rais

  1. M

    JamiiForums Tanzania ARUSHA YA KENANI Sekta ya Afya Yaimarika Chini ya Rais Samia

    Chini ya Rais Samia Upatikanaji wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi Mkoani Arusha wafikia asilimia 93. Rekodi za Kitaifa zinaonesha kuwa Tanzania imeongeza MRI kutoka 7 hadi 13, CT scan kutoka 13 hadi 45, Digital X-Ray kutoka 147 hadi 491 na Ultrasound kutoka 476 hadi 970. Hata hivyo Mkoa wa...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Jaji Mkuu Masaju ndio atamuapisha Rais Dr SSH kuongoza tena 2025-2030

    Endeleen kupiga makelele ya Wagombea wawe watatu, Mmoja au wawili ila ni Mheshimiwa Jaji Mkuu Masaju atakayemuapusha Mheshimiwa Dr SSH kuwa Rais wa JMT 2025-2030 baada ya ushindi mnono. Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable FaizaFoxy Mpwayungu Village
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Upo uwezekano wa kuwa na mgogoro wa muungano iwapo lolote likitokea Rais samia asipo kuwa mgombea na Rais 2025

    Kumekuwepo na mjadala kwa muda mrefu dhidi ya muungano wetu Tanganyika na Zanzibar . Hivi karibuni ukiacha malalamiko ya upande wa Tanganyika kumekuwa na utulivu mkubwa. Sababu kuu ni kwa vile Rais wa jamhuri ni mzanzibar na ikumbukwe Zanzibar ndio ina ruhusa ya kupiga kura ya maoni ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hatutaki Rais hajawahi kulinganishwa na wengine.

    Itakuwa ni akili Matope kama CCM itakubali Rais wao awe hajawahi kupimishwa ubavu na Makada wengine. Umakamu alipata kwa Jinsia, Urais alipata kwa Ajali na sasa Apate kwa kupewa tena, No hii haiwezekani
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: Ni vita ya kumzuia Nchimbi kuwa rais 2030, Samia sio tatizo

    h
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu Hassan ni Mgombea Halali Kikatiba na kihistoria

    Wanaukumbi. Mchakato wa Rais Samia kupitishwa kuwa mgombea pekee wa CCM kwa uchaguzi wa 2025 ni wa kihalali kwa mujibu wa Katiba ya CCM, na umefuata historia na utaratibu wa chama uliodumu kwa miongo kadhaa. Wanachama wa CCM, viongozi wa chama, na wananchi kwa ujumla wanapaswa kuelewa kuwa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Watanzania hawaeleweki, wanadai hawamtaki Rais, akiondoka wanatamani arudi

    Watanzania sasa hivi wamechachamaa hawamtaki Samia, kelele kibao mtandaoni Lakini ukitazama kwa umakini, Watanzania hii imekuwa ndio tabia yao, wanasema hawamtaki kiongozi ila akindoka wanatamani arudi Tuliona Kikwete walikuwa wanapiga sana kelele hawamtaki, ila alipoondoka na kuja Magufuli...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais Samia S Hassan,naomba umfree Lissu tafadhali

    Wabaya wako au wabaya chama chenu wapo humohumo chamani.Nadhani ushalijua hilo kitambo.Wakati mnaendelea kugombana,naomba mtoe tu baba wa watu,usijitafutie dhambi za nyongeza tu.
  9. JamiiForums Tanzania Ingekuwa John Pombe Magufuli anamaliza muda wake leo hii bado aliyemuamini Rais Samia

    Hakuna mwanasiasa mpya ndani ya CCM Ambaye angeweza kuaminiwa na kukabidhiwa kijiti iwapo hayati Magufuli angekuwa anamalizia muda wake leo hii. Kama yupo basi Magufuli kwa uwazi kabisa angemteua kama mgombea mwenza kipindi kile. Itakumbukwa pia Mtu wa pili aliyetajwa kuaminiwa na Magufuli ni...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia jitokeze hadharani useme lolote ama tukuone tu na roho zetu zitulie

    Maana kwa tulichojifunza mwaka 2021 kelele za mtandaoni zinaweza kugeuka na kuwa ukweli, na hatuamini tena kauli rasmi za wasemaji wa chama au serikali wanapozikanusha Baada ya kikao cha CCM kushindwa kufanyika kama ratiba ya awali ilivyopanga tunasikia kelele nyingi mtandaoni kuwa hutaweza...
  11. JamiiForums Tanzania Tupate Rais atakae endeleza ile sera ya Magu ya Tanzania ya viwanda angalu ilikuwa na mwangaza

    Ili nchi ipige hatua viwanda ni muhimu sana, viwanda vinapunguza tatizo la ajira! Magu kidogo alitaka kuanzisha safari flani hivi ila ikaishia njiani... Tunataka ajae aje andeleze pale alipoacha Magu
  12. JamiiForums Tanzania RECORD MAJAJI WANAWAKE: Kati ya majaji 83 aliowateua Rais Samia tangu aingie madarakani mwaka 2021 Asilimia 41% au 35 ni wanawake ilikufikia 50|50

