Hawamu niliyoshika kijiti, Sikukua na imani na yeyote niliishi kwa mashaka mno, nilijaribu kubadili chaguzi mbali mbali lakini bado nilihisi nina opponent ndani ya ongozi zangu
Ilinichukua mda mpaka kuja kuiamini na kuja kulala ikulu , nilikuwa naenda kulala nyumbani, ni nyumbani nilipozaliwa...