rangi

Ngāti Rangi is a Māori iwi (tribe) of New Zealand, whose tribal district is mainly around Ohakune and the Upper Whanganui River in the central North Island. Ngāti Rangi trace their ancestry to the chief Paerangi. They believe they were in New Zealand before the main migration of Māori to the country.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Fundi rangi za majumbani

    Habari, Natamani nijifunze jinsi ya kupaka rangi za nyumba. Nipeni mwongozo naanzia wapi angalau nianze kama saidia fundi huku najifunza, msiseme veta maana sna pesa ya kujifunzia.
  2. JamiiForums Tanzania Ubunifu: Sanaa ya kuchoma moto mbao kwa ajili ya kupata rangi

    Rangi ni kitu muhimu sana kwenye ubunifu wowote wa mbao na mazao yake kwenye kutenhengeza vitu vingi Kuna wenye mapenzi na rangi asilia ya mbao lakini kuna wenye kupendelea rangi za kupuliza na wengine hupendelea polish tu ama cilla Sasa kuna hii teknolojia nyingine ya kuunguza ubao ama kuuchoma...
  3. JamiiForums Tanzania Je unaweza kupaka rangi nyumba bila kuweka wall putty?

    Wakuu kama lipu imeshafanyika je unaweza kupaka rangi nyumba bila kuweka wall putty? Hii putty ina ulazima gani wakuu?
  4. JamiiForums Tanzania Au Tubadili Rangi

    Mlevi na Redio 1 Mlevi kajilaza, chupa mkononi, Redio inavuma, kwa sauti laini, Sifa kwa rangi, zinasikika mbali, Lakini mitaani, shida ni ile ile. 2 Barabara mashimo, taa hazing’ai, Bei ya chakula, imeshika mbio, Ajira ni ndoto, vijana wanalia, Lakini wasema, "Maisha ni bora!" 3 Mlevi...
  5. JamiiForums Tanzania Nina tabia ya kupenda vitu vikubwa na vyenye rangi nyeusi

    Asamaleko wadau Mimi nina hii tabia ya kupenda vitu vikubwa na vyeusi. Pengine kama inakuwa na sababu fulani naweza kupata jibu hapa. Tangu enzi nanunuliwa mavazi nilikuwa napenda sana nguo nyeusi, Viatu ndiyo kabisa.. Lakini pia tangu nimeanza kuwa mimi Mfumo wa maisha yangu haujawahi...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Je, unajua maana ya rangi tofauti za maua unapopokea au kumpa maua?

    Rangi za maua zina maana maalum, na ni muhimu kuchagua rangi sahihi ili kuwasilisha ujumbe sahihi kwa mhusika. Maua meupe yanawakilisha usafi, heshima, ujasiri, na mwanzo mpya, na mara nyingi hutumika kwenye harusi na mazishi. Maua mekundu yanawakilisha upendo, na ni chaguo bora kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mdada umekuwa na rangi tatu

    Mdada umekuwa na rangi tatu😀, macho brown yameungua kream, una mabaka ya kream mpaka unamfanya mwanaume ahisi afya yako si salama. Mishipa ya damu inaonekana
  8. JamiiForums Tanzania Ukiwa mweupe uvae nguo rangi zipi na zipi usivae, je ukiwa black?

    eti wakubwa mwongozo unasemaje huko kwenu?
  9. JamiiForums Tanzania Msaada: Rangi ya gari inayovumilia jua la Dar!

    Wakuu msaada kwenye tuta, gari nimeagiza hata miezi mitatu haijapita ila rangi inapauka kwa speed kali sana! Nilinunulia cover wakati inafika tu ila haijasaidia kitu. Ila cha ajabu nina jirani yangu gari yake hata haifuniniki ila haijapauka hata kidogo. NB: Rangi ya gari ni blue, ila naweza...
  10. JamiiForums Tanzania Niwekee Tyres nzuri kwa ajili ya sakafu!! Nimechagua rangi hadi kichwa kinaniuma

    Wakuu wataalam wa design
  11. S

    JamiiForums Tanzania John Heche: Tutawaeleza namna mabehewa yanavyonunuliwa. Kama ni mapya, yamepakwa rangi, n.k.

