Wakati wa kujadili hotuba ya Rais Samia, Mbunge wa Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, Saasisha Mafuwe (CCM), akitoa taarifa Bungeni kuweka sawa kauli ya Mhe. Ester Bulaya (CCM) kauli ya ''Mnyonge mnyongeni na haki yake mpeni'' na kusema Rais Dkt Samia ni shupavu na hajawahi kuwa mnyonge.