimu wa 2025/2026.
Ushindi huo wa Yanga unaifanya kufikisha alama 67 ambazo haziwezi kufikiwa na timu nyingine yoyote, isipokuwa Simba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.