Wana jamii kwema?. Leo nikiwa kwenye mizunguko yangu. Nikakutana na sahani za misosi zinapitishwa mchana kweupe watu wanapiga misosi fresh yani. Kabla macho hayajatulia vizuri naona juisi zina miminwa.
Sasa nikawa najiuliza hivi huu mwezi si Waislam na Wakristo funga imetukuta sote kwa pamoja...
Nikiwaambia Dini Ngumu na wenye Kuabudu katika Kweli katika Imani zetu ni 0.5% tu muwe mnaamini na mnanielewa.
Haya sasa Wewe unayepanga Kutega Kufunga au Kuruka Siku kadhaa unaambiwa ukifanya hivyo kwa Siku Moko (Moja) tu jua ni sawa hujafunga kwa Miaka 83 hivyo ili Dua yako isikike, ipokelewe...
Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi Kuu Zanzibar (@zffzanzibar), Hashim Salum ametangaza kuwa Ligi Kuu ya Zanzibar itasimama kwa muda wa mwezi mmoja kupisha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kuanzia ulioanza leo.
Ligi hiyo inatarajia kurejea Mei 6, 2023.
Chanzo: East Africa TV
TO ALL TOURISM ESTABLISHMENTS
ZANZIBAR
RE: THE HOLY MONTH OF RAMADHAN 2022
I have the honor to refer to the above subject.
Ramadhan is one of the five pillars of Islam when Muslims are abstaining from eating from sunrise to sunset. During this month you are strongly required to observe the...
NAWATAKIA WAISLAM WOTE RAMADHAN NJEMA, HAYA NI YANGU MACHACHE.
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Ninapenda kuwatakia Waislam wote Ramadhan njema. Mwezi huu ni muhimu katika dini ya kiislam kwani inaaminiwa kuwa ndio mwezi ambao Quran tukufu ilishushwa Kwa mara ya Kwanza...
Asalaam Aleykum ndugu zangu wote katika imani,
Kuelekea mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhan, waislamu wote ninawaomba tukutane humu ili tuelimishane mawili matatu kuhusu mwezi huu.
Lengo kuu ni kuweza kufahamu yale yote aliyotufunza kipenzi chetu mtume Muhammad S.A.W kuhusu mwezi huu.
Vitu...
hizi
kidole
kuelekea
kupambana
kupambana na utekaji
mwezi wa ramadhani
namna
ndoa
nguvu ya sadaka
nyingine
pete
polisi
ramadhanramadhani
saumu
uislamu
unafiki
uonevu
uonevu wa polisi
ushahidi
utekaji
utekaji tanzania
watekaji
watu wasiyojulikana
zaidi ya
Ibada ni muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku.
Nichukue fursa hii kutoa Rai na kuomba mabaharia wote na kauli mbiu zetu tugutuke kuelekea kwenye crisis ya upatikanaji wa mbususu.
Tuchukue sample zetu kadhaaa walau nne na kuweka fungu la pesa kwa ajili ya kuwasitiri na kuwatunza kama...
Huyu jamaa ukimsikiliza kwa makini utagundua ana madini mengi sana.
Anachambua mpira kwa data, uhalisia na ukweli. Huwa namfatilia sana kila jumapili pale AzamTv kupitia kipindi cha Sports AM chini ya Mahamoud Bin Zubery.
Haya yaliyotokea jana kwa Simba, Azam na Yanga alishayaongea toka ratiba...
Nimewahi kumuuliza mwandishi na mchambuzi mmoja maarufu, kwanini makocha wengi wa Tanzania hawafundishi soka nje ya nchi, jibu nililopata sikuridhika nalo sana. Alinijibu kuwa ligi yetu imekua sana na ni ligi bora afrika mashariki na kati hivyo makocha wetu wanaona bora wabaki hapahapa nchini...
Fikiria kutokula au kunywa wakati wa mchana kwa siku 30 mfululizo moja kwa moja sio jambo jepesi. "Mtazamo wa mwezi huu kimsingi sio kujizuia au kufunga, bali ni mkusanyiko wa nguvu na akili ya Muislamu juu ya utambuzi wa Mwenyezi Mungu na maisha ya ibada ya uchamungu."
Haipendezi bint wako wa...
Kuna Kwaresima na Ramadhan miezi ambayo waumini wa Kikristo na Kiislam wanafunga kama sehemu ya imani zao kwa lengo la kumpendeza Mungu wao ili awasamehe dhambi au awape kibali cha kuingia peponi. Kwenye upande huu wa dini sintakuongelea zaidi kwakuwa imani ya mtu ni package ambayo haiko wazi...
KANUNI ZA BUNGE ZATENGULIWA KUPISHA MFUNGO
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limetengua Kanuni kwa ajili ya kuruhusu Mfungo wa Mwezi wa Ramadhan ambapo mabadiliko hayo yataendelea hadi mwisho wa mfungo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, George Simbachawene amewasilisha hoja hiyo...
Assalam alaikum
Katika darsa letu la leo tuta tazama baadhi ya hukumu nyeti zinazo ambatana na usiku wa mwezi wa Ramadhan. Tukizijua hukumu hizi swaumu zetu zitakuwa katika njia iliyo nyooka. Na kama hatutazijua hukumu hizi basi swaumu zetu zita haribika, itatubidi kulipa deni pamoja na kulipa...
Kuelekea usajili wa dirisha dogo, taarifa zinasema kuwa tayari Kamati ya Usajili ya Yanga imeanza kazi baada ya kuwafyeka wachezaji wanne kwa ajili ya kuwapisha nyota wapya watakaosajiliwa.
Wachezaji wanne wanaotajwa kuachana na Yanga kwenye dirisha dogo la usajili litakalofunguliwa Desemba...
Ramadhan Mlanzi mwekezaji wa kiwanda cha Raddy Fiber aliyekutumia na urasimu kwa miaka 6 hatimaye afanikisha uwekezaji huo.
Kwa ukali mh.Rais SSH amewakumbusha watendaji kuachana na mawazo ya kale ambayo yanalirudisha nyuma taifa letu pendwa!!
Kongole kwake mwekezaji huyu kwa kututoa...
Kiuhalisia ni kuwa ushahidi lazima uwe na relevant fact juu tuhuma husika.
Kwamba shahidi wa kwanza na wa pili wameonyesha kuchemka kwa kutokuwa na relevent facts, hii bado ni mbichi sana. Tuache kupiga kelele za kishamba.
Ushahidi ni suala jumuishi, leo ushahidi wa shahidi namba moja mnaweza...
RPC Kinondoni leo ni shahidi aliyesimama Mahakamani kutoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe na wenzake ya Ugaidi.
Katika kufuatilia cross examination kiongozi huyu wa Jeshi la Polisi amejichanganya sana na hivyo kushindwa kusimama kwa nafasi ya afisa mkubwa kwenye Jeshi na mchunguzi.
Yawezekana...
Haya ni mashaka yangu hasa baada umeme kukatika wakati timu zinajiandaa kuingia uwanjani kuanza kipindi cha kwanza kwenye Uwanja wa Jakaya Kikwete Youth Park.
Hili si jambo la kulichukulia poa , na uchunguzi wetu unaendelea.
Ningependa kuandika hili juu ya wakati tulionao wa mwezi wa Ramadhan.
Nimegundua na kujionea sana wakati huu ndio wakati chakula kingi hupikwa majumbani na watu wakakichezea na kisha kukitupa. Nimealikwa, na hali kadhalika nimejionea kwa jamaa zangu pia namna chakula kingi kikipikwa na...