Ni rasmi Sasa Vita ya Urais 2025 imeanza

Ni rasmi Sasa Vita ya Urais 2025 imeanza

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,700
Reaction score
58,748
Vita ni Kali mno watu hawalali Sasa wanaseti mitandao.

Yule Unguja
Yule Singida
Yule Kigoma
Yule Mara
Yule Ruvuma
Yule Tanga

Tutasikia kila aina ya milio na miguno

Nani kuibuka Rais wa Tanzania baada ya uchaguzi?

Ogopa Sana nyoka alijificha chumbani.

No reform no Election

Ubaya ubwela!!
 
Wiki moja tu tushapigwa msamiati "kiumbe" na "jitu".

Ila Samia ana frustrations sana.

Nasikia anapiga whisky kama hana akili nzuri.
Dah hapo umetuonea wapiga kimea bro.
 
Back
Top Bottom