Nini maana ya ndoto hii?

kabon14

JF-Expert Member
Jun 14, 2016
1,233
867
Habar wakuu..

Naomba wenye uelewa na haya mambo wanijuze. Ni zaidi ya maramoja imenitokea hii hali.

Mara ya mwisho ambayo ni jana ilikuwa hivi.!
Nilishtuka kutoka usingizini mida ninayo amka kila siku, lakin kutokana na kuwa jana ilikuwa siku yang ya kupumzika sikuona ulazima wa kuiacha shuka kwa muda ule, niliendelea kubaki kitandani ghafla usingizi ulinipitia nikasinzia tena.

Sasa bado sijajua hii ni ndoto au vipi, ndo nataka nipewa msaada kuhusu hii kitu.
Nikiwa usingizini ghafla nilihisi mwili unakakamaa as if nimepigwa na shot ya umeme huku nikiwa nahisi maumivu flan hvi ambayo si makali na siwezi eleza yako vipi na yalikuwa sehem gani, lakin maumivu hayo yalitokana na kuwa mimi nilijaribu kupambana na hali ile ili nirudi katika hali ya kawaida.
Nilifanya vile kwa muda bila mafanikio hivyo ikabidi nijaribu kupiga kelele ili kuomba msaada, nilijaribu kupiga kelele lakin sauti haikutoka ( sikumbuki nilijaribu kutamka maneno gani), wakati ule napambana nitoke kwenye hali ile nilisikia simu yangu iliyokuwa kitandani kwangu ikivibrate (mtu alinitumia ujumbe kwa whatsapp), nilipojaribu kuinua mkono wang wa kulia ili niichukue nilishindwa kufanya hivyo.(nilikuwa nimelalia ubavu wa kushoto)

Sasa cha kushangaza nilihisi nimeishika ile simu ila si kwa mkono wangu wa kawaida maana nilishindwa kufanya hivo kwa sababu hakuna kiungi kilichoweza kumove. Niliishika ile simu lakini nilipojaribu kuangalia sikuona kitu bali mwanga mweupe tu kwenye screen ya simu.

Baada ya pale kuna wazo linikuja kichwani nikakumbuka uwepo wa yesu.
Nikatamka neno Jesus
hakuna kilichotokea kwa muda uleule lakini baada ya muda mfupi tu nikahisi mwili unarelax na nikashtuka kutoka usingizini. Nilipoitazama simu yang ni kweli nikakuta message ya whatsapp.

Wakuu naomba kuwasilisha kwa mchango wenu kuhusiana na tafsiri ya hali hii, ni nini hasa?.

kuhusiana na imani mimi ni mkristo lakin kiukweli sina imani ya kiwango kile mnachoweza fikiria maana hata kanisani nina miongo kadhaa sijaenda

Hadithi hii ni ya kweli kabisa.
 
ulikuwa kwenye astral projection
Astral projection is a term used in esotericism to describe a willful out-of-body experience that assumes the existence of a soul or consciousness called an "astral body" that is separate from the physical body and capable of travelling outside it throughout the universe
 
Nimewahi soma uzi flani humu kuhusu Astral projection, so nina mwanga kuhusu hiyo kitu lakin je, hiyo out of body experience inaweza kutokea automatically bila kuipractice mwenyewe?
 
Habar wakuu..

Naomba wenye uelewa na haya mambo wanijuze. Ni zaidi ya maramoja imenitokea hii hali.

Mara ya mwisho ambayo ni jana ilikuwa hivi.!
Nilishtuka kutoka usingizini mida ninayo amka kila siku, lakin kutokana na kuwa jana ilikuwa siku yang ya kupumzika sikuona ulazima wa kuiacha shuka kwa muda ule, niliendelea kubaki kitandani ghafla usingizi ulinipitia nikasinzia tena.

Sasa bado sijajua hii ni ndoto au vipi, ndo nataka nipewa msaada kuhusu hii kitu.
Nikiwa usingizini ghafla nilihisi mwili unakakamaa as if nimepigwa na shot ya umeme huku nikiwa nahisi maumivu flan hvi ambayo si makali na siwezi eleza yako vipi na yalikuwa sehem gani, lakin maumivu hayo yalitokana na kuwa mimi nilijaribu kupambana na hali ile ili nirudi katika hali ya kawaida.
Nilifanya vile kwa muda bila mafanikio hivyo ikabidi nijaribu kupiga kelele ili kuomba msaada, nilijaribu kupiga kelele lakin sauti haikutoka ( sikumbuki nilijaribu kutamka maneno gani), wakati ule napambana nitoke kwenye hali ile nilisikia simu yangu iliyokuwa kitandani kwangu ikivibrate (mtu alinitumia ujumbe kwa whatsapp), nilipojaribu kuinua mkono wang wa kulia ili niichukue nilishindwa kufanya hivyo.(nilikuwa nimelalia ubavu wa kushoto)

Sasa cha kushangaza nilihisi nimeishika ile simu ila si kwa mkono wangu wa kawaida maana nilishindwa kufanya hivo kwa sababu hakuna kiungi kilichoweza kumove. Niliishika ile simu lakini nilipojaribu kuangalia sikuona kitu bali mwanga mweupe tu kwenye screen ya simu.

Baada ya pale kuna wazo linikuja kichwani nikakumbuka uwepo wa yesu.
Nikatamka neno Jesus
hakuna kilichotokea kwa muda uleule lakini baada ya muda mfupi tu nikahisi mwili unarelax na nikashtuka kutoka usingizini. Nilipoitazama simu yang ni kweli nikakuta message ya whatsapp.

Wakuu naomba kuwasilisha kwa mchango wenu kuhusiana na tafsiri ya hali hii, ni nini hasa?.

kuhusiana na imani mimi ni mkristo lakin kiukweli sina imani ya kiwango kile mnachoweza fikiria maana hata kanisani nina miongo kadhaa sijaenda

Hadithi hii ni ya kweli kabisa.

Inamaanisha ya kwamba muda wowote kuanzia sasa utapata Ugonjwa wa UKIMWI ( Umeme ) hivyo anza kuchukua tahadhari mapema kwa ama kutumia Condoms au kuacha kabisa Ngono na ubobee tu katika Kupunyetika ( Kupiga Nyeto ) kwa Kutukuka kabisa.
 
hahahah braza sometimes huwa unatema shudu.
 
Hilo ni jini linakusumbua tu, ishu ya kufanya hapo tafuta tunda linaitwa ndula na mkaa wa jalalani weka chini ya mto haliji tena. Mimi najua hapo tu zaidi sijui wakati mwingine unaweza kuwa macho kitandani umepumzika linakupiga ganzi
 
asante kwa mchango
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom