ramani

  1. JamiiForums Tanzania 85M-90M(BOMA) GOROFA SIMPLE SANA YENYE 3BEDROOMS ONLY FIT ON 15X20M PLOT TUNAHUSIKA NA UJENZI + RAMANI +255624004650

    HII GOROFA SIMPLE SANA INA; G.F SEBULE KUBWA, DINING ,OPEN KITCHEN WITH STORE,LAUNDRY AND POWDER ROOM F.F MASTER BEDROOM KUBWA ,1SELF BEDROOM FAMILY ROOM TERRACE HAVE ALSO 1SELF BEDROOM ESTIMATED COST BILA FINISHING 85-90M TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM CALL/WHATSAP +255624004650
  2. M

    JamiiForums Tanzania wahitimu wetu wa IT wamelala sana, kuna mitandao kibao ya kupiga Dola Online lakini bado wapo mitaani ramani hazisomeki.

    Vijana waliohitimu dip na degree za computer almaarufu "ma IT" wapo wengi sana mtaani bila ramani ya kueleweka. Nashangaa sana kwasababu kuna mitandao mingi sana ya kupiga dola online, sehemu nyingi dunian IT wa kizazi hiki hawasubiri kazi, wapo ndani wanapiga dola. Mifumo ipo lakini IT wengi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Picha: Ramani ya Mkoa wa Simiyu kiafya

    Akiongea na wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Mara, Mhe. Anamringi Macha, amesema kuwa katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2025, Mkoa wa Simiyu umepokea jumla ya Shilingi Bilioni 69.75 kwa sekta ya afya, ikiwemo Shilingi Bilioni 26.80 kwa miradi ya afya, Shilingi Bilioni 10.96 kwa vifaa tiba na...
  4. JamiiForums Tanzania Ernest Mwamaja: Tanzania kuingia katika ramani ya kimataifa ya Utalii wa Mikutano (MICE)

    Serikali ya Tanzania imechukua hatua katika kuimarisha sekta ya Utalii wa Mikutano, Maonesho, Makongamano na Safari za Motisha (MICE) kama njia mpya ya kukuza uchumi, kuongeza ajira, na kuvutia wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali. Akizungumza katika Jukwaa la Wadau wa Sekta ya MICE...
  5. JamiiForums Tanzania RAIS SAMIA: MRADI WA MKUJU KUIWEKA TANZANIA KWENYE RAMANI YA URANI DUNIANI

    RAIS SAMIA: MRADI WA MKUJU KUIWEKA TANZANIA KWENYE RAMANI YA URANI DUNIANI ✅️ Azindua Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Urani Namtumbo- Ruvuma ✅️ Asema Tanzania kuwa miongoni mwa nchi 10 zinazozalisha Urani kwa wingi duniani. ✅️ Mradi kuzalisha tani laki 3 za Urani kwa mwaka ✅️ Serikali...
  6. JamiiForums Tanzania Ramani ya Apartment mbili zenye, Sebule, small Kitchen na master bed room

    Ramani ya apartment mbili zenye, Sebule, small kitchen na master bed room kila moja katika eneo la mita 6 kwa 8 tu....call 0686970690 kwa information zaidi
  7. JamiiForums Tanzania Sasa msipojenga hizi ramani nitamuuzia nani? (Bei mtelezo, Room 2 hadi 7)

    Kama unahitaji ramani ya ujenzi na hesabu za makadirio ya ujenzi usisite kunipigia simu KAMA UNAHITAJI. Ramani Hesabu ya ujenzi (BOQ) Garden design Fence na aina zake zote ninatengeneza. Namba : 0621 622 070/0744 767 175 Njoo DM tuongee kisha nifanye kazi yako. Ninatengeneza kila aina ya...
  8. JamiiForums Tanzania KWANINI GARI NYINGI ZINAZOTOKA JAPAN ZINAKUJA NA ILE NAVIGATION MONITOR LAKINI INAKUWA NA RAMANI ZA JAPANI NA HUKU BONGO NAONA KAMA HAZIZINGATII

    Kwema wanajamii forum, Moja kwa moja kwenye mada kwanini hizi gari zinatoka japan nyingi kama sio zote zinakuja na ile screen inakuwa na ramani za miji na navigations za japan kwa huku Bongo watu wengi hawazitumii na zinakuwepo tu kama pambo au kwa hapa bongo hakuna fundi wa kuwepa shapefiles za...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ramani ya nyumba, au mchoraji anakaribishwa

    Ukubwa wa viwanja Kiwanja cha kwanza 20*23- vyumba vya kupangisha, mchanganyiko, single na chumba na sebule Kiwanja cha pili Urefu 31m Upana 17.5m Nyumba moja ya kuishi yenye ghorofa moja Naomba kuwasilisha
  10. JamiiForums Tanzania Ramani kali ya vyumba vitatu

    Ramani ya vyumba vitatu Sebule jiko dining store Choo Kwa maelezo zaidi +255678418272 WhatsApp
  11. JamiiForums Tanzania Tuwe makini na nguvu ya maneno, kiongozi wa Iran aliwahi kusema Israel ifutwe kwenye ramani ya dunia

    Leo ni siku ya kina baba duniani, mojawapo ya kitu nimeskliza kwenye ibada ya leo ni umuhimu sana wa sisi akina baba kuwa makini sana na kinachotoka midomoni mwetu, maneno hukata kuliko hata mabomu au upanga. Ikumbukwe kuna rais wa Iran aliyewahi kusema anatamani kuona Israel inafutwa kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Hii ni ramani ambayo hata mtoto mdogo anajua Iran hakuna mahala anakwenda

  13. JamiiForums Tanzania Maisha bila makusudi ni safari isiyo na Ramani

    "Duniani ni mahali pa furaha na kutimiza makusudi yako. Ukiishi nje ya hayo, utahangaika, utawewesuka hadi siku unaondoka bila mwelekeo kama ulivyokuja."— Alloyce, P.R.
  14. JamiiForums Tanzania Ipi ramani nzuri kati ya izi mbili apa chini

  15. JamiiForums Tanzania Ipi ramani nzuri kati ya hizi mbili hapa chini?

  16. JamiiForums Tanzania Ipi ramani nzuri kati ya izi mbili apa chini

  17. I

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hesabu za kimedani zimemtupa nje Gwajima katika ramani ya urais, kuendelea kumjadili ni kupoteza muda

    🕵🏾‍♂️ CONFIDENTIAL DOSSIER | OPERATION: SHADOW VOTE “Politics is war without bloodshed, while war is politics with bloodshed” – Mao Zedong 📍 INTELLIGENCE BRIEFING Kumekuwa na movement ya chini chini inayomweka “The Preacher General” kama the next big thing kwa kiti cha juu kabisa cha nchi...
  18. JamiiForums Tanzania Waarabu kumshindwa Israel katika hii ramani ni jambo la kushangaza

    Hii ni moja ya maajabu ya dunia ukitazama hii ramani. Waarabu wote hao kushindwa kuwalinda ndugu zao hapo Gaza dhidi ya Israel ni jambo la kushangaza sana. Hawa wajinga wana umoja wao wa nchi za kiarabu lakini huo umoja wao mpaka sasa umeshindwa hata kuwasaidia ndugu zao wapate chakula kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ramani ya nyumba ya kuanzia maisha au ya kulindia kiwanja

  20. JamiiForums Tanzania Karibu nikupe ramani moja kati ya hizi kwa bei nafuu

    Waweza nicheki kupitia Whatsap number 0679169532
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…