ramani

  1. B

    Tanzania kuandaa ramani ya maeneo ya dhahabu

    16 February 2026 Baraza la Dhahabu Duniani laashiria utayari wa kushirikiana na Tanzania kuimarisha sekta ya dhahabu - SADC https://m.youtube.com/watch?v=W9De1WL7Rh8 Baraza la Dhahabu Duniani World Gold Council limeonyesha utayari wake wa kushirikiana na Tanzania kuimarisha sekta ya dhahabu...
  2. Keynez

    Haya majengo katika ramani ya uwanja mpya wa Arusha yanaashiria nini?

    Ukiangalia ramani ya uwanja mpya unaojengwa wa Arusha utaona viboksi boksi vingi vinavyoashiria majengo ya aina fulani. Tukumbuke eneo lililochaguliwa kujenga uwanja huu ni nje kabisa ya mji na hakuna makazi yoyote yaliyo karibu na uwanja huo kwa sasa. Wenzetu wakiamua kupeleka viwanja nje ya...
  3. Kicheche mkali

    Hii ramani rahisi sana vyumba viwili...hadi kuhamia inagharimu TZS Million 22

    2 Bedroom master ensuite hidden roof modern design 🏡 Kwa mahitaji ya Ujenzi na ramani na mafundi wa aina zote karibuni kwenye group zetu.....Hapa utatoshelezwa na utatoka mtu mpya! 💬 Chat nasi moja kwa moja (WhatsApp): wa.me//255789005562 Jiunge nasi kwenye channel yetu ya WhatsApp...
  4. Kicheche mkali

    Ramani Bure .... Karibuni kwenye group letu la Ujenzi Ramani Bure

    🏗️ JENGA KISASA NA KELVIN HK BUILDERS – UHAKIKA NA UBORA! Wadau na wapenzi wa ujenzi bora, kilio chenu kimesikiwa! Kelvin HK Builders tuko hapa kufuta machozi yenu na kukupa nyumba ya ndoto zako kwa viwango vya juu zaidi. 🛠️ HUDUMA ZETU ZA KITAALAMU: Ramani za Kisasa: Tunasanifu ramani za...
  5. FORBIDDEN HISTORY

    Mungu kanijalia kipaji cha kuweza kuchora ramani za nyumba vizuri sana ila nina degree ya finance, nataka nifanye iwe part time job yangu

    Kuna kibari natakiwa kuwa nacho? Nifanye process gani? Karibuni wakuu
  6. Bwege2030

    Ramani ya nyumba

    Habari,ebana samahani, unaweza ku forge hii nyumba? Nemtafuta engineer aliedesign Hiyo duu ana matusi kweli kweli.. Nisaidie ea kuforge ramani ya hii nyumba pls
  7. aise

    Ramani ya Nyumba ya Kisasa: Vyumba 2, Jiko, Sebule na Choo cha Public pamoja na gharama

    Habari wakuu, nawaletea Ramani hii hapa ya Vyumba viwili (Kimoja ni Master) Sebule, Jiko, Na choo Cha public. Ni ramani simple lakini ya Kisasa. Ramani hii itachukua Tofali 1,600 Saruji 30 Nondo 20 Mchanga mende 1 Kokoto gari 1 n.k n.k Ramani hii inakaa kwenye Eneo la Mita 12x10. Karibu...
  8. E

    Kwa ramani hii naweza kutumia bati na tofali ngapi. Nina Milioni 3 hapa

    Habari wakuu Hii ramani naweza kutumia bati ngapi na tofali ngapi? Kwa ujumla naweza kutumia tsh ngapi maana Nina million 3 hapa kibindoni
  9. Mhaya

    Ramani ya Makundi ya Kidini Barani Afrika

  10. Genius Man

    Vyombo vya habari visivyotangaza maandamano sisi wenye hii nchi tutavifuta kwenye ramani

    Vyombo vya habari visivyotangaza maandamano sisi wenye hii nchi tutavifuta kwenye ramani. Naona vyomba vya kimataifa tu sio ITV wala TBC tukiwaondoa wahuni wakatafute nchi ya kuwatangazia wananchi tumesema
  11. Agent-47

    Hii Ramani ya maandamano kwenye ukanda wa western hemisphere inafikirisha sana.

