Sikutegemea kuja kuwa Rais, Epsod 1

Sikutegemea kuja kuwa Rais, Epsod 1

O29

Member
Joined
May 30, 2026
Posts
91
Reaction score
195
Hawamu niliyoshika kijiti, Sikukua na imani na yeyote niliishi kwa mashaka mno, nilijaribu kubadili chaguzi mbali mbali lakini bado nilihisi nina opponent ndani ya ongozi zangu

Ilinichukua mda mpaka kuja kuiamini na kuja kulala ikulu , nilikuwa naenda kulala nyumbani, ni nyumbani nilipozaliwa pia na ulinzi mara dufu, ilinichukua mda mpaka kuamini kuwa nipo vitani, ongozi za juu ni vita

Unahitaji watu wako wa karibu wakuzunguruke ili uendelee kuwa salama, wengi wasiotaka uwepo juu watafanya kila wawezalo wakuchafue, usiaminiwe na yeyote, na kiukweli peke yako hauwezi lazima upate wakushirikiana nao ili ufanye vizuri kiuongozi

Nilimuhitaji M/Mungu kama anavyomuhitaji mtoto mdogo aliyekuwa tumboni, sijawahi kupata mtihani mgumu maishani mwangu kama huu

Tuwe wakweli, hata wewe ungepata urais kama nilivyobahatika mimi lazima ungekutesa kama mimi niliyokuwa nikipitia miezi ya mwanzo kushika kijiti cha urais

Hii hali haizoeleki ki kawaida ni kama ugonjwa wa pressure inapanda na kushuka, ukisikia jambo hata dogo kiasi gani linavuma akili yako inakuwa inaelekea huko, kama mwana siasa nilikubaliana na changamoto hii

Nashukuru sana viongozi waliokuwa wakinishika na kunipa ABCD jinsi ya kwenda sawa na mikito ya kuongoza uongozi mkubwa kiasi hichi, nakosea kama binaadamu na najuta, ila kosa lolote litalotokana na kiongozi wangu binafsi ni langu na hauwezi kulielekezea kwa kiongozi wowote aliyekosea lazima litafika kwangu na nitalaumiwa, ki kawaida siwezi kuthibiti kila kitu

Epsod-1
 
Back
Top Bottom