    Hii ni kauli ya John Heche leo wakati Mwenyekiti mpya wa CHADEMA akikabidhiwa ofisi. Amesema wanakwenda kuweka mambo mbalimbali hadharani na kwamba wanarudisha CHADEMA ya zamani. Kasisitiza watayafanya haya na hawatayafanya kama tu watakuwa wamekufa au wako jela. Niliwahi waambia mtakuja...
  12. JamiiForums Tanzania Polisi wa Hamas katika rangi ya bluu warudi mitaa yenye vifusi kote Gaza kulinda amani

    Wananchi wa Palestina eneo la Gaza wameendelea kupata nafuu ya amani wakati wakirudi kwenye maeneo waliyokuwa wakiishi kote Gaza kufuatia usitishwaji wa vita kati yao na Israel vilivyodumu kwa zaidi ya mwaka mmoja. Hali hiyo inatokana na kurudi kwa polisi wa Hamas wakiwa wamevalia sare zao...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa chadema umetuonesha rangi halisi ya hawa wanaojiita wapinzani

    Huu uchaguzi wa chadema umetuonesha jinsi gani hawa wanaojinasibisha watetezi wa wananchi wapo kwa ajili ya matumbo yao na si kwa ajili ya wananchi! Soka,mawazo,saa nane,mzee kibao, azory,mwangosi na wengine I feel sorry to you kumbe mlikuwa mnatumika as punching bag na hawa top layer wa chadema 🥺🥺🥺
  14. JamiiForums Tanzania Rangi za kofia za site na maana zake

  15. JamiiForums Tanzania Sitokaa nisahau hii siku niliona rangi zote daah ogopa kifo

    Kwema wakuu Kuna kisa cha kweli kabisa kilichonitokea April 2023 yaani hii siku bana sitoka niisahau mpaka nife. Ipo hivi nilikua nina kidemu changu kinasoma Ushirika Moshi mwaka wa pili sasa mimi nipo Dar aisee kila siku analalamika kuwa ame ni miss nikamuambia nakuja mama akafurahi sana...
  16. JamiiForums Tanzania Vijana wa Namna hii huwezi wakuta Mara na viunga vyake. Wapo sana Tanga& Daslam wapenda Taarabu

    Kwa maana hii Dar mambo haya yamebarikiwa na wakazi wake maana hii sio kificho Tena. Bali mambo hadharani kama wanavyosema msondo ngoma. Lakini mkicheka na Nyani siku ya mavuno mtavuna mabua!
  17. JamiiForums Tanzania Kuishika kwa mkono huwezi inatia kinyaa labda upate mti uichome nayo kisha utupe huko kwasababu imeleta kinyaa bafuni

    Kuishika kwa mkono huwezi inatia kinyaa labda upate mti uichome nayo kisha utupe huko kwasababu imeleta kinyaa bafuni rangi yake sasa kijanijeshi, kaniki, jano😎
  18. JamiiForums Tanzania Marc Guehi aandika "Yesu Anakupenda" kwenye kitambaa cha unahodha chenye rangi za Upinde, baada ya onyo la FA

    Baada ya kupewa onyo na Shirikisho la Soka (FA) kwa kuandika maneno "I love Jesus" kwenye utepe wa upinde wa mvua, Marc Guehi, beki wa Crystal Palace, ameandika "Jesus loves you" (Yesu anakupenda) kwenye utepe wake wakati wa mechi dhidi ya Ipswich. Nahodha wa Ipswich, Sam Morsy, naye ameamua...
  19. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kulipia kibali kwaajili ya marekebisho ya kupaka rangi nyingine nyumba yangu?

    Je, ni sahihi kulipia kibali kwaajili ya marekebisho ya kupaka rangi nyingine nyumba yangu? Nimeikuta huku Songea mkoa wa Ruvuma, ikiwa mwenye nyumba anataka kurekebisha rangi au kubomoa na kujenga vyumba vya kisasa inahitajika alipe pesa serikalini Ili apate kibali je ni sahihi? Au ni sheria...
  20. JamiiForums Tanzania KAKA angu pita kwenye maduka ya nguo za ndani angalia rangi uzipendazo si unajua size yake kama hujui muulize wala usimwambie kuwa unamnunulia chupi

    KAKA angu pita kwenye maduka ya nguo za ndani angalia rangi uzipendazo si unajua size yake kama hujui muulize wala usimwambie kuwa unamnunulia chupi au blazia, wewe nunua rangi uzipendazo kumuona amevaa📌 Unaweza kuchukua 20k ukanunua nusu dozen ya chupi kiwango ukampeleke kipenzi chako au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…