    Katika azma ya kuifanya Tanzania kinara wa kupunguza pengo la uwiano wa kijinsia kuelekea dira 2050, Rais Smia ameteua ya Majaji 35 wanawake 41%. Uwiano wa kijinsia ni moja ya shabaha ya msingi inayopewa kipaumbele mahususi na Dira2050 ambapo Tanzania inalenga kuwa kinara barani Afrika na...
  13. JamiiForums Tanzania Tunaomba kujua ni wapi aliko Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan, Rais ni mali ya umma

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Rais ni mali ya watu wote ni mali ya raia Tunaomba kujua ni wapi alipo maana kimiya na tetesi ni nyingi sana Kwaamaana October tunataka kutic Ni wapi alipo rais wetu Asanten sana LONDON BOY
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia amejenga jumla ya VETA mpya 94 na 29 alizozikuta amezikarabati

    Rais Samia amejenga vyuo vya VETA 94 na amekarabati vyuo 29 Wanafunzi 440,000 wanaendelea na masomo kama msingi wa Dira2050. Serikali ya Rais Samia imekamilisha ujenzi wa vyuo 29 vya mafunzo ya ufundi stadi ambavyo vimeanza kutoa mafunzo, kuendelea na ujenzi wa vyuo 65 na kukarabati vyuo 29 vya...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Video: Jinsi Baba wa taifa Nyerere Alivyoweka Msingi wa Uchaguzi wa Mgombea Rais wa CCM

    Baba wa Taifa la Tanzania, aliweka msingi thabiti wa mchakato wa uchaguzi wa mgombea wa urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). msingi wake uliwekwa na Nyerere wakati wa uongozi wake. Mwalimu Nyerere, kama mwanzilishi wa TANU (ambayo baadaye ilijumuika na ASP na kuwa CCM mwaka 1977)...
  16. JamiiForums Tanzania Kitendawili Kisa Cha Rais Biden wa USA kuondolewa na Chama chake Cha Democrats na Sarakasi ya CCM na Samia Dodoma. Yajayo yanafurahisha.

    Muda wa kampeni ukafika. Kampeni ilianza kati ya Trump na Rais Joe Biden. Mdahalo wa kwanza ukaandaliwa kati ya Trump na Biden. Biden akafanya vibaya pamoja na kuibiwa maswali ya mdahalo kabla. Ikumbukwe Establishment ya Democrats akina Obama, Schumer na vigogo wengi hawakumtaka Biden Toka...
  17. M

    JamiiForums Tanzania H Polepole: Serikali ni kama nyumba isiyo na mwenyewe

    Balozi msitaafu Humphrey Polepole amewaomba watanzania wasimuhukumu kwa kushindwa kutoa matokeo mazuri kwenye kazi yake ya Ubalozi wa Tanzania nchini Malawi na baadae nchini Cuba kwa sababu alikuwa hapati ushirikiano wa kutosha kutoka kwa watendaji wa Serikali ya Rais Samia kwani wengi...
  18. JamiiForums Tanzania Yanayoendelea CCM yamenikumbusha kisa cha Rais Ben Ali wa Tunisia mwezi January, 2011

    Wakati wa Maandamano ya kumtaka aliyekuwa Rais wa Tunisia kujiuzuru na kuondoka Madarakani, Rais huyo Marehemu Ben Ali alimtegemea sana Mkuu wake wa majeshi na Waziri wake wa Ulinzi kutuliza hali ili aendelee kuwa Rais. Maandamano yaliposhika kasi, Ben Ali alipanda ndege na kukimbilia Saudi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nikija kuwa Rais huko mbeleni.

    Huko mbeleni nikifanikiwa kuwa Rais wa Nchi, jeshi langu la ulinzi litafanya kazi kuu 4. 1. Kulinda mipaka ya Nchi. 2. Kulinda rasilimali za Nchi yetu. 3. Kulinda HAKI za Watanzania kwa kuhakikisha hakuna mhimili au chombo chochote kinatumia mabavu na vyombo vyake kupora HAKI za Watanzania...
  20. JamiiForums Tanzania Hatuhitaji kufanya majaribio Rais Samia ameweza kuivusha salama Tanzania hatuna budi kumuamini muda mwingine tena

    Mtihani mzito wa Kulivusha Taifa baada ya tukio la kipekee kutokea nchini ya kifo cha Rais aliopo madarakani inatufanya tuwe na imani isiyo na shaka kwamba Rais Samia anao uwezo pasipo shaka kuisimamia nchi kwa awamu nyingine tena. Ikumbukwe kuwa hakuna Rais yoyote nchini aliwahi kupokea kijiti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…