rasilimali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wazo fyatu: Wazungu waje wachukue rasilimali zao huku Afrika

    Hello men and women of God! Nimekaa hapa nimewaza na kugundua kuwa hizi rasilimali za asili kama madini, wanyama na rasilimali zingine zote za asili hapa Afrika ni zao Wazungu. Sisi tulipewa tuzilinde tu kama vile mtu anayejenga nyumba Chanika na kumwambia mtu kaa usihofu lima mboga mboga ila...
  2. Kama 70% ya Umeme Wa Tanesco ni wa Gesi, Mbona Maji yanasingiziwa sana?

    “Kwa wastani umeme unaozalishwa kwa kutumia gesi asilia ni takribani asilimia 65 mpaka 70 ya umeme wote unaozalishwa nchini. Wataalam wanatuambia kwamba kama tusingekuwa na gesi asilia, tatizo la umeme nchini lingekuwa kubwa zaidi. Kwahiyo, tushukuru sana Mungu kutuletea rasilimali hii ya gesi...
  3. Luhaga Mpina: Serikali inaingia Mikataba Mibovu na ya Siri, Rasilimali zetu zinanufaisha Wageni

    "Licha ya Mafanikio makubwa tuliyoyapata katika kipindi cha miaka 62 ya Uhuru na miaka 60 ya Mapinduzi bado atujafanikiwa kuwapiga na kuwashinda maadui hawa Ujinga, Maradhi na Umasikini kwa asilimia 100. Nitataja baadhi ya changamoto ambazo zinarudisha nyuma jitihada za nchi yetu kukuza uchumi...
  4. Rasmi naenda kuacha ajira, Wasomi tumegeuka kituko kwa uoga wa kutegemea matone ya mshahara huku wageni na std 7 wakitajirika kwa rasilimali zilizojaa

    Biashara nilizonazo nilizianza huku nipo kazini, hadi hapa nilipo biashara zinanilipa lakini haikuwa rahisi, uzoefu nimeupata kwa maumivu kadhaa ikiwemo kuambulia maumivu ya biashara kufilisika, kupigwa na vijana wa dukani, kupigwa faini na tra kwa kuchukulia poa mambo ya kodi, n.k. kupitia haya...
  5. Lissu: Hatutakiwi kuruhusu ukuwadi wa Nchi yetu, Tunapaswa kuhoji mikataba ya Rasilimali zetu imeandikwa nini

    Akizungumza kwa Ukakamavu huko Segerea , Mkoani D'Salaam , Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Amedai kwamba. Ni vema Wananchi wakajiepusha na Ukuwadi wa Rasilimali za Nchi , Bali wanapaswa kuhoji ili Kujua kilichomo ndani ya mikataba ya Rasilimali zetu. Amedai kwamba...
  6. Kardinali Protase Rugambwa, hadithi ya wanawali kumi, na teolojia ya utunzaji wa rasilimali

    https://youtu.be/ZjF8cpKA9kA Katika homilia yake ya kwanza kama Askofu Mkuu Mpya wa Jimbo la Tabora, Kardinali Rugambwa, amehusianisha hadithi ya wanawali kumi na utunzaji wa rasilimali za nchi katika namba yenye kufikirisha sana. Nitajaribu kueleza nilichoelewa kutokana na homilia yake...
  7. Tundu Lissu afunguka, mkataba wa Bandari na DP World umekiuka sheria ya ulinzi wa rasilimali. Ni sheria aliyoipambania Hayati Magufuli

  8. M

    Hospitali za Umma Tanzania kutumia rasilimali finyu za Taifa kwenye mambo yasiyo vipaumbele

    Nimesoma kwenye mtandao wa Instagram kwamba Hospitali ya Mloganzira itaanza kuhudumia wanaotaka kuongeza au kupunguza maumbile ya mwili kama matako, matiti nk. Je, ni sahihi kwa taasisi kama hii kutumia fedha za umma kushughulikia masuala kama haya badala ya kutumia fedha hizi kufanya tafiti za...
  9. Msimamo wa CCM kwa rasilimali za Taifa ni upi?

    Kwa mujibu wa katiba ya JMT suala la rasilimali za Taifa limejengewa wigo mpana wa ulinzi wake kupitia ibara ya 27.-(1) Kila mtu ana wajibu wa kulinda maliasili ya Jamhuri ya Muungano, mali ya mamlaka ya nchi, mali yote inayomilikiwa kwa pamoja na wananchi, na pia kuheshimu mali ya mtu...
  10. N

    Unyonyaji wa rasilimali na wawekezaji wa kigeni unachangia mapinduzi Africa. DP World utakuwa mfupa mgumu kwa Rais Samia na CCM yake

    Wakati wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa walipozungumza mbele ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wiki iliyopita, baadhi ya Viongozi wa Afrika hawakuweza kuhudhuria, baada ya kuondolewa madarakani katika mapinduzi ya kijeshi. Mataifa haya hayashiriki mambo mengi yanayofanana nje ya...
  11. Kwa wanaodhani maofisa wa rasilimali watu HR(Human Resource) wako kwa ajili ya maslahi yako waandike maumivu