    Political analysts wanasema, maandamano ya Gen Z kwenye huu ukanda wa western hemisphere ni global trend, siyo local phenomenon. Kwa watawala, someni hizi trends, masika yamebadirika. Hii ni wito kwa watawala wa mataifa haya ku-change the way wanafanya politics na kutawala. Hizi ni Zama mpya...
  12. Nangose 1

    Ramani nzuri ya kisasa kiwanja changu ni 840M²

    Wakuu, nimepata huu uwanja wenye ukubwa 840M² (Urefu 40×Upana 21). Hitaji langu nipate nyumba yenye sifa hizi. * Nyumba ya kisasa *Vyumba jumla 4, Master room 2 na kawaida 2 Sebule, Jiko, Stoo, ukumbi wa kulia chakula au kusomea vitabu na kazi za ofisini. Pia nyuma ya nyumba nijenge Banda lenye...
  13. Chibike

    Wataalam wa ujenzi na ramani msaada tutani

    Wataalam, Jengo ambo liko kwenye kiwanja chenye ukubwa wa skweamita 145 unaweza ku modify kwa kuweka frame ngapi zikatosha? Kwa ukubwa size medium Yan vyumba visiwe vikubwa sana Wala vidogo sana..
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Kwaya za Kisabato Tanzania zimepotea kwenye Ramani ya uimbaji kutokana na kuiga uimbaji wa Kwaya ya Ambassador ya Rwanda.

    KWAYA ZA KISABATO TANZANIA ZIMEPOTEA KWENYE RAMANI YA UIMBAJI KUTOKANA NA KUIGA UIMBAJI WA KWAYA YA AMBASSADOR YA RWANDA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Wakati Ambassador ya Rwanda waki-trend nchi za Afrika mashariki watu wake walibarikiwa na nyimbo zao. Sio tuu wasabato bali hata watu wa...
  15. Hharyson

    85M-90M(BOMA) GOROFA SIMPLE SANA YENYE 3BEDROOMS ONLY FIT ON 15X20M PLOT TUNAHUSIKA NA UJENZI + RAMANI +255624004650

    HII GOROFA SIMPLE SANA INA; G.F SEBULE KUBWA, DINING ,OPEN KITCHEN WITH STORE,LAUNDRY AND POWDER ROOM F.F MASTER BEDROOM KUBWA ,1SELF BEDROOM FAMILY ROOM TERRACE HAVE ALSO 1SELF BEDROOM ESTIMATED COST BILA FINISHING 85-90M TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM CALL/WHATSAP +255624004650
  16. M

    wahitimu wetu wa IT wamelala sana, kuna mitandao kibao ya kupiga Dola Online lakini bado wapo mitaani ramani hazisomeki.

    Vijana waliohitimu dip na degree za computer almaarufu "ma IT" wapo wengi sana mtaani bila ramani ya kueleweka. Nashangaa sana kwasababu kuna mitandao mingi sana ya kupiga dola online, sehemu nyingi dunian IT wa kizazi hiki hawasubiri kazi, wapo ndani wanapiga dola. Mifumo ipo lakini IT wengi...
  17. J

    Picha: Ramani ya Mkoa wa Simiyu kiafya

    Akiongea na wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Mara, Mhe. Anamringi Macha, amesema kuwa katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2025, Mkoa wa Simiyu umepokea jumla ya Shilingi Bilioni 69.75 kwa sekta ya afya, ikiwemo Shilingi Bilioni 26.80 kwa miradi ya afya, Shilingi Bilioni 10.96 kwa vifaa tiba na...
  18. BigTall

    Ernest Mwamaja: Tanzania kuingia katika ramani ya kimataifa ya Utalii wa Mikutano (MICE)

    Serikali ya Tanzania imechukua hatua katika kuimarisha sekta ya Utalii wa Mikutano, Maonesho, Makongamano na Safari za Motisha (MICE) kama njia mpya ya kukuza uchumi, kuongeza ajira, na kuvutia wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali. Akizungumza katika Jukwaa la Wadau wa Sekta ya MICE...
  19. Stephano Mgendanyi

    RAIS SAMIA: MRADI WA MKUJU KUIWEKA TANZANIA KWENYE RAMANI YA URANI DUNIANI

    RAIS SAMIA: MRADI WA MKUJU KUIWEKA TANZANIA KWENYE RAMANI YA URANI DUNIANI ✅️ Azindua Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Urani Namtumbo- Ruvuma ✅️ Asema Tanzania kuwa miongoni mwa nchi 10 zinazozalisha Urani kwa wingi duniani. ✅️ Mradi kuzalisha tani laki 3 za Urani kwa mwaka ✅️ Serikali...
  20. sajosojo

    Ramani ya Apartment mbili zenye, Sebule, small Kitchen na master bed room

    Ramani ya apartment mbili zenye, Sebule, small kitchen na master bed room kila moja katika eneo la mita 6 kwa 8 tu....call 0686970690 kwa information zaidi
Back
Top Bottom