rangi

Ngāti Rangi is a Māori iwi (tribe) of New Zealand, whose tribal district is mainly around Ohakune and the Upper Whanganui River in the central North Island. Ngāti Rangi trace their ancestry to the chief Paerangi. They believe they were in New Zealand before the main migration of Māori to the country.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA badilisheni bendera ya chama chenu, rangi nyekundu ni ishara kuwa mnataka nchi kwa kumwaga damu, hamtafanikiwa hadi siku ya kiama

    Bendera ya Chadema ina rangi nyekundu, kila mtu anajua maana ya nyekundu ni nini, lakini pia ukisoma Katiba ya Chadema unaona kabisa kuwa kwa namna ilivyoandikwa inaashiria kuwa wao ni watu wa vita tu, nchi hii imepata uhuru wake kwa amani kabisa bila kumwaga damu, nyie mna bendera yenye rangi...
  2. JamiiForums Tanzania Wadada wenye hizi Rangi wawekewe Ulinzi

    Wadada wenye hizi Rangi wawekewe Ulinzi
  3. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu rangi za taasisi

    Kuna mvutano kidogo kuhusu rangi za jezi,katiba ya yanga inataja rangi za klabu ni njano,kijani na nyeusi,sasa jezi zilitolewa safari hii hasa za mashindano ya kimataifa,ni tofauti na hizo zilizotajwa kwenye katiba,je katiba imevunjwa?Wataalamu wa sheria naomba ufafanuzi
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ukaburu sio rangi, bali ni matendo

    Makaburu bado wanaishi Afrika na makaburu wa leo ni weusi kama sisi ila pengine ni hatari kuliko makaburi weupe. Makaburu hawa wanateka, wanaua, wanatesa, wanabimbikizia kesi, wanatumia vibaya madaraka, wanaiba na kupora mali za umma kwa kiwango amacho hata makaburu wa Afrika kusini hawakuwahi...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mwenye utaalam wa kazi za kupaka rangi kucha aje tuongee, Vifaa na kijiwe cha kazi kipo

    Kama una uzoefu wa kazi za pedicure na manicure njoo tufanye kazi, Ni biashara ambayo ndiyo kwanza tunaanza, vifaa vyote vipo, kila tunapofunga hesabu jioni, tutagawana ikiwezekana 50/50, Eneo ni Survey, Opposite na Mlimani city, Dar es salaam.
  6. JamiiForums Tanzania Unaweza kudhania hapa ni mmoja wa mtaa uliopo Rangi tatu ila hapa ni Paris

    Open borders my foot😏
  7. G

    JamiiForums Tanzania Hakuna ubaguzi wa rangi wala mfumo dume, Democrats wameshindwa kihalali kwasababu wameiharibu mno marekani na wangeharibu zaidi wangeshinda

    Kilichopigiwa kura zaidi ni sera ya kuilinda Marekani, Sera za Democrats zimeiharibu sana Marekani, Haya ni baadhi ya mambo waliyofanya Bidden na Haris kwenye awamu yao, Trump kashinda kwasababu kaapa anaenda kuyafuta na kuyarekebisha. Mfumuko wa bei na maisha kuwa juu, vyuma vimekaza...
  8. JamiiForums Tanzania Mshambuliaji wa Wolfburg afungiwa kisa kugoma kusaini jezi yenye rangi za upinde

    Mshambuliaji wa Wolfsburg Kevin Behrens amesimamishwa na klabu yake baada ya kukataa kusaini jezi yenye rangi ya upinde wa mvua. Pia alitumia maneno ya dharau kueleza kuwa hatasaini jezi hiyo.
  9. JamiiForums Tanzania Nguo ya rangi gani ambayo huwezi vaaa?

    mimi siwezi kuvaa nguo ya njano rangi ya njano hapana naona kama ni rangi ya wagogo hii 🤗 weww kwako ni ipi wagogo ni watani zangu
  10. JamiiForums Tanzania KERO Foleni Mbagala Rangi 3-Kongowe

    Naam kama ilivyokua utaratibu wa hii njia kila siku foleni kutokana na ubovu na ufinyu wa njia lakini leo nimeinyooshea mikono juu. Saa 10:31 jioni ya leo nikiwa kwenye pikipiki na ndugu yangu pale kokoto nakutana na basi la superfeo linaloenda songea ambao hutoka stendi ya rangi 3 saa 10:00...
  11. JamiiForums Tanzania Je ni kweli mwanamke kabla ya kufanyika upasuaji anatakiwa asipake rangi kucha wala kuzi polish?