    Najua huu ni ukweli unaouma kwao lakini huo ndio ukweli wenyewe.Aheri HR officers wa serikalini au mashirika ya umma ya Kitanzania wabongo wenzetu.Nawapa Kongole sana ila hawa wengineo mhhh Lakini kwa haya makampuni ya kigeni ya wazungu maofisa hawa kwanza wanajali matumbo yao halafu kumtetea...
  12. Baada ya suala la Ngorongoro, Tundu Lissu ameenda Belgium & USA

    Je Tundu Lisu Ameenda kutoa ripoti na mrejesho Kwa Wanaomfadhili? Huyu bwana huwa anakuja Tanzania kuchochea chuki na kisha kuondoka, akirudi tena anakuja tena kuchochea vurugu. Je, Serikali haioni ni wakati muafaka sasa kumdhibiti huyu kibaraka kabla ya kutuletea balaa na yeye kukimbilia Kwa...
  13. Kwa rasilimali tulizonazo tunahaki ya kuwahoji!

    Kwa upande wa Kimungu tunasema tumebarikiwa kwa upande mwengine tumenona nchi inarasilimali kila Kona,kwa vitu tulivyonavyo ni aibu kutuletea vichwa vya mitumba!. Kwa staili hii lazima tuwashike mashati na lazima tuhisi tunanyonywa tu!. Ifike hatua muone aibu viongozi wetu,nashangaa usomi wenu...
  14. Tafakuri: Bora ukose hadhi ya kibalozi kuliko kukosa heshima ya kutetea rasilimali za taifa lako

    Mobutu Seseko wa Zaire alikufa kifo chenye fedheha na kisichofaa hata kidogo maana pamoja na kushirikiana ma wezi wa rasilimali za Wazaire sasa Drc alifia ugenini na bila heshima yoyote. Hii ni kwa sababu alishindwa kuwa mzalendo kulinda rasilimali za taifa lake liwanufaishe raia wa taifa hilo...
  15. Picha: Shujaa wa Tanganyika anayetetea rasilimali za Watanganyika toka enzi na enzi

    List of shame? Wauza bandari? Wote amepambana nao
  16. Ile dhana kuwa CHADEMA ni waganga njaa na walamba asali imeyeyuka ghafla. Wanaonekana wanauchungu na rasilimali za taifa lao. Wanaamika japo sio sana

    Huko nyuma walianza kuonekana kama waganga njaa ambao wanatumia siasa kujinufaisha. Ndio maana wakiitwa Ikulu wanakimbia kula pilau na juice. Leo hii wamekomaa na Sakata la Bandari. Wamechambua na kueleza namna huu mkataba haufai. Wananchi wanawaamini kama Wapinga ufisadi Wamerejesha imani...
  17. M

    Wanasheria tusaidieni kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote ya rasilimali zetu ambayo Rais Samia kasaini na wageni ipelekwe bungeni

    Wanasheria wetu wanaonisoma, naombembeni mlisaidie Taifa kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote inayohusu rasilimali zetu ambazo utawala wa Rais Samia umesaini ipelekwe bungeni. Tunajua kuwa ipo sheria inayohusu rasilimali na Soveregnty ya nchi, inayotaka mikataba yote inayohusu rasilimali...
  18. Watanzania wanawakubali CHADEMA juu ya kutetea rasilimali zao kuliko CCM kwa kipindi hiki fukuto likizidi kufukuta

    Ukikaa vijiweni, baa au kwenye maofisi ya umma, mjadala ni namna CHADEMA wanavyopambana kulinda rasilimali za Tanzania. Utasikia watu wakisema nilikuwa naichukia CHADEMA ila kwa hili. Nilikuwa namchukia Lissu ila kwa hili. Mwisho kabisa wanakamilisha mjadala kwa kusema. Mama anatumiwa na ...
  19. B

    Watanzania wameamua kuwa wamoja kulinda Rasilimali zao. Hii haijawahi kutokea

    Tangu mimi binafsi nimezitambua na kuzionja siasa za Vyama vingi hapa Tanzania tangu ianzw rasmi 1992 nakiri kabisa hakujawahi kuwa na umoja kama huu. Vyama mbali mbali vya siasa na asasi za kiraia mbali mbali zimekuwa zikielimisha wananchi kuhusu elimu ya kiraia na kutanabaisha ipo siku...
  20. Teolojia ya Ukombozi wa Rasilimali za Watanzania Wanyonge Dhidi ya Wageni: Tamko la Maaskofu wa TEC juu ya Bandari zetu limegonga penyewe!

    I. UTANGULIZI Aya ya 19(2) katika Katiba ya Tanzania (1977) inaizuia serikali kujitenga na ubaguzi wa kidini na kuhimiza usawa wa kidini kwa kutumia maneno ifuatayo: "Bila ya kuathiri sheria zinazohusika za Jamhuri ya Muungano, kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…