    Habari wana jf…Je ni kweli mwanamke kabla ya kufanyiwa upasuaji haruhusiwi kucha zake kuzipaka rangi wala kuzifanyia polish?
  12. JamiiForums Tanzania Kwa siasa anazofanya Mh. Luhaga Mpina kwa sasa, ni kuwaandaa kisaikolojia wananchi wa jimbo la Kisesa kwa ajili ya chama kipya au kuhama nao upinzani

    Friends, ladies and gentlemen.. Uelekeo wa kisiasa na mienendo ya siasa za mh.Lugaga Mpina mbunge wa jimbo la kisesa, inatiashaka na imebeba ujumbe mzito sana wa kisiasa nyuma ya pazia hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu 2025... Kwanza anatumia nguvu nyingi na kubwa mno kujieleza kwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwenye account yangu ya Ajira portal Application zangu 2 tofauti zina rangi tofauti.

    Nawashukuru kwa mrejesho wenu chanya.Hata walio challenge hasi nawachukulia Chanya
  14. JamiiForums Tanzania 2024 Apple event: Rangi za upinde zatawala

    Apple event kwa mwaka 2024 inafanyika leo ambapo iPhone 16 series inatarajiwa kuzinduliwa. Rangi za upinde ni sehemu ya tukio hilo la leo. Yapi maoni yako
  15. JamiiForums Tanzania Jipatie Rangi bora za decoration kutoka SILKCOAT PAINT

    Kama unahitaji kufanya finishing za mjengo wako, basi kwa upande wa rangi, hakuna rangi bora kama za Silkcoat paint. Hizi ni rangi za kituruki -Hapa nazungumzia Stone au wengi wanapenda kuziita Drewa Pia Decorative plaster hizi zipo za mifuko na ndoo, za ndoo zinaitwa Silkoterasit kuna...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni: Je, Yanga ni CCM na SIMBA ni CHADEMA? Ninashawishika kuamini hivyo kwa rangi za bendera zao

    Nimetafakari na kuona mwelekeo ulivyo na pia vitendea kazi kufanana kama vile bendera zao je nikisema Yanga ni CCM na Simba ni Chadema nitakosea Naomba maoni.
  17. JamiiForums Tanzania Kupaka rangi za bendera inaweza kudhibiti matumizi yasiyo sahihi ya magari ya serikali

    Kuna kijana huko Kenya amependekeza magari yote ya serikali ya Kenya yapakwe rangi ya bendera za Taifa ili kudhibiti matumizi yasiyo sahihi ya hayo magari, Je vipi wazo hili kwa Tanzania?
  18. P

    JamiiForums Tanzania Fundi rangi za nyumba naomba kazi

    Habari wakuu, Mimi ni fundi rangi za nyumba, nina uzoefu wa miaka zaidi ya 10 katika kazi hii. Ninauwezo wa kufanya kazi hii kwa ustadi mkubwa. Napenda kuchukua nafasi hii kuwaomba kazi ama connection ya kazi, nawaahidi ufanisi wa kazi uliotukuka na uwaminifu mkubwa. Mimi napatikana Dar es...
  19. JamiiForums Tanzania PICHA: Mzee Jakaya hilo shati nimelielewa sana

    Hii shati ya Mzee wangu Jakaya Kikwete nimeipenda sana, Mungu aendelee kukutunza Mzee wetu. We all love you. ====== Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata rangi za kuandika kwenye mashuka?

    Habari zenu wana jamvi? Ninataka kuandika bango kwenye shuka Mimi mwenyewe bila kupeleka kazi kwa fundi. Ninauliza ni wapi nitapata rangi maalumu kwa ajili ya kuandika kwenye mashuka? Nipo dsm. With much thanks in advance
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…